SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Very trueZamani nlikuwa na amini dini ni njia ya haki na kwli ili mtu amjue MUNGU kumbe ni kichaka cha matapeli na wezi wenye tamaa za fedha na mali ........ inshort nimewachukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very trueZamani nlikuwa na amini dini ni njia ya haki na kwli ili mtu amjue MUNGU kumbe ni kichaka cha matapeli na wezi wenye tamaa za fedha na mali ........ inshort nimewachukia
😂😂😂Kwa hiyo nyota kazi yake ni kupiga mashetani ..kama hiyo ni sayansi ya kweli basi ndio hiyohiyoo.
Bac ..kazinguaanajua
😂Naweza kusema nimetokewa na Mimi Ila mi sio mchoyo muongo au tapeli ..nawaachia hizi kazi kina zumaridi na Muhammadhata hii yako ni dini pia.
tofauti ni kwamba wewe hujaongea na Mungu.
😂😂😂😂Aaah so kiarabu ndo Nini asadawa kuwa na makaratasi elfu moja kila moja na maelezo yake huo ni mfano wa dini nyingi zenye maelezo tofauti juu ya mungu, Hapo kuna karatasi moja ina maelezo ya kweli ambayo ni hiyo yenye maelezo ya kiarabu.
Wewe kwa upande wako hata iyo dawa hauitaki iweje utake kunywa ?.
😂😂We ukitaka mtu akujue unafanyaje ..,😂mnajitoa akili Sana.usipo jua jibu la hilo swali hautamjua mungu na ukilijua utamjua.
😂😂😂😂😂So Muhammad ndo kasema tumeumbwa bila hivyo watu walikuwa wanaamini hawajaumbwa....😂hivi hauchoki kuonekana mjingasasa Muhammad ndio kasema tumeumbwa na Mungu na kaja na sheria za mungu.
kivipi utakubali umeumbwa na mungu alafu ukatae sheria zake?
Kuhusu kujua sheria za muhammad kuwa zimetoka kwa mungu tumia njia hiyo iliyokufanya ujue kuwa sisi tumeumbwa na mungu. Kama njia yako ni hii ya " Fyn tufanye tumeumbwa..." basi pia fyn tufanye sheria za muhammmad ni za mungu.
hope unaanza kuelewa uwepo wa mungu sasa.
Sema ww Mwamba huwa unabisha na kupinga lakini unakosa hoja ya kutetea kile unacho kipinga.Afu mi sijasema siamini uwepo wa Mungu...anaweza kuwepo asiwepo I don't care, coz he/she/it didn't make me care, Ila kuhusu vitabu vya dini 100% sure hamna kazi pale
😂😂😂Fuatilia texts zangu afu ndo useme hivi...nimeongea vingapi, nimetoa makosa mangapi both Quran na bible...ndo shida ya kukuta mada katikati...Sema ww Mwamba huwa unabisha na kupinga lakini unakosa hoja ya kutetea kile unacho kipinga.
Wenzako huwa Wana hoja zilizo shiba na za kupinga siyo kama ww unabaki na neno lako Kuwa n story za kutunga lakin toa hoja kutetea huna
kama for 5000 years hatuwezi tuka notice chochote cha tofauti kati ya watu walioishi miaka hiyo na hii ya sasa means evolution is very speculated na haiwezi kupita as a fact .Unajua moto uliweza kuwa tamed lini, Sasa miaka 5000 iliyopita mwanadamu si tiyari alikua anakaa kwenye nyumba kabisa pyramid zimeisha jengwa
Jibu lako halina uhalisia maana ukisema "mara ya mwisho kumuona simba anatembea barabarani ni lini " wakati huo huo ukiwa haujui ninapoishi ninaweza kukucheka na ninaweza kuwa na majibu mengi tu.We katika maisha yako..Mara ya mwisho kumwona Simba anatembea barabarani ni lini ..unawezaje kusema una mazingira sawa na mtu wa miaka 5000 haupo serious kabisa
1. kuhusiana na quinine kutokutumika kama dawa kwa sasa ni kwa sababu ya side effects zake na si kwa sababu ya parasital adaptation sasa hivi kuna kitu kama "artemisinins" ambayo ni very effective with lesser side effects .Strains za parasites kama plasmodium ambazo unakuta sasaivi dawa fulani inaziua baada ya muda hiyo dawa inashindwa. Quinine unaitumia kutibu malaria sasaivi? Parasite anaekuletea ugonjwa amesha evolve features zinazomuwezesha kukwepa quinine. Huu ni mfano wa proved phenomenon.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
haua yote bado ni madai tu,hata wanasayansi bado wako kwenye utafiti hawajaridhika nayo.Proved wapi!!! (Kweli hii ndo hoja yako) evidence from selective breeding, evidence from comparative anatomy and embryology, evidence from biogeography, fossil evidence zilozotolewa hamzifahamu au mmeamua kuzipotezea tu?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
unaweza usichague utapeli na uongo ila ukachagua wizi au ufisadi.😂Naweza kusema nimetokewa na Mimi Ila mi sio mchoyo muongo au tapeli ..nawaachia hizi kazi kina zumaridi na Muhammad
Quinine iliachwa kwasababu ya side effects tu? Reports za malaria ku resist hii dawa zipo ni wewe tu kusoma ujue ([emoji23][emoji23][emoji23]).1. kuhusiana na quinine kutokutumika kama dawa kwa sasa ni kwa sababu ya side effects zake na si kwa sababu ya parasital adaptation sasa hivi kuna kitu kama "artemisinins" ambayo ni very effective with lesser side effects .
2. Kuhusiana na adapatation ya plasmodium au kama ulivyoiita evolution ( [emoji28][emoji28][emoji28]) bado ni speculation na haijapita kama fact maana bado "wanadhani" labda plasmodium ali evolve kutoka
Plasmodium brasilianum ambaye alikuwa ana infect monkeys kisha akaja kuwa plasmodium malariae ambaye ndiye anayetesa binadamu keyword ni LABDA . NA MPAKA SASA HAKUNA EVOLVEF SPECIES YA PLASMODIUM MALARIAE .
Conclussion
umejaribu ku twist maneno kwa vipoint HEWA ambavyo hata layman tu anaweza kukujibu come with good points labda unaweza kuni convice
Evolution haisemi hivyo kwamba binadamu aliwahi kuwa sokwe hiyo itakuwa theory nyingine ila sio evolution.haua yote bado ni madai tu,hata wanasayansi bado wako kwenye utafiti hawajaridhika nayo.
kwamba binaadam amewahi kuwa sokwe hapo kale.
Kama huyo Allah wako hana asili sasa unabisha nini mtu akisema na dunia pia haina asili ,kwa maana kumbe umekiri kitu kinaweza kuwepo bila asili kama ulivyokiri kwa huyo Allah.Mbona wewe haujajibu swali unarukia kuuliza swali ?
anyway, ndio kawaida yenu wapinga mungu hamjui kujibu maswali nyie mnajua kuuliza tu.
Mungu ninae mzungumzia mimi ni Allah ambaye hana asili kwa ufupi hajaumbwa wala hajaza wala hajazaliwa .
Unaweza kuthibitisha shetani yupo na ni mbaguzi??
Dini ina majibu ya kila kitu!? Ikiwa ndiyo hebu nijibu haya yafuatayoDini inayo majibu ya kila kitu ila wewe ndio umeamua kuyakataa majibu yanayotolewa na dini.
Ukaamua kufuata njia ya kupinga pasina hoja za msingi na badala yake unatumia ridiculous points kupinga uwepo wa Mungu.
Naona umetaja Tanzania hapoJibu lako halina uhalisia maana ukisema "mara ya mwisho kumuona simba anatembea barabarani ni lini " wakati huo huo ukiwa haujui ninapoishi ninaweza kukucheka na ninaweza kuwa na majibu mengi tu.
1. May be naishi kwenye zoo kama animal keeper and trainee.
2. Maybe mimi ni masai na muda huu ninaishi eneo la mbuga ambalo kupishana na wanyama kama chui , simba n.k ni jambo la kawaida .
3. Maybe juzi tu tulimuuwa simba aliyekutwa barabarani anakula mtu .
Maybe maybe maybe ni nyingi na bado hamna ulichonijibu.
Na umejibu ki layman ,am so dissapointed umesahau kwamba 5000 years ago ilikuwa ni 3000bc ambapo kulikuwa na great civilized societies ambazo mpaka leo bado kuna vitu walitengeneza vinawaumiza kichwa archiologists na scientists wengi tu mfano wa empirea kwa uchache zilizokuwepo 3000bc ni
1. Mesopotamian empire
2. Indus civilization( ambao wahindi wa sasa ni descendants wao)
3. Ancient egypty (abao hata chariots walikuwa nazo na wali tame wanyama wengi tu wamwitu na waka wa domesticate)
4. Sumer empire
5.akkadian empire na nyenginezo nyingi tu.
TUKITUMIA MFANO WAKO WA SIMBA ULITAKA KUMAANISHA NINI?