Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Umeacha kuchepuka au unaendelea tajiri?
 
Hapo hakuna jinsi kwakweli kama ilikuwa inang'aa muhimu utokomeee😂😂😂
 
Hii ni hatari sana,yote sababu ya pombe
 
Mkuu nakupa salute
 
Malizia stori mkuu,ikawaje baada ya hapo
 
ID yake na mambo yake tofauti. Sema watu kama Hawa, wanakua peace sana ila hawapendi ujinga na kupelekeshwa, watakufurahisha.

Umepotea sana kapten.

Yeah Kapeace kwa kusoma comments zake zile za zamani anaonekana "mdada" poa sana, siku hizi sijui nani kamtibua...

Nipo kamanda, nimekuwa msomaji sana na kuchangia inapobidi tu...
 
Hata iweje mwanaume hufai kukubali kosa
 
Yeah Kapeace kwa kusoma comments zake zile za zamani anaonekana "mdada" poa sana, siku hizi sijui nani kamtibua...

Nipo kamanda, nimekuwa msomaji sana na kuchangia inapobidi tu...
😃😃😃mi ni yuleyule ila wanaume wa humu wapo legelege sana hawatumii akili wamekalia malalamiko dhidi ya wanawake tu, acha niwape spana
 
Sawa nimekosea ila ulichokifanya hata shetani alikushangaa sana ndio maana mwanamke alikucheka. Na pale alikuwa anatikisa jinti Kwa nguvu zote huku anasikilizia.
 
Mimi sijawahi shika simu y mwenza wangu, ili iweje sasa. Ni kukosa kujiamini. Huwezi mzuia mtu kuchepuka kwa kukagua simu yake kila mara. Halafu pia ni kosa kisheria kukagua na kujibizana na watu kwenye simu ambayo si yako.

Unaweza pata msala kwa mwenza wako kumtukana au kutishia mtu kwa kutumia simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…