Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

🤣Hizi story mpe mtoto wako wa 3 years old aamini sio mimi
 
Mbona umetaja dini 3, Kati ya 10k zilizopo duniani
Hizo tatu ndio abrahamic religion Yaani zinarudi asili kwa Ibrahim na zote zinakubali juu ya uwepo wa Mungu Muweza wa yote mwenye upendo wote.
Kama kuna zinazoitwa dini lakini asili yake hairudi kwa Ibrahim huo ni dini ya upotevu kwa kifupi hawana tofauti na wewe unayepinga uwepo wa Mungu.
Note: uislamu, ukristo na uyahudi zinatofautiana katika mambo mengi tu lakini zote zinakubali kuwa kuna Mungu mmoja muweza wa yote unaweza kuita Allah, Yahu, Yehova Wewe tu.
 
Watu huwa wanaleta hoja kwenye vitu ambavyo vipo sio ambavyo havipo kwa hiyo kuwepo kwa mjadala tu kuhusu Mungu ni hoja tosha kuwa Mungu yupo.
Ndio maana kuna hoja kuhusu bandari turuhusu uwekezaji au tusiruhusu iyoo ni kwasababu bandari ipo.
🤣🤣🤣🤣Watu hawabishani Kama bandari ipo lakini...mbona una akili za mtoto wa la tatu
 
Very good
 
"Kama vile kompyuta au Roboti inavyo kuwa programmed kufuata matakwa ya mtengenezaji na mtumiaji."....Na yeye ndie Kaumba mwanadamu awe hivi kwa matakwa yake, kusema aumbe mtu hivyo unavyotaka kusingekuwa na malipo siku ya mwisho.
We unafurahia mtu kachomwa kisa hajazaliwa kwa baba au mama muislamu?
 
🤣Hizi story mpe mtoto wako wa 3 years old aamini sio mimi
Wewe unataka story gani?
Political science inawapeleka vibayaa siku ya kufa utajua hujui.
Ila mkuu mbona uligusia stori ya nuhu na mnara wa Babeli mimi nikajua ndio vitu unapenda kuvisoma.
 
Hiyo umeamini coz ndo dini ambazo zinakuzunguka .. ungekuwa India ungeamini Hinduism au Buddhism na ungeona ukristo na uislamu ni dini upotevu...so why huyu Mungu muweza yote ana upendeleo..anatokea jamii moja anaacha zingine zipotee, Kama anapenda wote angetokea kila mtu ili tumwamini..kwa Nini tusikilizie kwa msenge mmoja jangwani huko ambapo hawajui hata dunia ni round
 
Wewe unataka story gani?
Political science inawapeleka vibayaa siku ya kufa utajua hujui.
Ila mkuu mbona uligusia stori ya nuhu na mnara wa Babeli mimi nikajua ndio vitu unapenda kuvisoma.
Bible naijua na Quran naijua ndo maana siamini..coz sijasomewa mstari mmoja unasema Mungu anapenda watu wote..nimesoma vitabu vizima kujua umaandazi walioandika...🤣🤣nikifa nitakufa sitakuwa na hisia yoyote...we unayesubiria bikra 72 kwa sababu za huku zimekushinda ndo nakuonea huruma
 
Hamna mtu atachomwa sababu hajazaliwa kwa baba au mama muislamu.
Kitabu gani kinasema hivyo??
Uislamu unasema watu wote wasioamini Allah na Muhammad mtume wake wanaenda straight motoni...🤣asa mtu kazaliwa kwa baba Mhindu mama mbudha unategemea anakuaje muislamu...
 
Kuna BCE na CE saa hivi...hatupambi ujinga wenu...hiyo ilikuwepo coz the Roman church had political power siku hizi everywhere in science au history wanatumia terms Before the Common Era na Common Era...Kama unabisha fuatilia
 
Mimi kwa maelezo yangu ndio hayo .
Haya niambie wewe races zimetoka wapi?
Mimi nakuuliza wewe tena kwa kupitia nukuu za baadhi ya vitabu mnavuoviamini.


Iweje leo hii watu waliozaliwa na kuzeekea ulaya ilihali wakiwa na ngozi nyeusi sio wazungu kwa rangi zao?
 
So mema sio kumpenda jirani yako, kuishi vizuri na watu, kusaidia watu, kuwa na amani na watu...Ila mema ni kubong'oa kichwa kikiangalia mji wa uarabuni? 🤣Sema kuwa muislam unabidi ujitoe akili
 
nisome tena kwa utulivu.

ipi aliyochinjwa???moja inaeleza sauli akitoa maelekezi kwa kamanda wake amuue,akagomewa akajichomsha mwenyewe.
nyingine ni daudi akisimuliwa na kamanda husika kilichotokea.

shida yako iko wapi??
Simulixi ya kanana umeisoma vizuri? Soma vizuri kamanda alichomuhadithia daudi ni nini alichomfanya sauli. Kamanda hakuhadithia kilichotokea alihadithia alivyomuua sauli Kwa mkono wake Kwa ridhaa ya sauli mwenyewe ni tofauti na hadithi ya sauli kujiua mwenyewe baada ya mshika silaha wake kukataa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…