Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

dawa kuwa na makaratasi elfu moja kila moja na maelezo yake huo ni mfano wa dini nyingi zenye maelezo tofauti juu ya mungu, Hapo kuna karatasi moja ina maelezo ya kweli ambayo ni hiyo yenye maelezo ya kiarabu.

Wewe kwa upande wako hata iyo dawa hauitaki iweje utake kunywa ?.
😂😂😂😂Aaah so kiarabu ndo Nini asa
 
sasa Muhammad ndio kasema tumeumbwa na Mungu na kaja na sheria za mungu.
kivipi utakubali umeumbwa na mungu alafu ukatae sheria zake?

Kuhusu kujua sheria za muhammad kuwa zimetoka kwa mungu tumia njia hiyo iliyokufanya ujue kuwa sisi tumeumbwa na mungu. Kama njia yako ni hii ya " Fyn tufanye tumeumbwa..." basi pia fyn tufanye sheria za muhammmad ni za mungu.
hope unaanza kuelewa uwepo wa mungu sasa.
😂😂😂😂😂So Muhammad ndo kasema tumeumbwa bila hivyo watu walikuwa wanaamini hawajaumbwa....😂hivi hauchoki kuonekana mjinga
 
Afu mi sijasema siamini uwepo wa Mungu...anaweza kuwepo asiwepo I don't care, coz he/she/it didn't make me care, Ila kuhusu vitabu vya dini 100% sure hamna kazi pale
Sema ww Mwamba huwa unabisha na kupinga lakini unakosa hoja ya kutetea kile unacho kipinga.
Wenzako huwa Wana hoja zilizo shiba na za kupinga siyo kama ww unabaki na neno lako Kuwa n story za kutunga lakin toa hoja kutetea huna
 
😂😂😂Fuatilia texts zangu afu ndo useme hivi...nimeongea vingapi, nimetoa makosa mangapi both Quran na bible...ndo shida ya kukuta mada katikati...
 
Unajua moto uliweza kuwa tamed lini, Sasa miaka 5000 iliyopita mwanadamu si tiyari alikua anakaa kwenye nyumba kabisa pyramid zimeisha jengwa
kama for 5000 years hatuwezi tuka notice chochote cha tofauti kati ya watu walioishi miaka hiyo na hii ya sasa means evolution is very speculated na haiwezi kupita as a fact .

Means hauwezi kutumia evolution theory ku prove nature of human being maana aliyeitunga (darwin) ali speculate kwamba inawezekana ndivyo mambo yalivyotokea na hakufanya experimentation yoyote.

Najua hapo kichwani kwako unawaza "ooo what about fossils ?" Fossils haziwezi kutumiwa kama basis ya ku prove A THEORY let it be a theory maana hata hizo fossils huwa wana guess tu wakisahau kwamba 86% ya species hatuzijui .
 
We katika maisha yako..Mara ya mwisho kumwona Simba anatembea barabarani ni lini ..unawezaje kusema una mazingira sawa na mtu wa miaka 5000 haupo serious kabisa
Jibu lako halina uhalisia maana ukisema "mara ya mwisho kumuona simba anatembea barabarani ni lini " wakati huo huo ukiwa haujui ninapoishi ninaweza kukucheka na ninaweza kuwa na majibu mengi tu.

1. May be naishi kwenye zoo kama animal keeper and trainee.

2. Maybe mimi ni masai na muda huu ninaishi eneo la mbuga ambalo kupishana na wanyama kama chui , simba n.k ni jambo la kawaida .

3. Maybe juzi tu tulimuuwa simba aliyekutwa barabarani anakula mtu .

Maybe maybe maybe ni nyingi na bado hamna ulichonijibu.

Na umejibu ki layman ,am so dissapointed umesahau kwamba 5000 years ago ilikuwa ni 3000bc ambapo kulikuwa na great civilized societies ambazo mpaka leo bado kuna vitu walitengeneza vinawaumiza kichwa archiologists na scientists wengi tu mfano wa empirea kwa uchache zilizokuwepo 3000bc ni

1. Mesopotamian empire
2. Indus civilization( ambao wahindi wa sasa ni descendants wao)
3. Ancient egypty (abao hata chariots walikuwa nazo na wali tame wanyama wengi tu wamwitu na waka wa domesticate)
4. Sumer empire
5.akkadian empire na nyenginezo nyingi tu.

TUKITUMIA MFANO WAKO WA SIMBA ULITAKA KUMAANISHA NINI?
 
Strains za parasites kama plasmodium ambazo unakuta sasaivi dawa fulani inaziua baada ya muda hiyo dawa inashindwa. Quinine unaitumia kutibu malaria sasaivi? Parasite anaekuletea ugonjwa amesha evolve features zinazomuwezesha kukwepa quinine. Huu ni mfano wa proved phenomenon.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
1. kuhusiana na quinine kutokutumika kama dawa kwa sasa ni kwa sababu ya side effects zake na si kwa sababu ya parasital adaptation sasa hivi kuna kitu kama "artemisinins" ambayo ni very effective with lesser side effects .

2. Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution ( 😅😅😅) bado ni speculation na haijapita kama fact maana bado "wanadhani" labda plasmodium ali evolve kutoka
Plasmodium brasilianum ambaye alikuwa ana infect monkeys kisha akaja kuwa plasmodium malariae ambaye ndiye anayetesa binadamu keyword ni LABDA . NA MPAKA SASA HAKUNA EVOLVEF SPECIES YA PLASMODIUM MALARIAE .

Conclussion
umejaribu ku twist maneno kwa vipoint HEWA ambavyo hata layman tu anaweza kukujibu come with good points labda unaweza kuni convice
 
Proved wapi!!! (Kweli hii ndo hoja yako) evidence from selective breeding, evidence from comparative anatomy and embryology, evidence from biogeography, fossil evidence zilozotolewa hamzifahamu au mmeamua kuzipotezea tu?
haua yote bado ni madai tu,hata wanasayansi bado wako kwenye utafiti hawajaridhika nayo.

kwamba binaadam amewahi kuwa sokwe hapo kale.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
1. kuhusiana na quinine kutokutumika kama dawa kwa sasa ni kwa sababu ya side effects zake na si kwa sababu ya parasital adaptation sasa hivi kuna kitu kama "artemisinins" ambayo ni very effective with lesser side effects .

2. Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution ( [emoji28][emoji28][emoji28]) bado ni speculation na haijapita kama fact maana bado "wanadhani" labda plasmodium ali evolve kutoka
Plasmodium brasilianum ambaye alikuwa ana infect monkeys kisha akaja kuwa plasmodium malariae ambaye ndiye anayetesa binadamu keyword ni LABDA . NA MPAKA SASA HAKUNA EVOLVEF SPECIES YA PLASMODIUM MALARIAE .

Conclussion
umejaribu ku twist maneno kwa vipoint HEWA ambavyo hata layman tu anaweza kukujibu come with good points labda unaweza kuni convice
Quinine iliachwa kwasababu ya side effects tu? Reports za malaria ku resist hii dawa zipo ni wewe tu kusoma ujue ([emoji23][emoji23][emoji23]).

Statement hiyo apo soma kuhusu quinine

"Quinine has not been entirely abandoned as a treatment for malaria, but its use has been limited in some cases due to various factors, including side effects and the development of resistance"

Niseme nikubali ni side effects peke yake (japo sio kweli) ndo zilifanya quinine iachwe nambie kuhusu chloroquine sasa

Nimekupa quote kutoka kitabu cha medical parasitology kuhusu chloroquine hii hapa

"chloroquine was an effective treatment for malaria. However, as the parasite population was exposed to the drug over many years, some individual parasites with genetic mutations that allowed them to survive chloroquine treatment had a survival advantage. These resistant parasites were more likely to survive, reproduce, and pass on their resistance genes to the next generation of parasites. This led to the evolution of chloroquine-resistant strains of Plasmodium, making the drug less effective in certain regions".

Pia nimeongelea evolution ya plasmodium in response tu "drug resistance"
sababu ulisema unataka evidence yoyote proved ya evolution sasa hivi nimekupa hiyo apo. Kuhusu strain wa plasmodium brasilianum wa monkey ku evolve kuwa plasmodium falciparum bado ni hypothesis inahitaji research na hypothesis hukurupuki tu kuleta kwenye science lazima utuambie why ume hypothesize kitu kama hicho na sababu ya hii hypothesis ilikuwa hii hapa

"The idea that Plasmodium falciparum, the species responsible for the most severe and deadly form of malaria in humans, may have originated from a related parasite in monkeys, Plasmodium brasilianum, has been proposed as a hypothesis in the study of malaria's evolutionary history. This hypothesis is based on genetic and evolutionary evidence that suggests a complex history of host-switching events between primates and these malaria parasites".

Naona pia na utofauti wa Evolution na adaptation unakupa shida (jaribu kusoma hapa uelewe utofauti pia uongeze na source tofauti apa nimekupa mwanzo tu). [ Sentensi yako hii: "Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution"]

Adaptation refers to the specific traits or characteristics that organisms develop over time to better suit their environment or improve their chances of survival and reproduction.

Evolution: Evolution is a broader concept that encompasses the long-term change in the genetic makeup of a population of organisms over generations.

Conclusion: Badala ya kutoa point unawahi ku attack mtu kwa kujaribu kuonyesha kuwa hajui chochote ndo maana umesema "vi point hewa hata layman anaweza kukujibu". Hii fallacy kwenye logical argument inaitwa Ad Hominem.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
haua yote bado ni madai tu,hata wanasayansi bado wako kwenye utafiti hawajaridhika nayo.

kwamba binaadam amewahi kuwa sokwe hapo kale.
Evolution haisemi hivyo kwamba binadamu aliwahi kuwa sokwe hiyo itakuwa theory nyingine ila sio evolution.

Hebu nipe source moja ya biology ambayo inasema hizo evidence nilizotaja hapo ni madai tu hayako proved? Isije ikawa ni wewe ndo unawasemea wanasayansi kwamba hawajaridhika.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Niliamini Hapa Duniani ukiwa na ndugu wenye uwezo au ukitokea familia inajiweza kiuchumi basi na wewe maisha umeyapatia.

sasa nagundua kumbe nilikua naota bado nipo kwenye maisha yenyewe sasa ambayo yamenifanya nigundue uwezo wa ndugu zako si kigezo cha wewe kufanikiwa kwa haraka katika maisha.
 
Mbona wewe haujajibu swali unarukia kuuliza swali ?
anyway, ndio kawaida yenu wapinga mungu hamjui kujibu maswali nyie mnajua kuuliza tu.
Mungu ninae mzungumzia mimi ni Allah ambaye hana asili kwa ufupi hajaumbwa wala hajaza wala hajazaliwa .

Unaweza kuthibitisha shetani yupo na ni mbaguzi??
Kama huyo Allah wako hana asili sasa unabisha nini mtu akisema na dunia pia haina asili ,kwa maana kumbe umekiri kitu kinaweza kuwepo bila asili kama ulivyokiri kwa huyo Allah.
 
Dini inayo majibu ya kila kitu ila wewe ndio umeamua kuyakataa majibu yanayotolewa na dini.
Ukaamua kufuata njia ya kupinga pasina hoja za msingi na badala yake unatumia ridiculous points kupinga uwepo wa Mungu.
Dini ina majibu ya kila kitu!? Ikiwa ndiyo hebu nijibu haya yafuatayo

1. Mungu muweza wa yote hakujua kama kiumbe alichokiumba kingekuja kumsaliti siku moja?

2. Kwa nini asingemuua huyo anaeitwa Shetani ili asisumbue binadamu wengine.

3. Ikiwa kitabu cha Mwanzo kinaelezea uumbaji wa du ia na vyote viliumbwa kwa siku moja tena kwa kutamka na ikawa(means masaa na siku yalikuwa sawa). Je uhalisia uko hivyo sasa hivi?

4. Kwa nini kuna varieties of human races ikiwa walioumbwa ni Adam na Hawa tu!

5. Nani alimuumba Mungu ikiwa kila kitu kimsingi kina Mwanzo wake!!?.

Ndugu ukinijibu hata maswali mawili tu kati ya hayo mimi nitarudi kuanza kusali tena kwenye dini za wazungu.
 
Jibu lako halina uhalisia maana ukisema "mara ya mwisho kumuona simba anatembea barabarani ni lini " wakati huo huo ukiwa haujui ninapoishi ninaweza kukucheka na ninaweza kuwa na majibu mengi tu.

1. May be naishi kwenye zoo kama animal keeper and trainee.

2. Maybe mimi ni masai na muda huu ninaishi eneo la mbuga ambalo kupishana na wanyama kama chui , simba n.k ni jambo la kawaida .

3. Maybe juzi tu tulimuuwa simba aliyekutwa barabarani anakula mtu .

Maybe maybe maybe ni nyingi na bado hamna ulichonijibu.

Na umejibu ki layman ,am so dissapointed umesahau kwamba 5000 years ago ilikuwa ni 3000bc ambapo kulikuwa na great civilized societies ambazo mpaka leo bado kuna vitu walitengeneza vinawaumiza kichwa archiologists na scientists wengi tu mfano wa empirea kwa uchache zilizokuwepo 3000bc ni

1. Mesopotamian empire
2. Indus civilization( ambao wahindi wa sasa ni descendants wao)
3. Ancient egypty (abao hata chariots walikuwa nazo na wali tame wanyama wengi tu wamwitu na waka wa domesticate)
4. Sumer empire
5.akkadian empire na nyenginezo nyingi tu.

TUKITUMIA MFANO WAKO WA SIMBA ULITAKA KUMAANISHA NINI?
Naona umetaja Tanzania hapo
 
Back
Top Bottom