Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Argument nzuri sana tatizo tuna deal na watu ambao source yao ya information ni kitabu kimoja (bible au Quran) tu na wameamua watakiamini kwa vyovyote vile hata ukiwaambia waende google waingie page ya ancient history encyclopedia wapate hii knowledge japo kidogo hawataki.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
wewe ndugu unaweza amini vitabu vyote juu ya Mungu!!!

hata kama kila kimoja kina taarufa tofauti???
 
unaonaje ukijikita katika dini inayomtambua Mungu muumba???isnt it fair?mimi siamini katika hizo dini nyingine,ntakuchanganya kama utataka kujadili kwa pamoja.
Ok sasa Katika vitabu vyote nilivyotaja Atrahasis, Old babilonic Bible,Bhagavad gita RAMADOSH na mythology nyingi za wagiriki na Wamisri

Zina umri Mrefu mbali sana kuliko kitabu chochote cha biblia (Unless hukusoma theology) Maana mimi nilibahatika kusoma theology kidogo angalau nina ka diploma 😀😀

Hata story za kwenye Biblia once they started as the mythology....Na cha ajabu ni kwamba myth nyingine zimetumika kwenye biblia kama Flood ya nuhu na zingine za uumbaji zilikuwepo kwwnye hizo dini back then kabla ya biblia kuandikwa

Na kingine unatka niamini Imani ambayo ina miaka chini ya 1800 duniani..... Wakati Hizo dini zote nilizotaja Hata nikisema Hindu na BUDHA Zina miaka zaidi ya 10,000 duniani "Is that not concern" kwa sauti ya Farhad wa Tiktok
 
wewe ndugu unaweza amini vitabu vyote juu ya Mungu!!!

hata kama kila kimoja kina taarufa tofauti???
Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu. Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29 inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimuamini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu. Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29 inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimusmini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Vitabu vinavyotajwa kuwa vimetoka Kwa kiumbe kilichokamikika na vimejaa mapungufu na havifanani kuwa product ya kiumbe chenye ukamilifu vinafanana tu kuwa product za wanadamu kama sisi wenye mapungufu Kwa nini nikiaamini na kuitumia kama chanzo pekee Cha taarifa na muongozo wa maisha yangu?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
Same to me
 
Ok sasa Katika vitabu vyote nilivyotaja Atrahasis, Old babilonic Bible,Bhagavad gita RAMADOSH na mythology nyingi za wagiriki na Wamisri

Zina umri Mrefu mbali sana kuliko kitabu chochote cha biblia (Unless hukusoma theology) Maana mimi nilibahatika kusoma theology kidogo angalau nina ka diploma 😀😀
sasa theology ya diploma tu umehitimisha bible ni uongo,watu wana wana degree kabisa na bado wako madhabahuni.

shida inawezakuwa nini kwako😂😂😂

Hata story za kwenye Biblia once they started as the mythology....Na cha ajabu ni kwamba myth nyingine zimetumika kwenye biblia kama Flood ya nuhu na zingine za uumbaji zilikuwepo kwwnye hizo dini back then kabla ya biblia kuandikwa

sasa unaamini hivyo vitabu au huamini vyote pamoja na bible???maana kama vimekuingia bado tutakuuliza umevihakiki vipi kama rejea isiyo na shaka!!!!

Na kingine unatka niamini Imani ambayo ina miaka chini ya 1800 duniani..... Wakati Hizo dini zote nilizotaja Hata nikisema Hindu na BUDHA Zina miaka zaidi ya 10,000 duniani "Is that not concern" kwa sauti ya Farhad wa Tiktok
sijataka uamini,wala sijakulazimisha.

hindu na budha ni imani kongwe kweli kweli,wewe ipi unaiamini kati ya hizo baada ya kugundua bible imeandikwa miaka 1250 iliyopita????
 
Vitabu vya science havina taarifa tofauti ndugu yangu.
nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???
Utofauti ni lugha tu ya maandishi ila concept ni Ile ile. Ila nyie Quran sura 9 Aya 29
kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.
inasema wakristo wote motoni ila biblia inasema ukimuamini yesu kristo kuwa mwokozi na kukiri Kwa roho na kweli utaokolewa na huu ndo msingi wa ukristo. Vitabu vya science havitofautiani ndo maana daktari wa Tanzania na ulaya wanasoma concept zile zile sio sawa na vitabu vya dini.
science ni elimu sio imani.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
sasa theology ya diploma tu umehitimisha bible ni uongo,watu wana wana degree kabisa na bado wako madhabahuni.

shida inawezakuwa nini kwako😂😂😂

Hata story za kwenye Biblia once they started as the mythology....Na cha ajabu ni kwamba myth nyingine zimetumika kwenye biblia kama Flood ya nuhu na zingine za uumbaji zilikuwepo kwwnye hizo dini back then kabla ya biblia kuandikwa

sasa unaamini hivyo vitabu au huamini vyote pamoja na bible???maana kama vimekuingia bado tutakuuliza umevihakiki vipi kama rejea isiyo na shaka!!!!

sijataka uamini,wala sijakulazimisha.

hindu na budha ni imani kongwe kweli kweli,wewe ipi unaiamini kati ya hizo baada ya kugundua bible imeandikwa miaka 1250 iliyopita????
Nilivomaliza unafikir nilikaa nyumbni mkuu ilibdii nichimbe nje ya box Kma ingekuwa naweza kupewa ngazi ya elimu kwa niliyosoma nafikir ingebidi niitwe nabii au mtume kabisa maana Degree na Masters are just honorary's piece of Papers tu na kwangu mimi nahisi nimepita umri wa kuanza kutaka kuzpata hizo karatasi by the way ninazo nyingi sana za elimu nyingine zinatosha
 
nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???

kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.

science ni elimu sio imani.
Nipe tofauti ya Quran Na Biblia ukitoa Aina ya uandishi na Lugha nipe tofauti interm of context
 
basi sawa.
 
Nipe tofauti ya Quran Na Biblia ukitoa Aina ya uandishi na Lugha nipe tofauti interm of context
biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya historia ya wafalme na manabii na mitume walipata funuo mbalimbali kuhusu Mungu muumba.

Quran ni kitabu kilichoandikwa yote ambayo Muhammad alidai amepewa ufunuo kutoka mbinguni na mungu Aliyemwita Allah.
 
Nimeuliza interms of context na sio otherwise na kingine sio interm of contents Sjui umenielewa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Coz tunajua dunia haijaanza 6000 years ago na Adam n eve n a snake in the garden. Na tunajua ni uwongo coz story haimake sense kwa mtu anayejielewa. Plus imekuwa copied na pasted kutoka dini zingine throughout history...so sio kitu Cha kuaminika. Mi naweza nisijue rais wa marekani ni nani lakini ukiniambia ni magufuli nakataa...[emoji1787]Huna hoja wewe...utaaibika tu hapa. Kutojua kitu doesn't mean uamini jibu lolote...
Halafu nyoka hana masikio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]aliongeaje na Eva
 
nilizungumzia vitabu vya dini,kutokana na madai yako kwamba watu mnaojadiliana nao wameshika aina moja tu ya kitabu,ndipo nikauliza wewe ungekuwa mtu wa imani ungeshika maelezo ya vitabu vingapi???

kwanza Quran sio bible,hivi ni vitabu viwili tofauti.hata wafuasi wake ni watu tofauti.

science ni elimu sio imani.
Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments. Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.

Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)

Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary

1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.

Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.

Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.

Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?

Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14

Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu

Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)

Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao

Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?

Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi. Science hsiko hivyo. Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda

SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom