Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 889
- 1,789
- Thread starter
- #281
Biblia huijui na Qur an ndio kabisa huijui yaani kwa kifupi una unachojua about thiolojia.Bible naijua na Quran naijua ndo maana siamini..coz sijasomewa mstari mmoja unasema Mungu anapenda watu wote..nimesoma vitabu vizima kujua umaandazi walioandika...🤣🤣nikifa nitakufa sitakuwa na hisia yoyote...we unayesubiria bikra 72 kwa sababu za huku zimekushinda ndo nakuonea hurHu
Yaa mimi nasubiri mabikra 72 inshaallah ..wewe unasubiri kuchomwa daah pole yako, Tubu mrudie Mungu bado una nafasi my friend acha kufuata mkumbo kaburini utakuwa pekee yako.
Alafu nina swali nje ya mada, Mbona unapenda kutumia Emoj ya kucheka kwenye replies zako ni ipi siri yake.?.inaonekana unapenda kucheka mshukuru Mungu mzima wa afya mpaka unacheka kuna wenzako wako ICU now.