[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aaha uliumbukaaaNilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
Mkuu niwie radhi tafadhali.Hahaha imebidi nicheke tu
Ila hizi nyuzi tunaandika sisi vijana hasa hawa17-22 siamini kama mtu above that anaweza kuandika huu upupu[emoji23]
Mi sana tu
Kwanini mkuuMkuu niwie radhi tafadhali.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
Nina 36 ila sijambi.Kwanini mkuu
Haaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiiNilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
[emoji23]aisee hiyo siku sitoisahauHaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa kiboko duu sasa aliyefuata si alikuwa na wasiwasi na aliyemkuta hapoWe acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
Haaaaaa haaaaaaKinyambi na ulivyo kimbaumbau ukijamba kama umekunya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ishawahi kunitokea hii sebuleni, nimeachia cha kimyakimya Mara watu wanakuja humo sebuleni,nilitamani kama wangechelewa chelewa kidogo ili kiharufu kiishe dah,ilikua aibu mnooUnajikuta upo sehemu matathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
Inamaana ulihis earphone umechomeka kunduni badala ya sikioni au[emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliwahi jamba katika bus earphones zikiwa masikioni, nilijamba sana,kuja shtuka too late ,mostly of the people walikua wananikodolea macho..
Alafu wakati wa kijambo unajikuta umejiachia kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ishawahi kunitokea hii sebuleni, nimeachia cha kimyakimya Mara watu wanakuja humo sebuleni,nilitamani kama wangechelewa chelewa kidogo ili kiharufu kiishe dah,ilikua aibu mnoo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu achaa uongoo
Yaani wewe mie machozi nikikumbuka maparoko zangu walivyokuwa vile hapana[emoji23]aisee hiyo siku sitoisahau
Haaaaaa haaaaaa