1. kuhusiana na quinine kutokutumika kama dawa kwa sasa ni kwa sababu ya side effects zake na si kwa sababu ya parasital adaptation sasa hivi kuna kitu kama "artemisinins" ambayo ni very effective with lesser side effects .
2. Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution ( [emoji28][emoji28][emoji28]) bado ni speculation na haijapita kama fact maana bado "wanadhani" labda plasmodium ali evolve kutoka
Plasmodium brasilianum ambaye alikuwa ana infect monkeys kisha akaja kuwa plasmodium malariae ambaye ndiye anayetesa binadamu keyword ni LABDA . NA MPAKA SASA HAKUNA EVOLVEF SPECIES YA PLASMODIUM MALARIAE .
Conclussion
umejaribu ku twist maneno kwa vipoint HEWA ambavyo hata layman tu anaweza kukujibu come with good points labda unaweza kuni convice
Quinine iliachwa kwasababu ya side effects tu? Reports za malaria ku resist hii dawa zipo ni wewe tu kusoma ujue ([emoji23][emoji23][emoji23]).
Statement hiyo apo soma kuhusu quinine
"Quinine has not been entirely abandoned as a treatment for malaria, but its use has been limited in some cases due to various factors, including side effects and the development of resistance"
Niseme nikubali ni side effects peke yake (japo sio kweli) ndo zilifanya quinine iachwe nambie kuhusu chloroquine sasa
Nimekupa quote kutoka kitabu cha medical parasitology kuhusu chloroquine hii hapa
"chloroquine was an effective treatment for malaria. However, as the parasite population was exposed to the drug over many years, some individual parasites with genetic mutations that allowed them to survive chloroquine treatment had a survival advantage. These resistant parasites were more likely to survive, reproduce, and pass on their resistance genes to the next generation of parasites. This led to the evolution of chloroquine-resistant strains of Plasmodium, making the drug less effective in certain regions".
Pia nimeongelea evolution ya plasmodium in response tu "drug resistance"
sababu ulisema unataka evidence yoyote proved ya evolution sasa hivi nimekupa hiyo apo. Kuhusu strain wa plasmodium brasilianum wa monkey ku evolve kuwa plasmodium falciparum bado ni hypothesis inahitaji research na hypothesis hukurupuki tu kuleta kwenye science lazima utuambie why ume hypothesize kitu kama hicho na sababu ya hii hypothesis ilikuwa hii hapa
"The idea that Plasmodium falciparum, the species responsible for the most severe and deadly form of malaria in humans, may have originated from a related parasite in monkeys, Plasmodium brasilianum, has been proposed as a hypothesis in the study of malaria's evolutionary history. This hypothesis is based on genetic and evolutionary evidence that suggests a complex history of host-switching events between primates and these malaria parasites".
Naona pia na utofauti wa Evolution na adaptation unakupa shida (jaribu kusoma hapa uelewe utofauti pia uongeze na source tofauti apa nimekupa mwanzo tu). [ Sentensi yako hii: "Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution"]
Adaptation refers to the specific traits or characteristics that organisms develop over time to better suit their environment or improve their chances of survival and reproduction.
Evolution: Evolution is a broader concept that encompasses the long-term change in the genetic makeup of a population of organisms over generations.
Conclusion: Badala ya kutoa point unawahi ku attack mtu kwa kujaribu kuonyesha kuwa hajui chochote ndo maana umesema "vi point hewa hata layman anaweza kukujibu". Hii fallacy kwenye logical argument inaitwa Ad Hominem.
Sent from my M10_Max using
JamiiForums mobile app