Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Bible naijua na Quran naijua ndo maana siamini..coz sijasomewa mstari mmoja unasema Mungu anapenda watu wote..nimesoma vitabu vizima kujua umaandazi walioandika...🤣🤣nikifa nitakufa sitakuwa na hisia yoyote...we unayesubiria bikra 72 kwa sababu za huku zimekushinda ndo nakuonea hurHu
Biblia huijui na Qur an ndio kabisa huijui yaani kwa kifupi una unachojua about thiolojia.
Yaa mimi nasubiri mabikra 72 inshaallah ..wewe unasubiri kuchomwa daah pole yako, Tubu mrudie Mungu bado una nafasi my friend acha kufuata mkumbo kaburini utakuwa pekee yako.
Alafu nina swali nje ya mada, Mbona unapenda kutumia Emoj ya kucheka kwenye replies zako ni ipi siri yake.?.inaonekana unapenda kucheka mshukuru Mungu mzima wa afya mpaka unacheka kuna wenzako wako ICU now.
 
mimi nikajua moja inasema jamaa alijichoma na upanga nyibgine inasema alijizika akiwa hai😂😂,ndio maana nikasema uwe unasoma kwa utulivu.

panga lililomuua daudi ni la huyu mshika silaha wake si ndio??

hapa pia usiwe na pupa,moja inasena alijinyonga nyingine alianguka matumbo yakapasuka.

swali mtu akijinyonga asishushwe,kinachofanya ni kipi???maana shamba inaonekana lilikuwa ni la kwake kwa kulinunua.
🤣Huu ujinga tushazoea ni sawa story moja inasema mtu kaenda na ndege afu nyingine inasema ameenda kwa miguu...au unaforce eti kapanda ndege lakini katembea Akiwa kwenye ndege...🤣 unabadilisha story mkuu .kuhusu yuda Anza kujibu swali, alirudisha hela au hakurudisha? Lazma one iwe true...kabla tujaendelea
 
[emoji1787]Huu ujinga tushazoea ni sawa story moja inasema mtu kaenda na ndege afu nyingine inasema ameenda kwa miguu...au unaforce eti kapanda ndege lakini katembea Akiwa kwenye ndege...[emoji1787] unabadilisha story mkuu .kuhusu yuda Anza kujibu swali, alirudisha hela au hakurudisha? Lazma one iwe true...kabla tujaendelea
Na hapo hajui hata story nilioongelea ni ya sauli sio daudi

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Biblia huijui na Qur an ndio kabisa huijui yaani kwa kifupi una unachojua about thiolojia.
Yaa mimi nasubiri mabikra 72 inshaallah ..wewe unasubiri kuchomwa daah pole yako, Tubu mrudie Mungu bado una nafasi my friend acha kufuata mkumbo kaburini utakuwa pekee yako.
Alafu nina swali nje ya mada, Mbona unapenda kutumia Emoj ya kucheka kwenye replies zako ni ipi siri yake.?.inaonekana unapenda kucheka mshukuru Mungu mzima wa afya mpaka unacheka kuna wenzako wako ICU now.
🤣🤣🤣🤣Acha kunitisha Mimi siogopi story za muarabu wa jangwani ambae aliamini jua linazama kwenye tope...🤣Nina akili kuliko yeye ..mtu anaamini nyota zipo anga ya karibu ili zipige mashetani wanataka kumfikia Mungu ..🤣so nyota zimepiga mashetani wangapi mpaka Sasa...hizi hekaya za abunuasi peleka kwa watoto sio mimi...
 
Niliamini ni muhimu kuishi na watu vizuri, kumbe there is no such thing.
 
Asante mkuu, Nilikuwa nataka kujua tu kama sayansi ina majibu ya kila kitu.
Kumbe haina
Haina majibu ya kila kitu.

Hata dini pia ni hivyo hivyo haina majibu yote.

Yale yanayoitwa majibu ni some sort of ridiculous.
 
So mema sio kumpenda jirani yako, kuishi vizuri na watu, kusaidia watu, kuwa na amani na watu...Ila mema ni kubong'oa kichwa kikiangalia mji wa uarabuni? 🤣Sema kuwa muislam unabidi ujitoe akili
Hayo yote uliyotaja ni mema na ndio uislamu unataka kama unafanyaga hayo inshaallah Allah akunusuru karibuni utakuwa muislamu kwa sababu uislamu ndio unaagiza hayo .
Kuhusu kuelekea uarabuni huwa atuelekei uarabuni ni Makka na hiyo ni ibada.
Kuhusu kuwa muislamu sio lazima ujitoe akili ni lazima utoe shahada(Tashahud) karibu unaweza kutoa ata hukohuko tu sema" Ashhadu Anlaa ila ha ila llah wa ashhadu Anna muhammadun rasullullah" tayari ushakuwa muislamu ukisema hivyo karibu niambie location nikuletee kanzu na makobazi .
 
Nawewe solution yako ni kukataa kuwa watu wawili hawawezi kuwa uchi kwenye bustani au?
Anyway..Embu nisaidie na hili swali pia kwa mujibu wa sayansi iliyowatoa ujinga.
Ni ipi asili ya dunia?
Ishu sio kukaa uchi.

Kukaa uchi sio stori ya kufanya watu waikatae stori.

Ishu ni hao watu walivyojikuta uchi baada ya kurubuniwa na nyoka.

Unakubali kuna nyoka anayeongea?

1693499485268.png

Nikikupa na hii stori hapa inayoonesha kikao cha panya waliokuwa wakijadili jinsi gani ya kumfunga paka kengele halafu nikasema nayo ni stori ya kweli utaipinga kwa hoja gani?

1693499573997.png

Kama stori ya wale waliokuwa uchi unaikubali basi hata hii pia bila shaka utaikubali.
 
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?

Lofaa sana
Msamehe tu ndugu yangu..kuna watu wakishakula ugali na kujamba baasi wanajua ndo wamemaliza kila kitu..
 
Sasa kama kitu hujui unapata wapi legitimate ya kusema claim yake ni ya uwongo.
Ili uweze kusema jambo sio lazima ujue ndio ni ipi sasa wewe hujui alafu unapinga claims za wenzako , Hii ni futui pro max
Kwani kuujua uongo ni mpaka ujue jibu?

Unaweza kuujua uongo wa kitu kwa kuangalia tu contradiction ya hoja.
 
Ishu sio kukaa uchi.

Kukaa uchi sio stori ya kufanya watu waikatae stori.

Ishu ni hao watu walivyojikuta uchi baada ya kurubuniwa na nyoka.

Unakubali kuna nyoka anayeongea?

View attachment 2734751

Nikikupa na hii stori hapa inayoonesha kikao cha panya waliokuwa wakijadili jinsi gani ya kumfunga paka kengele halafu nikasema nayo ni stori ya kweli utaipinga kwa hoja gani?

View attachment 2734759

Kama stori ya wale waliokuwa uchi unaikubali basi hata hii pia bila shaka utaikubali.
Picha ya kwanza inayohusu Adamu na hawa na nyoka story yake naikubali asilimia mia moja kwa sababu story hiyo inapatikana kwenye vitabu vya dini na dini ndio inamtangaza Mungu na Mungu ndio muweza wa yote hivyo anaweza kumuumba nyoka anaeongea
Picha ya pili inayohusu paka na panya story yake siikubali kiuhalisia kuwa panya anaweza ongea kwa sababu muandishi ametumia fasihi kuelezea jamii kuwa linapotokea jambo ni vizuri kukaa kikao kutafuta suluhisho ndio akatumia taswira ya panya kumuwakilisha mwanadamu.
Hivyo basi story ya nyoka kuongea naikubali kwa kuwa aliyetaka nyoka aongee ni Mungu mwenyewe na yeye anaweza kumfanya nyoka aongee.
Kwahiyo nyoka akiongea ndio Mungu hayupo??
 
Haina majibu ya kila kitu.

Hata dini pia ni hivyo hivyo haina majibu yote.

Yale yanayoitwa majibu ni some sort of ridiculous.
Dini inayo majibu ya kila kitu ila wewe ndio umeamua kuyakataa majibu yanayotolewa na dini.
Ukaamua kufuata njia ya kupinga pasina hoja za msingi na badala yake unatumia ridiculous points kupinga uwepo wa Mungu.
 
Picha ya kwanza inayohusu Adamu na hawa na nyoka story yake naikubali asilimia mia moja kwa sababu story hiyo inapatikana kwenye vitabu vya dini na dini ndio inamtangaza Mungu na Mungu ndio muweza wa yote hivyo anaweza kumuumba nyoka anaeongea
Picha ya pili inayohusu paka na panya story yake siikubali kiuhalisia kuwa panya anaweza ongea kwa sababu muandishi ametumia fasihi kuelezea jamii kuwa linapotokea jambo ni vizuri kukaa kikao kutafuta suluhisho ndio akatumia taswira ya panya kumuwakilisha mwanadamu.
Hivyo basi story ya nyoka kuongea naikubali kwa kuwa aliyetaka nyoka aongee ni Mungu mwenyewe na yeye anaweza kumfanya nyoka aongee.
Kwahiyo nyoka akiongea ndio Mungu hayupo??
Kwa hiyo wewe unakubali kila kitu kilichoelezwa na dini kuwa ni cha kweli?

Kama dini hueleza yaliyo kweli unaweza ukatuambia kwanini dini zipo nyingi na kila dini inapingana maelezo na dini nyingine?
 
Dini inayo majibu ya kila kitu ila wewe ndio umeamua kuyakataa majibu yanayotolewa na dini.
Ukaamua kufuata njia ya kupinga pasina hoja za msingi na badala yake unatumia ridiculous points kupinga uwepo wa Mungu.
Unajua hata majibu ya uongo nayo pia ni majibu?
 
L
🤣🤣🤣🤣Acha kunitisha Mimi siogopi story za muarabu wa jangwani ambae aliamini jua linazama kwenye tope...🤣Nina akili kuliko yeye ..mtu anaamini nyota zipo anga ya karibu ili zipige mashetani wanataka kumfikia Mungu ..🤣so nyota zimepiga mashetani wangapi mpaka Sasa...hizi hekaya za abunuasi peleka kwa watoto sio mimi...
Leta Aya inayosema jua linazama kwenye matope
 
Back
Top Bottom