Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Hapo pa kunyooshwa 😀😀😀
 
Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki

nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki

mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui

yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha

kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine

akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi

kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi

mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote

watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana

ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile

ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
 
Mimi sijui ila Nadhani maybe sijapenda au nimeukomaza moyo wangu kwa mitazamo ya kua mpweke pweke.
Mfano..
Hua najisemea I'm useless one, nobody needs me! So kwa mentally hii hata mpenzi akiniacha najua tu I'm no tdestined to he loved.
Huyu ni mimi kabisa hata marafiki zangu ni walewale wachache nliosoma nao primary na secondary naogopa sana kuwa attached na mtu nikiona ananizoea najitahid sana kumuepuka
 
Yeah, it sounds logic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafutie wimbo huo basi.. naona upo vizuri
 
I have him (Jesus) he's my strength.
Aki kweli sijui dawa tutaipata wapi..
Lete idea..maana mwenzio nilipofika. Sijali chochote kuhusu mimi, labda nione wenzangu wanaumia ndio najali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…