uligunduaje mkuu kwamba ni hadithi za kutunga!!!Mimi binafsi nilikua naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.
wewe umetunga kitabu gani???Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu.
vipi historia ya mkwawa na kinje nayo unaionaje si ni hadithi iliyotungwa pia au???Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.
Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Ata Mbuzi, sizimizi, myooo navo vinalalaMjinga wewe!bado upo ktk Karn ya giza.mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu??ujiuli ukiwa UMELALA!!viongo vyote havifanyi kazi ispokua moyo!je unajua SIRI YA TUKIO HILO?
Lofaa sana
Embu nisaidie hili swali mkuu kwa mujibu wa sayansi.Mimi niliachana na imani za dini baada ya kuelewa Evolution na nikaachana na Mungu baada ya kuelewa immune system inavyofanya kazi.
Sayansi imeniokoa kutoka kwenye dimbwi la ujinga mkuu
Point yako ni Nini...alafu acha uwongo...ubongo unafanya kazi pia unadhani ndoto zinatoka matakoni mwako amaMjinga wewe!bado upo ktk Karn ya giza.mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu??ujiuli ukiwa UMELALA!!viongo vyote havifanyi kazi ispokua moyo!je unajua SIRI YA TUKIO HILO?
Lofaa sana
Hatujui je wewe unajuaEmbu nisaidie hili swali mkuu kwa mujibu wa sayansi.
Ni ipi asili ya mwanadamu?
Seriously unafananisha history ya kinie na story za mtu aliyetembea juu ya maji na kupaa mawinguni bila kukosa oxygen...kuwa serious baculigunduaje mkuu kwamba ni hadithi za kutunga!!!
wewe umetunga kitabu gani???
vipi historia ya mkwawa na kinje nayo unaionaje si ni hadithi iliyotungwa pia au???
Sawa so solution yako ni kuamini story ya watu wawili uchi na nyoka anayeongea kwenye Bustani au...Asante mkuu, Nilikuwa nataka kujua tu kama sayansi ina majibu ya kila kitu.
Kumbe haina
Nawewe solution yako ni kukataa kuwa watu wawili hawawezi kuwa uchi kwenye bustani au?Sawa so solution yako ni kuamini story ya watu wawili uchi na nyoka anayeongea kwenye Bustani au...
🤣🤣🤣🤣🤣Unajua we ni mjinga Sana haya maswali nishayazoea...jibu lake ni sijui na wewe hujui..na huyo mtu aliyeandika kitabu miaka buku iliyopita hajui...acha kujikosha kila dini inasema Mungu wake ndo mwanzo wa kila kitu...sio Yahweh sio Allah sio brahma sio Odin sio Zeus .so haushtui mtu hapa...just coz watu hatujui doesn't mean unaweza tunga story yoyote na ukampachika Mungu wako...Nawewe solution yako ni kukataa kuwa watu wawili hawawezi kuwa uchi kwenye bustani au?
Anyway..Embu nisaidie na hili swali pia kwa mujibu wa sayansi iliyowatoa ujinga.
Ni ipi asili ya dunia?
Sasa kama kitu hujui unapata wapi legitimate ya kusema claim yake ni ya uwongo.🤣🤣🤣🤣🤣Unajua we ni mjinga Sana haya maswali nishayazoea...jibu lake ni sijui na wewe hujui..na huyo mtu aliyeandika kitabu miaka buku iliyopita hajui...acha kujikosha kila dini inasema Mungu wake ndo mwanzo wa kila kitu...sio Yahweh sio Allah sio brahma sio Odin sio Zeus .so haushtui mtu hapa...just coz watu hatujui doesn't mean unaweza tunga story yoyote na ukampachika Mungu wako...
🤣🤣🤣Coz tunajua dunia haijaanza 6000 years ago na Adam n eve n a snake in the garden. Na tunajua ni uwongo coz story haimake sense kwa mtu anayejielewa. Plus imekuwa copied na pasted kutoka dini zingine throughout history...so sio kitu Cha kuaminika. Mi naweza nisijue rais wa marekani ni nani lakini ukiniambia ni magufuli nakataa...🤣Huna hoja wewe...utaaibika tu hapa. Kutojua kitu doesn't mean uamini jibu lolote...Sasa kama kitu hujui unapata wapi legitimate ya kusema claim yake ni ya uwongo.
Ili uweze kusema jambo sio lazima ujue ndio ni ipi sasa wewe hujui alafu unapinga claims za wenzako , Hii ni futui pro max
Wewe mwenye hoja mbona huzitoi?🤣🤣🤣Coz tunajua dunia haijaanza 6000 years ago na Adam n eve n a snake in the garden. Na tunajua ni uwongo coz story haimake sense kwa mtu anayejielewa. Plus imekuwa copied na pasted kutoka dini zingine throughout history...so sio kitu Cha kuaminika. Mi naweza nisijue rais wa marekani ni nani lakini ukiniambia ni magufuli nakataa...🤣Huna hoja wewe...utaaibika tu hapa. Kutojua kitu doesn't mean uamini jibu lolote...
kwani kwa mujibu wa maelezo yako zote hizi ni stori tu??au hadithi??Seriously unafananisha history ya kinie na story za mtu aliyetembea juu ya maji na kupaa mawinguni bila kukosa oxygen...kuwa serious bac
baada yakufanywa singo mama sio?Nimeacha kumuamini Binaadam,
Zamani niliamini kuna Watu wema na wabaya ila sasa nimegundua wote wabaya tu tunatofautiana matendo.
dunia imeanza miaka bilion ngapi iliyopita??🤣🤣🤣Coz tunajua dunia haijaanza 6000 years ago na Adam n eve n a snake in the garden.
nini maana kujielewa!!!yaani kujielewa kwako kuna uhusiano gani na story hizi za vitabu!!!Na tunajua ni uwongo coz story haimake sense kwa mtu anayejielewa.
history ndio msingi wa elimu zote,hata unapotaka kuegemea kama rejea ni history ndio utaitumia,ambayo bado huwezi kuitetea kwa ushahidi kwamba ni kweli.sijui nayo inakuwa uongo kwa fikra zako??Plus imekuwa copied na pasted kutoka dini zingine throughout history...
wewe haupo katika kundi la wasioziamini,wewe uko kwenye kundi la wanaozikataa,kundi la wasio ziamini huwa wana hoja makini sana.so sio kitu Cha kuaminika.
unakataa kwa sababu unajua magufuli ni rais mmoja tu kuwahi kutokea tz,kwa sababu unamjua magufuli,vipi nikikwambia franklin ni rais wa marekani utakataa au utakubali??Mi naweza nisijue rais wa marekani ni nani lakini ukiniambia ni magufuli nakataa...
sasa mbona wewe hakuna unachokijua na ndio unatumia hiyo kuwa sababu ya kukataa ??🤣Huna hoja wewe...utaaibika tu hapa. Kutojua kitu doesn't mean uamini jibu lolote...
🤣 Hivi hujanielewa... niambie biblia imesema Nini kuhusu solar system...zaidi ya kusema jua mwezi na nyota zote zimewekwa angani Kama tochi ndani ya siku moja wakati dunia imetengenezwa siku tatu... Mimea imekuwa kabla ya jua kuwepo, ukienda kwenye Quran jua linazama kwenye tope asubuhi linamwomba Allah kuchomoza...afu unataka niamini hivi vitabu vinielezee solar system..kwamba nyota zinaweza kuangushwa na mkia wa dragon, anga ni ceiling board ...kweli. Hebu tue serious. Mi kuamini Mungu yupo sio lazma niamini upuuzi ulioandikwa na wajingaWewe mwenye hoja mbona huzitoi?
Alafu ni aibike kwa kipi ? Katika kutafuta elimu Kuna stage nne, Bahati mbaya wewe upo stage ya kwanza katika kujifunza katika stage hii Mtu hudhani anajua kila kitu na hapa mtu huwa anajifungia katika cage ya kudhani kuwa hayo anayo ya elewa ndio kweli, bila kujiuliza hivi hichi ninacho kiita kweli ni kweli ndio kweli?. There is alot of things beyond science my friend , Ongeza hekima yako katika kujifunza utajua mambo mengi ila kwa level yako you are so weak to argue this kind of topic.
Anyway...Nisaidie na hili swali pia mwanasayansi mbobezi wa karne hii.
What is origin of solar system?
Yesu kutembea juu ya maji sio historical information hio ni dini...hamna kitabu chochote Cha historia utasoma kwamba Yesu alitembea juu ya maji..ndo maana Yesu hata kwa waislamu yupo na ana story tofauti kabisa...ndo ujue hizi ni story tu kila mtu anakuja na lakekwani kwa mujibu wa maelezo yako zote hizi ni stori tu??au hadithi??
mkwawa kuchapa wajeruman handsdown,umepokea kama hadithi iliyotokea,ila Yesu kutembea juu ya maji unasema hapana huo ni uongo wa kutunga tu.
historia ndio zinafanya tujue hata ni wapi tunaelekea,kama unazikataa na kuita ni uongo kataa zote.