wewe ndugu unaweza amini vitabu vyote juu ya Mungu!!!Argument nzuri sana tatizo tuna deal na watu ambao source yao ya information ni kitabu kimoja (bible au Quran) tu na wameamua watakiamini kwa vyovyote vile hata ukiwaambia waende google waingie page ya ancient history encyclopedia wapate hii knowledge japo kidogo hawataki.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ok sasa Katika vitabu vyote nilivyotaja Atrahasis, Old babilonic Bible,Bhagavad gita RAMADOSH na mythology nyingi za wagiriki na Wamisriunaonaje ukijikita katika dini inayomtambua Mungu muumba???isnt it fair?mimi siamini katika hizo dini nyingine,ntakuchanganya kama utataka kujadili kwa pamoja.
Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu. Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29 inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimuamini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.wewe ndugu unaweza amini vitabu vyote juu ya Mungu!!!
hata kama kila kimoja kina taarufa tofauti???
Vitabu vinavyotajwa kuwa vimetoka Kwa kiumbe kilichokamikika na vimejaa mapungufu na havifanani kuwa product ya kiumbe chenye ukamilifu vinafanana tu kuwa product za wanadamu kama sisi wenye mapungufu Kwa nini nikiaamini na kuitumia kama chanzo pekee Cha taarifa na muongozo wa maisha yangu?Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu. Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29 inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimusmini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Same to meMimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
sasa theology ya diploma tu umehitimisha bible ni uongo,watu wana wana degree kabisa na bado wako madhabahuni.Ok sasa Katika vitabu vyote nilivyotaja Atrahasis, Old babilonic Bible,Bhagavad gita RAMADOSH na mythology nyingi za wagiriki na Wamisri
Zina umri Mrefu mbali sana kuliko kitabu chochote cha biblia (Unless hukusoma theology) Maana mimi nilibahatika kusoma theology kidogo angalau nina ka diploma 😀😀
sijataka uamini,wala sijakulazimisha.Na kingine unatka niamini Imani ambayo ina miaka chini ya 1800 duniani..... Wakati Hizo dini zote nilizotaja Hata nikisema Hindu na BUDHA Zina miaka zaidi ya 10,000 duniani "Is that not concern" kwa sauti ya Farhad wa Tiktok
nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu.
kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29
science ni elimu sio imani.inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimuamini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nilivomaliza unafikir nilikaa nyumbni mkuu ilibdii nichimbe nje ya box Kma ingekuwa naweza kupewa ngazi ya elimu kwa niliyosoma nafikir ingebidi niitwe nabii au mtume kabisa maana Degree na Masters are just honorary's piece of Papers tu na kwangu mimi nahisi nimepita umri wa kuanza kutaka kuzpata hizo karatasi by the way ninazo nyingi sana za elimu nyingine zinatoshasasa theology ya diploma tu umehitimisha bible ni uongo,watu wana wana degree kabisa na bado wako madhabahuni.
shida inawezakuwa nini kwako😂😂😂
Hata story za kwenye Biblia once they started as the mythology....Na cha ajabu ni kwamba myth nyingine zimetumika kwenye biblia kama Flood ya nuhu na zingine za uumbaji zilikuwepo kwwnye hizo dini back then kabla ya biblia kuandikwa
sasa unaamini hivyo vitabu au huamini vyote pamoja na bible???maana kama vimekuingia bado tutakuuliza umevihakiki vipi kama rejea isiyo na shaka!!!!
sijataka uamini,wala sijakulazimisha.
hindu na budha ni imani kongwe kweli kweli,wewe ipi unaiamini kati ya hizo baada ya kugundua bible imeandikwa miaka 1250 iliyopita????
Nipe tofauti ya Quran Na Biblia ukitoa Aina ya uandishi na Lugha nipe tofauti interm of contextnilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???
kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.
science ni elimu sio imani.
Pole sweetycandyNdio marafiki , binadamu hawa watu kuwaamini ni uongo uongo uongo tena
Hawezi jibu mtu,muulize asingekuwepo na hapo alipo pangekuwa wapiEmbu nisaidie hili swali mkuu kwa mujibu wa sayansi.
Ni ipi asili ya mwanadamu?
basi sawa.Nilivomaliza unafikir nilikaa nyumbni mkuu ilibdii nichimbe nje ya box Kma ingekuwa naweza kupewa ngazi ya elimu kwa niliyosoma nafikir ingebidi niitwe nabii au mtume kabisa maana Degree na Masters are just honorary's piece of Papers tu na kwangu mimi nahisi nimepita umri wa kuanza kutaka kuzpata hizo karatasi by the way ninazo nyingi sana za elimu nyingine zinatosha
Kushindwa kujibu Haijustustufy Uongo wakoHawezi jibu mtu,muulize asingekuwepo na hapo alipo pangekuwa wapi
biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya historia ya wafalme na manabii na mitume walipata funuo mbalimbali kuhusu Mungu muumba.Nipe tofauti ya Quran Na Biblia ukitoa Aina ya uandishi na Lugha nipe tofauti interm of context
Nimeuliza interms of context na sio otherwise na kingine sio interm of contents Sjui umenielewabiblia ni mkusanyiko wa vitabu vya historia ya wafalme na manabii na mitume walipata funuo mbalimbali kuhusu Mungu muumba.
Quran ni kitabu kilichoandikwa yote ambayo Muhammad alidai amepewa ufunuo kutoka mbinguni na mungu Aliyemwita Allah.
Hujaelewa?Ndo umeongea nini
hii nikuachie wewe mkuu kwa elimu yako ya theolojia utusaidie.Nimeuliza interms of context na sio otherwise na kingine sio interm of contents Sjui umenielewa
Halafu nyoka hana masikio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]aliongeaje na Eva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Coz tunajua dunia haijaanza 6000 years ago na Adam n eve n a snake in the garden. Na tunajua ni uwongo coz story haimake sense kwa mtu anayejielewa. Plus imekuwa copied na pasted kutoka dini zingine throughout history...so sio kitu Cha kuaminika. Mi naweza nisijue rais wa marekani ni nani lakini ukiniambia ni magufuli nakataa...[emoji1787]Huna hoja wewe...utaaibika tu hapa. Kutojua kitu doesn't mean uamini jibu lolote...
Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments. Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???
kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.
science ni elimu sio imani.