Sasa mkuu, Mungu yeye kwa nini ajifiche?
Ana ogopa nini kutambulika hadharani kwa binadamu wote alio waumba yeye?
Yani kaumba viumbe na binadamu ambao hataki wamjue na kumwona hadharani?
Kama Mungu alitaka binadamu wote wamtii na kumwamini, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini muda wote na afute ufahamu wa kutomtambua yeye hayupo?
Yani ange program binadamu wote ufahamu wetu uwe, Kutambua yeye yupo muda wote, pasipo utata.
Kama vile kompyuta au Roboti inavyo kuwa programmed kufuata matakwa ya mtengenezaji na mtumiaji.