Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

hiyo nimeipenda sana
 
NILIKUTA YANNABII NILIPOMPIGIAA AKANIAMBIA NABÌINAFUMANIWII NKAMWOMBA TU AANDIKE WOSIA.MAPEMA ELSE AKIENDELEA ATAGEUKA NYAMA ZA MACHINJION ILENAMBA NIKIPGA MPAKALEO NA LINE ZA WATU HAOPATIKAN
 
sahihi
 
Hongera mkuu mwanaume kweli kukataa ni silaha ya kwanza ila inaonekana mkeo ni jobless hana lolote kila kitu anategemea toka kwako or anacho cha kwake ila wewe una pesa nyingi sana kwahiyo anaona kabisa akitoka atamiss kitu. Trust me mwanamke kama ana kipato chake na wewe kipato chako ni cha kawaida halafu umfanyie hivyo kuna mawili either atabaki hapo ila ndoa yenu inakuwa imekufa kwa ndani kila mtu atafanya lake ni nje tu watu wataona mko pamoja au ataondona na kuendelea na maisha yake. The only way to control woman ni mwanaume kuwa na uchumi mkubwa mara tatu zaidi yake hapo atakutii na ndio maana siku zote hapa tunawaambia NDOA NI UTAPELI
 
Mkuu hayo yte usemayo ni juu yake/Yao but msimamo wangu ni huo.

Kuhusu uchumi

Hayo ndo mnayatafutaga wenyewe yaani mnapenda mseleleko au 50/50.

Na ukifika hapo jua wazi huna mwanamke. Mwanamke ni mama wa nyumbani ni mlezi wa familia hayo ya kipato umeyatoa wapi?

Wazee wetu hawakuwa wajinga mkuu walijua hayo ndio maana wapo wote na mama Hana kipato chochote na anafuraha kwenye ndoa yake.

Mimi mwanamke akiniambia aanze kujighulikisha Nje na familia na mwambia achague familia ama kujishughulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…