mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
biblia si tu kwamba naisoma vizuri kama wewe,naisoma kwa utulivu pia.Vipi ukikutana na kitabu kinachokwambia historia ya vifo vya aina mbili tofauti vya mtu mmoja (Soma biblia yako vizuri Kuna vifo viwilo tofauti vya sauli na yuda)
usisome huku unakula muwa.
embu eleza vifo vya aina mbili kwa namna gani???
inabidi uwe makini kujenga hoja,unajengaje.Academic history inaambatana na fossil evidence, documentary evidence sio kama historia za biblia amabazo ukiuliza unatishwa eti usipoamini utaenda motpni
kuhusu imani ni kweli tutakwambia wacha ugumu wa moyo,lakini kuhusu ushahidi tutakwambia acha upumbavu,maana ushahidi wa kihistoria katika biblia umehifadhiwa vyema kuliko historia yoyote unayoijua.
leo tu unahesabu 2023AD halafu kuna BC unajua maana yake???
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app