Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Kwanza niliporudi nyumbani sikumkuta, simu sizioni, nikipiga anakata tu, nikajua tu hapa tayari mambo yameshatibuka.

Mbaya zaidi akaenda kwenye gari, akakuta Kuna simu ndogo Ina text zingine na tkt mbili za majina yetu. Hapakua na namna ningekataa.

Akaondoka na gari na bag yake akisema harudi Tena nyumbani na watoto anawaacha.

Baada ya kuomba sana tuonane, akasema Yuko Sleep way. Nikaacha gari Kwa askari wa SGA Makumbusho hata bila makabidhiano maalum ( hili ni balaa lingine nililiibua, gari ilipelekwa Oyster bay police).

Nilipofika mahali yupo tunaondoka huku naendesha sikuongea kitu, wakati huo analia tu na kutoa maneno ya uchungu. Nakumbuka nilisema tu naomba msamaha bila maelezo mengi huku naendesha kuelekea kanisani. Hadi wakati huo bag yake ipo kwenye gari na ameshikilia msimamo wake wa kutorudi nyumbani.

Nilijuafika wachungaji wameshaondoka ilikua kwenye saa mbili jioni. Akaniuliza Sasa unakuja kufanya Nini kanisani? Nikamwambia nataka niombewe...alijikuta anacheka Kwa sauti na kutamka, yaani ujinga wako ndio umeona uje kusumbua watu usiku huu?

Nikasema basi twende nyumbani, nipe muda wa mwezi mmoja nikatafute nyumba na Dada wa kazi Kisha ntakuja kuwachukua watoto. Kwa nilichokukosea, una haki ya kufanya chochote.

Nikasema hichi ulichokiona ni kitu kidogo sana, mie nna Pepo kama sio nguvu za Giza, nnakunywa pombe, balaa la wanawake siwezi kulielezea, huyu sio mimi. Alitoa macho kusikia nnakunywa pombe ( nilikua sijawahi hata kuonja, hata sikua na wanawake ila Sasa katika kusuluhisha, ikabidi nijipatie ubaya wote).

Nilifanikiwa kuondoka kurudi kazini, uzuri usiku japo kishingo upande kimasihara ikachukua mkondo wake.

Hapo balaa la gari niliyoiacha Makumbusho likaibuka. Liliunguruma Kwa wiki Moja nikafanikiwa kuichukua gari Kituo Cha polisi.
Umeacha kuchepuka au unaendelea tajiri?
 
Mimi yamenikuta mengi, ila hii ya mara ya mwisho ndio nimeona niache kabisa kuchepuka.
Kulingana na necha ya kazi ya wife, analazimika kuwahi mzigoni. Yaani mpaka saa 12:30 asubuhi anakua tayari ameshaondoka. Hivyo mimi nanaki na housegeli na mtoto mdogo wa miaka miwili. Kwahiyo mpaka saa mbili kamili mimi nakua nshaondoka.
Sasa baada ya kujaribu kwa dada nikaona kaingia mazima, ni kama vile nae alikua anamawazo kama yangu. Kumbuka yeye ni mdogo kwa wife kwa miaka mitano.
Kwa hiyo baada ya kukubaliwa ilinilazimu niutumie muda wa dakika 45 mpaka lisaa kukamilisha mambo yangu kwa ufasaha then naoga naingia job.
Sasa huu mchezo ukaenda kama miezi mitatu hivi na bahati nzuri dada hakuwahi kuonesha kiburi kwa wife. Alijitahidi sana kufanya kazi zake vizuri sana bila kushtukiwa. Ilifika hatua usiku tukiwa tumelala napokea msg kutoka kwa dada anamwonea wivu wife kulala na mimi usiku kucha.
Sijui ilikuaje bwana, wife akaanza kuhisi something phishy kati yangu na dada. Akaanza kufanya utafiti wake kwa siri sana. Kwenye simu ya dada hakufanikiwa kuona kitu, wala simu yangu vilevile.
Basi siku moja baada ya mchezo kunoga, wife aliondoka siku hiyo akaenda job kama kawaida. Yaaninalipotoka tu mimi nikainuka kitandani nikiwa mtupu vilevile nikaenda chumbani kwa dada amane nae alikua tayari ameshajiandaa. Yaani kajiifunga kanga tu kifuani. Nikamuinua nikaanza kula tunda humohumo chumbani. Mchezo ukanoga nikambeba nikaenda nae sitting room huku naendelea kumla kiroho safi. Baada ya kumaliza nikamwambia akanawe bafuni then arudi tuendelee.
Sasa dada yupo bafuni kaniachia kanga yake nimejifunika pale kwenye kochi, naskia mlango unafunguliwa wife anaingia😭😭😭😭😭 Ilikua siku ya aibu sana kwangu.
Wife akaniuliza leo huendi kazini, nikamwambia naenda. Mbona upo hapa na hiyo kanga vipi??? Hapo naona sura yake inabadilika kwa kasi, anaonhea huku anahema.
Akaivuta ile kanga anaona mashine imelowa inang'aa. Alipanik pale vibaya mno. Akamuita dada, akaitikia chooni lakini anashindwa kutoka hana nguo. Akamwambia atoke, dada akagoma kutoka. Akavunja mlango anamkuta dada uchi hana nguo na hana cha kujibu.
Nikavaa zangu nguo na kuondoka nikiacha ugomvi mkubwa home.
Sikurudi home wiki moja nikiwa kimya kabisa lakini moyoni sina amani kabisa.......
Hapo hakuna jinsi kwakweli kama ilikuwa inang'aa muhimu utokomeee😂😂😂
 
Kuna watu wanakamatwa live kabisa. Kuna mkasa wa jamaa mmoja sitataja mkoa ila nilihusika sana kusuluhisha kile kisa. Jamaa kaenda club usiku kapiga pombe alafu kabeba mwanamke na kumfanya naye mapenzi kwenye gari. Kawasha gari hadi nyumbani, kaingia kalala, asubuhi anaamka choka mbya kwa pombe na lazima aende kibaruani, kama kawaida anampitisha mke wake kibaruani alafu yeye anaendelea.
Mke wa ndoa anaingia kwenye gari anakuta siti ya nyuma kuna mwanamke amelala uchi wa mnyama na michupa ya pombe kibao. Kumbe ule usiku jamaa baada ya kumgonga yule demu alimuacha kwenye gari akarudi club akaendelea kunywa, na akarudi naye nyumbani bila kukumbuka siti ya nyuma alimuacha yule mwanamke. Ilikuwa kesi kubwa sana kuwahi kukutana nayo maishani kwangu, ila yaliisha na wanaendeleza familia.
Hii ni hatari sana,yote sababu ya pombe
 
Kwanza niliporudi nyumbani sikumkuta, simu sizioni, nikipiga anakata tu, nikajua tu hapa tayari mambo yameshatibuka.

Mbaya zaidi akaenda kwenye gari, akakuta Kuna simu ndogo Ina text zingine na tkt mbili za majina yetu. Hapakua na namna ningekataa.

Akaondoka na gari na bag yake akisema harudi Tena nyumbani na watoto anawaacha.

Baada ya kuomba sana tuonane, akasema Yuko Sleep way. Nikaacha gari Kwa askari wa SGA Makumbusho hata bila makabidhiano maalum ( hili ni balaa lingine nililiibua, gari ilipelekwa Oyster bay police).

Nilipofika mahali yupo tunaondoka huku naendesha sikuongea kitu, wakati huo analia tu na kutoa maneno ya uchungu. Nakumbuka nilisema tu naomba msamaha bila maelezo mengi huku naendesha kuelekea kanisani. Hadi wakati huo bag yake ipo kwenye gari na ameshikilia msimamo wake wa kutorudi nyumbani.

Nilijuafika wachungaji wameshaondoka ilikua kwenye saa mbili jioni. Akaniuliza Sasa unakuja kufanya Nini kanisani? Nikamwambia nataka niombewe...alijikuta anacheka Kwa sauti na kutamka, yaani ujinga wako ndio umeona uje kusumbua watu usiku huu?

Nikasema basi twende nyumbani, nipe muda wa mwezi mmoja nikatafute nyumba na Dada wa kazi Kisha ntakuja kuwachukua watoto. Kwa nilichokukosea, una haki ya kufanya chochote.

Nikasema hichi ulichokiona ni kitu kidogo sana, mie nna Pepo kama sio nguvu za Giza, nnakunywa pombe, balaa la wanawake siwezi kulielezea, huyu sio mimi. Alitoa macho kusikia nnakunywa pombe ( nilikua sijawahi hata kuonja, hata sikua na wanawake ila Sasa katika kusuluhisha, ikabidi nijipatie ubaya wote).

Nilifanikiwa kuondoka kurudi kazini, uzuri usiku japo kishingo upande kimasihara ikachukua mkondo wake.

Hapo balaa la gari niliyoiacha Makumbusho likaibuka. Liliunguruma Kwa wiki Moja nikafanikiwa kuichukua gari Kituo Cha polisi.
Mkuu nakupa salute
 
Mimi yamenikuta mengi, ila hii ya mara ya mwisho ndio nimeona niache kabisa kuchepuka.
Kulingana na necha ya kazi ya wife, analazimika kuwahi mzigoni. Yaani mpaka saa 12:30 asubuhi anakua tayari ameshaondoka. Hivyo mimi nanaki na housegeli na mtoto mdogo wa miaka miwili. Kwahiyo mpaka saa mbili kamili mimi nakua nshaondoka.
Sasa baada ya kujaribu kwa dada nikaona kaingia mazima, ni kama vile nae alikua anamawazo kama yangu. Kumbuka yeye ni mdogo kwa wife kwa miaka mitano.
Kwa hiyo baada ya kukubaliwa ilinilazimu niutumie muda wa dakika 45 mpaka lisaa kukamilisha mambo yangu kwa ufasaha then naoga naingia job.
Sasa huu mchezo ukaenda kama miezi mitatu hivi na bahati nzuri dada hakuwahi kuonesha kiburi kwa wife. Alijitahidi sana kufanya kazi zake vizuri sana bila kushtukiwa. Ilifika hatua usiku tukiwa tumelala napokea msg kutoka kwa dada anamwonea wivu wife kulala na mimi usiku kucha.
Sijui ilikuaje bwana, wife akaanza kuhisi something phishy kati yangu na dada. Akaanza kufanya utafiti wake kwa siri sana. Kwenye simu ya dada hakufanikiwa kuona kitu, wala simu yangu vilevile.
Basi siku moja baada ya mchezo kunoga, wife aliondoka siku hiyo akaenda job kama kawaida. Yaaninalipotoka tu mimi nikainuka kitandani nikiwa mtupu vilevile nikaenda chumbani kwa dada amane nae alikua tayari ameshajiandaa. Yaani kajiifunga kanga tu kifuani. Nikamuinua nikaanza kula tunda humohumo chumbani. Mchezo ukanoga nikambeba nikaenda nae sitting room huku naendelea kumla kiroho safi. Baada ya kumaliza nikamwambia akanawe bafuni then arudi tuendelee.
Sasa dada yupo bafuni kaniachia kanga yake nimejifunika pale kwenye kochi, naskia mlango unafunguliwa wife anaingia😭😭😭😭😭 Ilikua siku ya aibu sana kwangu.
Wife akaniuliza leo huendi kazini, nikamwambia naenda. Mbona upo hapa na hiyo kanga vipi??? Hapo naona sura yake inabadilika kwa kasi, anaonhea huku anahema.
Akaivuta ile kanga anaona mashine imelowa inang'aa. Alipanik pale vibaya mno. Akamuita dada, akaitikia chooni lakini anashindwa kutoka hana nguo. Akamwambia atoke, dada akagoma kutoka. Akavunja mlango anamkuta dada uchi hana nguo na hana cha kujibu.
Nikavaa zangu nguo na kuondoka nikiacha ugomvi mkubwa home.
Sikurudi home wiki moja nikiwa kimya kabisa lakini moyoni sina amani kabisa.......
Malizia stori mkuu,ikawaje baada ya hapo
 
ID yake na mambo yake tofauti. Sema watu kama Hawa, wanakua peace sana ila hawapendi ujinga na kupelekeshwa, watakufurahisha.

Umepotea sana kapten.

Yeah Kapeace kwa kusoma comments zake zile za zamani anaonekana "mdada" poa sana, siku hizi sijui nani kamtibua...

Nipo kamanda, nimekuwa msomaji sana na kuchangia inapobidi tu...
 
Wanawake Huwa wanapima mkuu na kwambia Kuna jamaa alifumaniwa na wife wake lakini alikana mwanamke akaenda kwao lakini Bado jamaa akakataa.

Akatishia kama hatakubali basi basi amuoe huyo aliyekuwa na ndo mwisho wa ndoa hiyo jamaa kakataa baada ya miezi 2 akarudi mwenyewe.

Sisi kama majirani na marafiki wa jamaa ukimuuliza anakubali kabisa tukimwambia kubali yaishe anakataa
Hata iweje mwanaume hufai kukubali kosa
 
Yeah Kapeace kwa kusoma comments zake zile za zamani anaonekana "mdada" poa sana, siku hizi sijui nani kamtibua...

Nipo kamanda, nimekuwa msomaji sana na kuchangia inapobidi tu...
😃😃😃mi ni yuleyule ila wanaume wa humu wapo legelege sana hawatumii akili wamekalia malalamiko dhidi ya wanawake tu, acha niwape spana
 
Kwanza niliporudi nyumbani sikumkuta, simu sizioni, nikipiga anakata tu, nikajua tu hapa tayari mambo yameshatibuka.

Mbaya zaidi akaenda kwenye gari, akakuta Kuna simu ndogo Ina text zingine na tkt mbili za majina yetu. Hapakua na namna ningekataa.

Akaondoka na gari na bag yake akisema harudi Tena nyumbani na watoto anawaacha.

Baada ya kuomba sana tuonane, akasema Yuko Sleep way. Nikaacha gari Kwa askari wa SGA Makumbusho hata bila makabidhiano maalum ( hili ni balaa lingine nililiibua, gari ilipelekwa Oyster bay police).

Nilipofika mahali yupo tunaondoka huku naendesha sikuongea kitu, wakati huo analia tu na kutoa maneno ya uchungu. Nakumbuka nilisema tu naomba msamaha bila maelezo mengi huku naendesha kuelekea kanisani. Hadi wakati huo bag yake ipo kwenye gari na ameshikilia msimamo wake wa kutorudi nyumbani.

Nilijuafika wachungaji wameshaondoka ilikua kwenye saa mbili jioni. Akaniuliza Sasa unakuja kufanya Nini kanisani? Nikamwambia nataka niombewe...alijikuta anacheka Kwa sauti na kutamka, yaani ujinga wako ndio umeona uje kusumbua watu usiku huu?

Nikasema basi twende nyumbani, nipe muda wa mwezi mmoja nikatafute nyumba na Dada wa kazi Kisha ntakuja kuwachukua watoto. Kwa nilichokukosea, una haki ya kufanya chochote.

Nikasema hichi ulichokiona ni kitu kidogo sana, mie nna Pepo kama sio nguvu za Giza, nnakunywa pombe, balaa la wanawake siwezi kulielezea, huyu sio mimi. Alitoa macho kusikia nnakunywa pombe ( nilikua sijawahi hata kuonja, hata sikua na wanawake ila Sasa katika kusuluhisha, ikabidi nijipatie ubaya wote).

Nilifanikiwa kuondoka kurudi kazini, uzuri usiku japo kishingo upande kimasihara ikachukua mkondo wake.

Hapo balaa la gari niliyoiacha Makumbusho likaibuka. Liliunguruma Kwa wiki Moja nikafanikiwa kuichukua gari Kituo Cha polisi.
Sawa nimekosea ila ulichokifanya hata shetani alikushangaa sana ndio maana mwanamke alikucheka. Na pale alikuwa anatikisa jinti Kwa nguvu zote huku anasikilizia.
 
Mkuu ukiwa hivo utaishi Kwa shida sana kwanini simu Yako aikague na kama haitoshi anamchatisha mtu Ili iweje?

Umekuta ujumbe sawa lete hiyo Kero nitaona namna ya kujitetea.

Yule manzi na mjua Hana shida kabisa. Kwa maelezo yake baada ya kutukanwa Kwa msg alupigiwa simu akaona ajibu mapigo Kwa msg

Nae ni mtu tu hata yeye alikiri kosa na kuomba msamaha.

Binafisi Mimi Sina muda na simu ya wife kabisa otherwise inashida ama Mimi Nina shida nayo mfano bando limekata ghafla nitaomba atanipa nitapiga simu na kumpa simple.
Mimi sijawahi shika simu y mwenza wangu, ili iweje sasa. Ni kukosa kujiamini. Huwezi mzuia mtu kuchepuka kwa kukagua simu yake kila mara. Halafu pia ni kosa kisheria kukagua na kujibizana na watu kwenye simu ambayo si yako.

Unaweza pata msala kwa mwenza wako kumtukana au kutishia mtu kwa kutumia simu yako.
 
Back
Top Bottom