Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Mfano wa maadili waliyo leta ambayo ni kinyume na waafrika ni yapi??
Tuimani Miungunyao na kuacha ya kwetu nasi tukafanya hivyo hivyo-huu ni upumbavu wa karne.ndani ya hizo imani zao kuna maadili ya hivyo kupitiliza.
 
Kwanza wewe hapo unamzungumzia Mungu gani,maana jamii nyingi sana hapa Duniani zina Mungu wao.
 
Ni uongo kwa sababu hakuna anaye jua,mbona jibu lipo wazi.yani maana yake hata uje na claim 1000 bado itakuwa ni uongo-asili ya mwanadamu imefichwa kwa kila MTU sio sayansi au dini.
So,achana na story za alinacha
Sayansi ndio haijui asili ya mwanadamu ila dini zina majibu na jibu lenyewe ni ' asili ya mwanadamu ni kuumbwa na Mungu, Mungu ambaye hana mwanzo wala mwisho, hajazaa wala hajazaliwa ,hajaumbwa bali Kaumba.'
 
Tuimani Miungunyao na kuacha ya kwetu nasi tukafanya hivyo hivyo-huu ni upumbavu wa karne.ndani ya hizo imani zao kuna maadili ya hivyo kupitiliza.
Mfano wa hayo maadili ya hovyo ni yapi
 
Hajawajalia kila mtu mali kwa sababu ni muweza wa yote, Yaani anaweza kuwapa watu mali na anaweza asiwape
Asipo wapa watu mali yeye ana faidika na nini?

Kama uwezo wa kuwapa watu wote mali anao kwa nini asiwape wote?

Huyo Mungu ana upendo kweli au ana upendeleo?

Kama anaweza yote, Alishindwaje kuwapa mali binadamu wote?

Huyo Mungu anaweza yote kweli?
 
Why you rotate? Weka aya hakuna ushahidi my friend Tatizo mnadanganyana sana ooh! Qur an ina makosa wakati wote hamjui qur an yaani mwalimu kipofu mwanafunzi kipofu.
To make this debate good ..Weka aya za kusapport claim yako
Sawa
 
So mtoto wa miaka 6 aliyeolewa alikuwa ana akili timamu na kafikia balehe? 🤣Ehe tuchape kamba mkuu
 
Nonsense ..Wewe si ndio mfuasi wa sayansi .
Sasa umeshindwa ku quote ata aya moja tu..vipi utaweza kuwa na uwezo wa kujadili the best of the best book like qur an.
Alafu mimi sijakuambia utume mapicha mimi nimekwambia u qoute Aya ata moja tu baasi.
Sawa
 
Sayansi ndio haijui asili ya mwanadamu ila dini zina majibu na jibu lenyewe ni ' asili ya mwanadamu ni kuumbwa na Mungu, Mungu ambaye hana mwanzo wala mwisho, hajazaa wala hajazaliwa ,hajaumbwa bali Kaumba.'
We unajuaje haya
 
🤣naona mtoa mada kapotezea screenshot yangu...in short bana Quran sijui hadiths sijui Islam ni uwongo uwongo uwongo.
Kuna Aya moja wanasema sijui Mungu kaumba nyota na kaziweka anga ya chini ili zitumike Kama mawe kuwapiga mashetani wasikaribie kiti Cha Allah...🤣nikasema jamani mbona Muhammad ni mtoto hivi...kweli nyota zipo karibu na kazi yake ndo hiyo ..😁ama kweli...mna moyo Sana mnaoamini haya mambo
 
Mimi kitambo nikiwaga mdogo nilikuwa naamini Dollar ndio kiwango Cha pesa kikubwa kuliko matrilioni,mabilioni na mamilioni😂

Akili zilikuja kunikaa sawa baadae ndo nikajua Dollar Ni jina la pesa za Marekani
 
Mimi niliachana na imani za dini baada ya kuelewa Evolution na nikaachana na Mungu baada ya kuelewa immune system inavyofanya kazi.

Sayansi imeniokoa kutoka kwenye dimbwi la ujinga mkuu
Mkuu hivi nini kilisababisha mpaka evolution ikaanza kutokea? What triggered it? Na kama galaxy yetu na nyengine zilitokea at the same instant baada ya big bang /big bounce (kama umepitia string theory) ni kwanini dunia iwe ndiyo sayari pekee ambayo viumbe hai wana survive lakini si nje ya hapo(on universal scale)?

Why then evolution ime stop baada ya rapidly changes million darwinic years?

Kuna tofauti gani kati ya permenent adaptaption na evolution? Why
 
Kwanini Mungu ajifiche mwenyewe wakitokea watu wakisema hayupo utasikia wanakufuru , mimi naona hayupo tu ata kama yupo kwa sababu sijawahi kumwona zaidi ya hizi hadithi za kale za kina zinjathropaz.
 
Nani kasema evolution imestop?
Na hayo maswali unayouliza majibu yake unayo...au ndo God did it..coz hujui
 
Kwanini Mungu ajifiche mwenyewe wakitokea watu wakisema hayupo utasikia wanakufuru , mimi naona hayupo tu ata kama yupo kwa sababu sijawahi kumwona zaidi ya hizi hadithi za kale za kina zinjathropaz.
🤣Bora umesema ukweli
 
Screenshot gani ? Cjaiona ngoja nipitie nikiona nikujibu
 
Kwanini Mungu ajifiche mwenyewe wakitokea watu wakisema hayupo utasikia wanakufuru , mimi naona hayupo tu ata kama yupo kwa sababu sijawahi kumwona zaidi ya hizi hadithi za kale za kina zinjathropaz.
Umewahi kuiona akili yako?
 
So mtoto wa miaka 6 aliyeolewa alikuwa ana akili timamu na kafikia balehe? 🤣Ehe tuchape kamba mkuu
Aya gani kwenye Qur an inasema muhammad alioa mtoto wa miaka sita? 🤣Ehe tuelimishane mjuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…