Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Umeelewa vizuri?Sexual discharge? 😂Kumbe orgasm za wanawake zinatengeneza watoto sikujua
Au nikuandikie kwa kiswahili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa vizuri?Sexual discharge? 😂Kumbe orgasm za wanawake zinatengeneza watoto sikujua
That's non of ur business...sio lazma Nikae niamini kitu Cha uwongo nijitungie story kujikosha...that's not my purpose in lifewewe unaamini ktk nini ili tukupime huko😂😂😂😂.
vipo vipimo tunavyo.
Niambie sexual discharge ni Nini...na usibadili maana kujikoshaUmeelewa vizuri?
Mayai ya kike yanakuwa incharged or discharged?Niambie sexual discharge ni Nini...na usibadili maana kujikosha
Ndo umeongea niniMayai ya kike yanakuwa incharged or discharged?
wala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.Sasa kama hakuna uthibitisho Then you unataka kuniambia you Follow Blindly
Sasa hiyo ndo inaitwa blindly huwezi ukawa unaamini ipo Siku kuku atatoa maziwa na ipo siku ngombe atataga mayai hakafu ukiulizwa unasema lazma atatoa tu...wala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.
you have to shut the butt off.That's non of ur business...sio lazma Nikae niamini kitu Cha uwongo nijitungie story kujikosha...that's not my purpose in life
labda namjua kuku wangu kukuzidi je!!!Sasa hiyo ndo inaitwa blindly huwezi ukawa unaamini ipo Siku kuku atatoa maziwa na ipo siku ngombe atataga mayai hakafu ukiulizwa unasema lazma atatoa tu...
kutoa ushahidi ni jambo moja,na ushahidi kupokelewa na aliyeuomba ni jambo jingine.Ukiambiwa kuthibitisha utawaambia kua wao hawajui au wanaumwa? Ni vigumu kutetea uongo kama ilivyo Vyepesi kutetea ukweli
Sasa nakuomba utoe ushahidi bila kuhusisha vitabu Vilivyoandikwa,Je utaweza?labda namjua kuku wangu kukuzidi je!!!
kutoa ushahidi ni jambo moja,na ushahidi kupokelewa na aliyeuomba ni jambo jingine.
kwatika mjadala huu hata wewe unajiweka upande wa ukweli😂😂,ajabu huwezi kuutetea ukweli huu.
nitoe ushahidi wa nini??Sasa nakuomba utoe ushahidi bila kuhusisha vitabu Vilivyoandikwa,Je utaweza?
ushahidi kwamba kuna uwepo wa Mungu ni dunia na vilivyopo.kabla hata sijasoma kitabu changu.Uwepo wa mungu,
hapa natoa ushahidi kama nipo au najibu kwanini nipo duniani???Uwepo wa Wewe mwenyewe,Kwanini upo duniani...
jibu lipo juu.Na nakuomba unaweza ukatumia ushahidi hata wa kitabu chako kunijibu hil,kwanini upo duniani
hapa unaniuliza kama kiumbe ambaye nilichagua kuumbwa kabla sijaja duniani,yaani nikakubali kuja sababu tayari nina malengo yangu haipo hivyo.ipi hasa Nia ya wewe kuwepo na Nini faida ya wewe kuwepo duniani na umekuja kwa mlengo gani na wewe uliuumbwa ?
Kuwepo kwa Mti haimanishi kwamba Kuna mtu aliupanda...ushahidi kwamba kuna uwepo wa Mungu ni dunia na vilivyopo.kabla hata sijasoma kitabu changu.
So Kama wewe upo ili uweze kuabudu unafikir kwanini Unaitaji Kuzaliwa ili uambiwe hilo na watu wengine kwanini isiwepo Automatically in your Genes Na DNA yaani uzaliwe tu uweze kufulfil your mission...hapa natoa ushahidi kama nipo au najibu kwanini nipo duniani???
mimi nipo ndio sababu nakujibu kupitia hii JF,kwanini nipo hapa nipo hapa ili nipate kushuhudia ukuu wa Mungu na nimwabudu.
Hapa nilichokuuliza ni kuwa Unaamini umeumbwa ila jibu ulilojibu ni tofauti na nililokuulizahapa unaniuliza kama kiumbe ambaye nilichagua kuumbwa kabla sijaja duniani,yaani nikakubali kuja sababu tayari nina malengo yangu haipo hivyo.
Mungu sio mtu lakini zingatia,nazungumzia uumbaji.sio upandaji.Kuwepo kwa Mti haimanishi kwamba Kuna mtu aliupanda...
Mungu sio mtu,tuzungumzie uumbaji sio upandaji kama kupanda mahindi😫😫.Kuna misitu mingi ambayo hakuna mbegu ya mtu iliyoingia na kupanda
haiwezi kuwa dhaifu sababu wewe umeamua kuiona dhaifu,kwanza unadhani ili mti uote unatakiwa upandwe,hii sio sawa kiuumbaji.so Hoja yako ya kuwa uwepo wa Dunia ni Uwepo wa mungu Ni hoja Dhaifu kuwahi kuwepo Duniani....
sijui umezaliwa wapi,lakini hata ungekosa kujua bible imeandikwa nini(usijue kusom),lazima akili yako inge triger kitu.So Kama wewe upo ili uweze kuabudu unafikir kwanini Unaitaji Kuzaliwa ili uambiwe hilo na watu wengine kwanini isiwepo Automatically in your Genes Na DNA yaani uzaliwe tu uweze kufulfil your mission...
akina nani wamenambia??nao waliambiwa na nani ili waje kunambia??Kwanini uhitaji watu wengine kukwambia Your purpose?
soma kwa umakini usiwe na haraka,utaelewa nimekujibu vyema tu.Hapa nilichokuuliza ni kuwa Unaamini umeumbwa ila jibu ulilojibu ni tofauti na nililokuuliza
Mungu sio mtu lakini zingatia,nazungumzia uumbaji.sio upandaji.
Mungu sio mtu,tuzungumzie uumbaji sio upandaji kama kupanda mahindi😫😫.
haiwezi kuwa dhaifu sababu wewe umeamua kuiona dhaifu,kwanza unadhani ili mti uote unatakiwa upandwe,hii sio sawa kiuumbaji.
sijui umezaliwa wapi,lakini hata ungekosa kujua bible imeandikwa nini(usijue kusom),lazima akili yako inge triger kitu.
labda kama akili yako haiko sawa.
science hii imefanya watu wakahitimisha kama kweli Mungu yupo,basi ni mkubwa kuliko alivyoelezwa ktk vitabu.vimempunja sifa zake.
akina nani wamenambia??nao waliambiwa na nani ili waje kunambia??
soma kwa umakini usiwe na haraka,utaelewa nimekujibu vyema tu.
Na hapa ndio hata wanasayansi hawajui bado. Kuna maelezo ya kibaiolojia kuhusu specie wa kwanza alipotokea hiyo concept inaitwa Abiogenesis lakini imekuwa criticized kuwa na mapungufu hata na wanasayansi wenyewe wanabishana na kutofautiana. Ila kuanzia kwenye ancestor wa nyani na binadamu branching ilivyotokea ya huyo ancestor ushahidi wa DNA upo na haina ubishi kati ya wanabaiolojia, ubishi upo kwa specie wa mwanzo kabisa alitokea wapi yani ancestor wa kwanza kabisa.huyo common ancestor ambaye ali branching na kutokea binadamu na nyani yeye alitokana na nini?
unaonaje ukijikita katika dini inayomtambua Mungu muumba???isnt it fair?mimi siamini katika hizo dini nyingine,ntakuchanganya kama utataka kujadili kwa pamoja.Kwanza Nafurahi kwamba Nimebahatika kusoma Bible,Quran ,Bhagavad gita,Na vitabu vingine vya Greek na Babylonian vikiwemo vya Egypts Mythology so Napokuuliza kitu najua hoja Zote kwa milengo Ya dini mbalimbali....
ulitaka ajinasibishe na jinsia ya kike ili uamini hapa sasa yuko sawa!!!!,jinsja hizi zinadhihirika ktk miili ya binaadam,kwa Mungu uwakilishi uliotumika ni wa kiume,lakini Mungu hana jinsia.Pili Mungu sio Mtu ila anajinasibisha na Jinsia ya kiume (Very interesting sana) kuna vitu haviitaji Degree ya Phylosophy au hata Degree Ya OT and NT textual Critique ili uweze kujua vitu haviko sawa SHTUKA ...
kila swali ninalokuuliza lina sababu zake usijibu bila umakini.sasa kama hapo unaponiuliza eti akina nani wamekuambia Meehn How comes You knew God si ulisimuliwa na ukafundishwa ndo ukajua kuwa yupo hii mbona haihitaji hata elimu ya darasa la Saba kujua kuwa you were Programed to believe in that....
lazima kuwe na msingi wa hoja katika maswali yako,ili ujue vyema unachouliza usijechanganya mambo.Mungu sio Mtu zingatia**** Wtf .....
Ndugu jibu Hoja ukianza kudoge hoja moja kwa moja ntaamini weww unafolliw blindly...
hapa bado unatumia zile akili zako za mtu kupanda miti😂😂😂.Na bado hujajibu kuhusu kuumbwa...If hujajibu kuhusu kuumbwa means nikusaidie kuwa wote mnaamini mmeumbwa ila mnasahau kuwa Kilichotokea sio uumbaji ila ni Fertilization na development ya zygote through Several changes...
na aliwahi kusema pia upumbavu ni kipaji,kama kuzaliwa mfupi ama mrefu hakuna namna unaweza msaidia mpumbavu.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Kumwambia Mtu mzima mwenzako Jambo la kitoto na Bado ukajiona uko sawa Una maoungufu ya akili
Argument nzuri sana tatizo tuna deal na watu ambao source yao ya information ni kitabu kimoja (bible au Quran) tu na wameamua watakiamini kwa vyovyote vile hata ukiwaambia waende google waingie page ya ancient history encyclopedia wapate hii knowledge japo kidogo hawataki.Waambie pia hata story ya uumbaji Ukisoma Kweny bhagavad Gita its far more different na ukisoma kwenye Athrahesis za Samerian au mesopotonia Au old babilonian history ambavyo ni vitabu vya zamani kuliko Biblia na quran navyo vina hadithi zao za Uumbaji na
vinasema uumbaji una zaidi ya miaka 100000 ambayo kwenye biblia mnatuambia ni Miaka 6000 tu tangu dunia iumbwe ambayo sayansi na mazingira yanakataaa