Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapo ndio umetoa hoja zako za kwanini unasema hakuna mungu?Nisome vizuri hapa
Umetoa maelezo ambayo wewe umedai ndio sababu ya kusema Mungu yupo.
Maelezo hayo uliyaelezea kwa mfano wa mtu na simu, ukisema simu imetengenezwa viwandani basi na mtu aliyetengeneza hiyo simu lazima awe ameumbwa.
Ambapo ukaenda kuhitimisha kuwa huyo mtu ameumbwa na Mungu.
Then ukaniambia nikupe sababu kwanini mimi nasema hakuna Mungu.
Majibu yangu yalikuwa ni haya.
Kwasababu neno "kutengeneza" imekuwa ni neno linalowakilisha kitendo ambacho kimekuwa kikifanyika katika shughuli zetu basi hatuwezi kuona utata wa hilo neno.
Hivyo tutaenda kwenye maswali mengine
1. Kwanini tunasema simu inatengenezwa?
2. Je simu inahitajika kutumika kama reference kuthibitisha uwepo wa mtu au mtu mwenyewe tunaweza kuthibitisha uwepo wake bila kutumia uwepo wa kitu kingine kama reference?
3. Tunaweza kuthibitisha simu imetengenezwa?
4. Je tunaweza kuthibitisha mtengenezaji wa simu yupo?
5. Je tunasema hivyo kwasababu tumeikuta tu simu hatujui imefikaje fikaje hapo ilipo?
6. Au tunasema simu imetengenezwa kwasababu tuna uthibitisho ambao upo na unaweza kuwa observed?
7. Je simu kuwa na chanzo maana yake na mtengenezaji naye lazima awe na chanzo?
8. Je kila chenye complex ni lazima kiwe na chanzo?
9. Haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
10. Kama inawezekana kwanini tujisumbue kutafuta vyanzo wakati tushajua kuwa chanzo sio necessary kwenye kufanya kitu kiwepo?
****************
Bila shaka tunasema simu imetengenezwa kwasababu kwanza kuna elimu juu ya utengenezaji simu, mtu yeyote anaweza kujifunza na kuna viwanda vipo vinatengeneza simu.
So mpaka hapo tushajua kuwa haiwezekani simu ikawepo tu bila kuwa na chanzo kwasababu tumejua nini kinafanyika mpaka simu inakuwepo.
∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆
Hoja kuhusu Mungu
Sasa unaposema mtu aliumbwa na Mungu unatakiwa ujiulize maswali yale yale tuliyojiuliza wakati tunatafiti kujua simu imefikaje fikaje.
1. Kuumbwa ni nini?
Kuna uthibitisho wowote uliowahi kuwa recorded kuonesha uumbaji upo?
2. Na huyo Mungu anayefanya uumbaji tunaweza kuthibitisha uwepo wake?
3. Au hatuwezi kuthibitisha uwepo wake na hivyo tupo katika hatua za kutumia uwepo wa mtu ili usimame kama uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo?
4. Kama haiwezekani kuthibitisha Mungu yupo bila kutumia rejea ya vitu vingine ambavyo vipo na vinathibitishika, huoni hiyo itamaanisha mwanzo wa hivyo vitu ndio mwanzo wa Mungu?
5. Tukikubaliana kuwa Mungu yupo (japo bila uthibitisho) je tukitaka kujua chanzo cha huyo Mungu amewezaje kuwepo, itawezekana?
6. Kama itawezekana basi hicho chanzo chake kitajwe lakini bado unafikiria huyo Mungu atabaki kuwa Mkuu wakati yupo aliyemfanya awepo?
7. Kama haitawezekana Mungu kuwa na chanzo basi hakukuwa na sababu ya wewe kuhoji chanzo cha mtu wakati unafahamu ni rahisi kitu kuwepo bila chanzo.
za kuambiwa changanya na zako , Shida yako unataka kulazimisha evolution kuwa ndio asili ya mwanadamu my fiend yaani wewe ndio ume fail kabisa, Haya niambie huo mfano wako unahusiana vipi na asili ya mwandamu.Na pia kama hujui Kuna cases za species tofauti ku interbreed na kupata offspring punda na farasi wanaweza kuzaa mnyana tunamuita mule ila anakuwa ni sterile hybrid huyo mule hana uwezo wa kuzalisha
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
aliyoleta habari ya evolution ni wewe sio mimi ..Maswali yangu yapo palepaleNa hii ndio misconception yako unahisi evolution ni species mbili zina interbreed halafu offspring anatoka wa tofauti na wazazi hapo umepata specie mpya Kwa hiyo evolution tayari...
Unasahau effects za gene mutation (na hii inaweza kuwa natural tu gene ika undergo mutation offspring anaetokana na specie moja akawa na genetic make up tofauti na wazazi) na environmental conditions.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nliamini elimu ni ufunguo wa maisha ila sasa siamini hivyo tenaKatika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
😂Karibu Tena...Anyways asante kwa muda wako mkuu 🙏
Zimepitia process ya authentication...huwezi andika kitabu Cha science au history Leo afu kiwe Cha uwongo afu kipitishwe..Ila bible waliweza coz ni faith based system ...unaamini tu hata Kama ni ujinga na uongoyanaweza yasiwe ya kweli kwa sababu tu yako kweny biblia???mbona maandishi mengi tu yako kwenye vitabu vingine umeyapokea kama rejea za kweli??
Acha uwongo...Kama ndo hivyo..nitajie mtu kifo chake recent ambacho kwenye mainstream media wanachanganya cause of death..hata Hitler kifo chake kinajulikana dunia nzima...acha kusingizia miaka...huyo Mungu muweza yote hakuona Hilo tatizo..hizo taarifa sio tofauti,bali maelezo ndio tofauti.
taarifa ni kifo cha sauli,maelezo ndio yametofautiana kidogo ila yenye kuendana kabisa.
miaka 50 ijayo wapo watu wataandika JPM alikufa akiwa ameshinda uchaguzi,wengine wataandika alifia nairobi kitandani,na yote yatawekwa sehemu moja.
😂😂😂Kwa Yesu Kristo mbona Kuna maskini wengi asa..mnatafuta mafuta ya upako...Tunakusamehe tuu ndugu yetu hujui ulisemalo..ikiwa uko na shida ya pesa...kazi..usisite kunipa taarifa najua umekata tamaa ya maisha. Karibu kwa YESU KRISTO
huyo common ancestor ambaye ali branching na kutokea binadamu na nyani yeye alitokana na nini?Hakuna nyani aliebadilIka kuwa binadamu. Nyani na binadamu ni species ambazo zina share common ancestor lakini due to genetic variability na environmental adaptation ancestor wao alisababisha branching of the phylogenetic tree kuleta binadamu na nyani. Ndo maana Kuna uwiano (compatibility) ya DNA Kwa asilimia 80% kati ya nyani na binadamu. Unafikiri Huwa tunajuaje Hawa ni ndugu kupitia DNA?
[emoji23] Alafu eti unauliza taxonomy nini halafu nikisha define taxonomy so what?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
First mistake...hamna mtu amesema binadamu alikuwa nyani...we came from the same ancestors...so huyo ancestor saa hivi hayupo...so usitegemee abadilike Tena kwa sababu humuoni huyo...kingine soma evolution uelewe coz haya maswali ni ya kitoto sanaaliyoleta habari ya evolution ni wewe sio mimi ..Maswali yangu yapo palepale
(1) kwanini hao nyani hawakubadilika wote kuwa binadamu?
(2) kwanini hao nyani hawaendelei kubadilika kuwa binadamu?
(3) Thibitisha kuwa ni kweli nyani alibadilika kuwa binadamu
(4)kama bindamu alitokana na nyani na je nyani alitkana na nini?
Alitokana na lord Shiva of Hinduism aliumbwa na matopehuyo common ancestor ambaye ali branching na kutokea binadamu na nyani yeye alitokana na nini?
So anatuumba vibaya kwa sababu ye mwoga na mchoyo?Ukisikia binadamu hatuja kamilika ni kwamba hatuna ukamilifu kama aliokuwa nao Mungu ndio maana tunatakiwa kumuabudu.
Ukitenda kosa inabidi utubu ili usamehewe kosa lako na hiyo ni kwa faida yako sio kwa faida ya Mungu.
unavyosema Mungu anatulaumu kwa makosa yake mwenyewe ni makosa gani ? Kama kosa lenyewe ni kukuumba bila ukamilifu hilo sio kosa kwasababu angekuumba na ukamilifu na wewe ungekuwa Mungu.
😂😂😂Ingia mtandaoni tafuta hio verse ya Hadith urudi..mbona unaogopa...,😂😂😂😂yaani mwaka mzima unabisha..kitendo kwamba hujui inaonyesha hujui dini umefata tu mkumbo kuogopa kuchomwa kitakoShida yako ndio hiyoo mimi sijaona screenshot uliyotuma kuwa jua linaenda kuomba ruhusa kwa ALLAH.
Iweke hapa tena kwani kupest screenshot Kuna ugumu gani mbona ni rahisi tu kama kuweka vi Emoj vya kucheka.
😂😂😂😂Why sio Hinduism.. ushawahi skia Mhindu analipua jengo au Basi...mbona wahindi nao Wana haki na kweliDini ya haki na ya kweli uislamu ina majibu.
Kama una swali linakutatiza uliza uislamu una majibu.
😂😂😂So we unaamua nini ni taswira na Nini sio...sawa Mungu wa dunia...this proves vitabu vyenu naweza vitafsiri Kama porno na vikaenda sawa tuUmesema ulimwengu huu sasa wewe nani alikuambia nyoka aliongea katika ulimwengu huu?
Sijasema story ya nyoka ni taswira kwasababu sio taswira.
😂😂😂😂Sina Mungu wangu mimi. Siwezi kumpa mtu sifa simjui, sijawahi muona, sijawahi ongea nae .we sifa za muarabu mmoja aliyekuwa anaota pangoni ndo unajikuta una MunguHueleweki una pinga hamna Mungu au unapinga kuwa Allah sio Mungu?
Embu tueleze sifa za Mungu wako tumpime katika mizani za kiakili kama kweli anafaa kuwa Mungu.
😂😂😂Kwa Nini lisimhusu.. umetaja dini tatu ..hizo sio za kwanza Wala za mwisho .na humo zimekopiana vya kutosha ..huyo Mungu wa ukweli Yuko wapi mbona kila jamii Ina Mungu wake...😂tofauti ni kwamba jamii moja ilipenda vita na kutaka kumsambaza Mungu wao .Labda kuweka sawa hoja yangu dini ninayoizungumzia mimi ni uislamu ambayo ndio dini ya kweli sasa unapouliza kuwa kama dini zinasema kweli kwanini zinapingana mimi nitakavyokujibu nikuwa dini inayosema kweli ni uislamu hivyo basi dini nyingine tofayna uislamu hazisemi kweli ndio maana zinapingana.
Kama hoja yako ni kuwa kwa sababu dini zinapingana basi hakuna Mungu wewe utakuwa una makosa kwa sababu wewe huamini katika dini hivyo hoja za dini kutofautiana waachie wenye dini zao hilo wewe halikuhusu kwa sababu hizo dini zinatofautiana kwenye mambo mengine lakinisio kuwa zinakataza juu ya uwepo wa Mungu lakini wewe shida yako ni juu ya uwepo wa Mungu hivyo wewe utabishana na muislamu, mkristo na myahudi lakini swala la myahudi , mkristo na muislamu kutofautiana wewe hali kuhusu.
😂Science ya kweli ya nyota kuwa anga ya chini ili zipige mashetani wanataka kumfikia AllahKwasababu ndio dini inayoendana na logic na ndio dini ambayo 80% ya mambo ambayo imeyaeleza tayari yashakuwa proved na science kuwa ni kweli.
So anajua future hajui?Unayo free will ya kutenda mema pia kwahiyo uchaguzi ni wako, Mungu angekuwa na makosa kama angekupa uwezo wa kutenda mabaya tu alafu aseme ukitennda mabaya na kuingiza motoni hapo ata mimi ningemkataa huyo Mungu lakini Mungu kakupa na uwezo wa kutenda mema alafu kakupa na akili ya kupambanua mambo