nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???
kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.
science ni elimu sio imani.
Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments. Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.
Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)
Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary
1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.
Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.
Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.
Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?
Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14
Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu
Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)
Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao
Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?
Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi. Science hsiko hivyo. Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda
SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.
Sent from my M10_Max using
JamiiForums mobile app