KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 225
- 349
my goodness kijeba alikula ugali sahani 2 nashuhudia kwa macho yangu akaulizia na ukoko ila mama akamwambia kuwa teyari una order ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuona manzi anakula o kile basi...Inaendelea..4
Basi yule kijeba akaanza
Kupoint nyumba anaanza kuongea harakaharaka kama ushawahi ona wale watu wa promotion kwenye mabasi ndio kama vile mara sisi ni wauzaji wa vyombo vya majumbani kutoka bra bra bra kibao kimoyo moyo hapo natamani hata kumtukana yule dada sisi wew na nani mbwa ww lkn daah! Nikawa namalizia rohoni tu sasa huwez amini nyumba zote zenye kapoint kama saba hv tukauza jagi moja tu zile zenye zinakuwaga na viglass vyake tena katoa kwenye beseni lake dada kijeba mm kwangu mzigo upo vile vile tukasonga hd buguruni pale ndo kuna nyumba moja hv kubwa wanaishi Waarabu si unajua wanakaaga wengi pale ndo tuliuza uza vyombo akawa anapoint hukuhuku lkn yule mama akitaka aje kwangu dada kijeba yeye anaanza promo kwa alivyovibeba yeye tu uwezi amini kuanzia hapo nikaanza kupata hasira na kijeba BTW Mungu alivyo mkubwa vitu vingi tuliuza Kiasi nikaanza kufeel kupungua uzito nikasema ahsante Mungu hapa tumemaliza maana si niliambiwa kuwa point ni buguruni ko nikahisi mambo yamekwisha wuehh dada kijeba akaanza kuniambia wew una upepo sana wa biashara hongera basi twende tukale tukaondoka hapo kama mida ya saa nane hivi,Tukaingia mgahawa mmoja hivi pale buguruni mm nikaagiza wali wa 2k yule my goodness kijeba alikula ugali sahani 2 nashuhudia kwa macho yangu akaulizia na ukoko ila mama akamwambia kuwa teyari una order ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuona manzi anakula kiasi kile basi...
Inaendelea sehemu ya mwisho
😂😂😂😂😂😂