Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

wewe unaamini ktk nini ili tukupime huko😂😂😂😂.

vipo vipimo tunavyo.
That's non of ur business...sio lazma Nikae niamini kitu Cha uwongo nijitungie story kujikosha...that's not my purpose in life
 
Sasa kama hakuna uthibitisho Then you unataka kuniambia you Follow Blindly
wala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.
 
wala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.
Sasa hiyo ndo inaitwa blindly huwezi ukawa unaamini ipo Siku kuku atatoa maziwa na ipo siku ngombe atataga mayai hakafu ukiulizwa unasema lazma atatoa tu...
Ukiambiwa kuthibitisha utawaambia kua wao hawajui au wanaumwa? Ni vigumu kutetea uongo kama ilivyo Vyepesi kutetea ukweli
 
That's non of ur business...sio lazma Nikae niamini kitu Cha uwongo nijitungie story kujikosha...that's not my purpose in life
you have to shut the butt off.

una wasi wasi na maamuzi yako au😝😝😝
 
Sasa hiyo ndo inaitwa blindly huwezi ukawa unaamini ipo Siku kuku atatoa maziwa na ipo siku ngombe atataga mayai hakafu ukiulizwa unasema lazma atatoa tu...
labda namjua kuku wangu kukuzidi je!!!
Ukiambiwa kuthibitisha utawaambia kua wao hawajui au wanaumwa? Ni vigumu kutetea uongo kama ilivyo Vyepesi kutetea ukweli
kutoa ushahidi ni jambo moja,na ushahidi kupokelewa na aliyeuomba ni jambo jingine.

kwatika mjadala huu hata wewe unajiweka upande wa ukweli😂😂,ajabu huwezi kuutetea ukweli huu.
 
labda namjua kuku wangu kukuzidi je!!!

kutoa ushahidi ni jambo moja,na ushahidi kupokelewa na aliyeuomba ni jambo jingine.

kwatika mjadala huu hata wewe unajiweka upande wa ukweli😂😂,ajabu huwezi kuutetea ukweli huu.
Sasa nakuomba utoe ushahidi bila kuhusisha vitabu Vilivyoandikwa,Je utaweza?
 
Uwepo wa mungu,Uwepo wa Wewe mwenyewe,Kwanini upo duniani...

Na nakuomba unaweza ukatumia ushahidi hata wa kitabu chako kunijibu hil,kwanini upo duniani ipi hasa Nia ya wewe kuwepo na Nini faida ya wewe kuwepo duniani na umekuja kwa mlengo gani na wewe uliuumbwa ?
 
Uwepo wa mungu,
ushahidi kwamba kuna uwepo wa Mungu ni dunia na vilivyopo.kabla hata sijasoma kitabu changu.
Uwepo wa Wewe mwenyewe,Kwanini upo duniani...
hapa natoa ushahidi kama nipo au najibu kwanini nipo duniani???
mimi nipo ndio sababu nakujibu kupitia hii JF,kwanini nipo hapa nipo hapa ili nipate kushuhudia ukuu wa Mungu na nimwabudu.
Na nakuomba unaweza ukatumia ushahidi hata wa kitabu chako kunijibu hil,kwanini upo duniani
jibu lipo juu.
ipi hasa Nia ya wewe kuwepo na Nini faida ya wewe kuwepo duniani na umekuja kwa mlengo gani na wewe uliuumbwa ?
hapa unaniuliza kama kiumbe ambaye nilichagua kuumbwa kabla sijaja duniani,yaani nikakubali kuja sababu tayari nina malengo yangu haipo hivyo.
 
ushahidi kwamba kuna uwepo wa Mungu ni dunia na vilivyopo.kabla hata sijasoma kitabu changu.
Kuwepo kwa Mti haimanishi kwamba Kuna mtu aliupanda...
Kuna misitu mingi ambayo hakuna mbegu ya mtu iliyoingia na kupanda
so Hoja yako ya kuwa uwepo wa Dunia ni Uwepo wa mungu Ni hoja Dhaifu kuwahi kuwepo Duniani....

hapa natoa ushahidi kama nipo au najibu kwanini nipo duniani???
mimi nipo ndio sababu nakujibu kupitia hii JF,kwanini nipo hapa nipo hapa ili nipate kushuhudia ukuu wa Mungu na nimwabudu.
So Kama wewe upo ili uweze kuabudu unafikir kwanini Unaitaji Kuzaliwa ili uambiwe hilo na watu wengine kwanini isiwepo Automatically in your Genes Na DNA yaani uzaliwe tu uweze kufulfil your mission...
Kwanini uhitaji watu wengine kukwambia Your purpose?

hapa unaniuliza kama kiumbe ambaye nilichagua kuumbwa kabla sijaja duniani,yaani nikakubali kuja sababu tayari nina malengo yangu haipo hivyo.
Hapa nilichokuuliza ni kuwa Unaamini umeumbwa ila jibu ulilojibu ni tofauti na nililokuuliza
 
Kuwepo kwa Mti haimanishi kwamba Kuna mtu aliupanda...
Mungu sio mtu lakini zingatia,nazungumzia uumbaji.sio upandaji.
Kuna misitu mingi ambayo hakuna mbegu ya mtu iliyoingia na kupanda
Mungu sio mtu,tuzungumzie uumbaji sio upandaji kama kupanda mahindi😫😫.
so Hoja yako ya kuwa uwepo wa Dunia ni Uwepo wa mungu Ni hoja Dhaifu kuwahi kuwepo Duniani....
haiwezi kuwa dhaifu sababu wewe umeamua kuiona dhaifu,kwanza unadhani ili mti uote unatakiwa upandwe,hii sio sawa kiuumbaji.
So Kama wewe upo ili uweze kuabudu unafikir kwanini Unaitaji Kuzaliwa ili uambiwe hilo na watu wengine kwanini isiwepo Automatically in your Genes Na DNA yaani uzaliwe tu uweze kufulfil your mission...
sijui umezaliwa wapi,lakini hata ungekosa kujua bible imeandikwa nini(usijue kusom),lazima akili yako inge triger kitu.
labda kama akili yako haiko sawa.
science hii imefanya watu wakahitimisha kama kweli Mungu yupo,basi ni mkubwa kuliko alivyoelezwa ktk vitabu.vimempunja sifa zake.
Kwanini uhitaji watu wengine kukwambia Your purpose?
akina nani wamenambia??nao waliambiwa na nani ili waje kunambia??
Hapa nilichokuuliza ni kuwa Unaamini umeumbwa ila jibu ulilojibu ni tofauti na nililokuuliza
soma kwa umakini usiwe na haraka,utaelewa nimekujibu vyema tu.
 
Mungu sio mtu lakini zingatia,nazungumzia uumbaji.sio upandaji.

Mungu sio mtu,tuzungumzie uumbaji sio upandaji kama kupanda mahindi😫😫.

haiwezi kuwa dhaifu sababu wewe umeamua kuiona dhaifu,kwanza unadhani ili mti uote unatakiwa upandwe,hii sio sawa kiuumbaji.

sijui umezaliwa wapi,lakini hata ungekosa kujua bible imeandikwa nini(usijue kusom),lazima akili yako inge triger kitu.
labda kama akili yako haiko sawa.
science hii imefanya watu wakahitimisha kama kweli Mungu yupo,basi ni mkubwa kuliko alivyoelezwa ktk vitabu.vimempunja sifa zake.

akina nani wamenambia??nao waliambiwa na nani ili waje kunambia??

soma kwa umakini usiwe na haraka,utaelewa nimekujibu vyema tu.

Kwanza Nafurahi kwamba Nimebahatika kusoma Bible,Quran ,Bhagavad gita,Na vitabu vingine vya Greek na Babylonian vikiwemo vya Egypts Mythology so Napokuuliza kitu najua hoja Zote kwa milengo Ya dini mbalimbali....

Pili Mungu sio Mtu ila anajinasibisha na Jinsia ya kiume (Very interesting sana) kuna vitu haviitaji Degree ya Phylosophy au hata Degree Ya OT and NT textual Critique ili uweze kujua vitu haviko sawa SHTUKA ...

sasa kama hapo unaponiuliza eti akina nani wamekuambia Meehn How comes You knew God si ulisimuliwa na ukafundishwa ndo ukajua kuwa yupo hii mbona haihitaji hata elimu ya darasa la Saba kujua kuwa you were Programed to believe in that....

Mungu sio Mtu zingatia**** Wtf .....
Ndugu jibu Hoja ukianza kudoge hoja moja kwa moja ntaamini weww unafolliw blindly...

Na bado hujajibu kuhusu kuumbwa...If hujajibu kuhusu kuumbwa means nikusaidie kuwa wote mnaamini mmeumbwa ila mnasahau kuwa Kilichotokea sio uumbaji ila ni Fertilization na development ya zygote through Several changes....Then if Imemchukua Mungu Miezi Tisa plus Miaka miwili ili mtoto aweze kujitambua inawezekanaje uniambie kuwa mwanzoni alitumia masaa ila sasa katumia miaka?

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Kumwambia Mtu mzima mwenzako Jambo la kitoto na Bado ukajiona uko sawa Una maoungufu ya akili
 
huyo common ancestor ambaye ali branching na kutokea binadamu na nyani yeye alitokana na nini?
Na hapa ndio hata wanasayansi hawajui bado. Kuna maelezo ya kibaiolojia kuhusu specie wa kwanza alipotokea hiyo concept inaitwa Abiogenesis lakini imekuwa criticized kuwa na mapungufu hata na wanasayansi wenyewe wanabishana na kutofautiana. Ila kuanzia kwenye ancestor wa nyani na binadamu branching ilivyotokea ya huyo ancestor ushahidi wa DNA upo na haina ubishi kati ya wanabaiolojia, ubishi upo kwa specie wa mwanzo kabisa alitokea wapi yani ancestor wa kwanza kabisa.

Nyinyi watu wa dini mmetuambia mna majibu huyo specie wa kwanza alikujaje kwamba aliumba Kwa udongo lakini tukiwaomba ushahidi mnakwepa mnasema uko kwenye Quran imeandikwa na binadamu tu na inaweza kupingwa na kukosolewa kama vitabu vingine, na pia imejaa mapungufu na makosa ya kisayansi kibao (ukitaka nikupe maandiko nitakupa). Tatizo ni kwamba nyinyi mnajifanya mko nayo majibu yote ila mkileta majibu yenu mezani na ushahidi mlio nao yakiangaliwa Kwa jicho la critical thinking na pure reasoning unakuta si ya kweli au tuseme tu ni ya hovyo.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwanza Nafurahi kwamba Nimebahatika kusoma Bible,Quran ,Bhagavad gita,Na vitabu vingine vya Greek na Babylonian vikiwemo vya Egypts Mythology so Napokuuliza kitu najua hoja Zote kwa milengo Ya dini mbalimbali....
unaonaje ukijikita katika dini inayomtambua Mungu muumba???isnt it fair?mimi siamini katika hizo dini nyingine,ntakuchanganya kama utataka kujadili kwa pamoja.
Pili Mungu sio Mtu ila anajinasibisha na Jinsia ya kiume (Very interesting sana) kuna vitu haviitaji Degree ya Phylosophy au hata Degree Ya OT and NT textual Critique ili uweze kujua vitu haviko sawa SHTUKA ...
ulitaka ajinasibishe na jinsia ya kike ili uamini hapa sasa yuko sawa!!!!,jinsja hizi zinadhihirika ktk miili ya binaadam,kwa Mungu uwakilishi uliotumika ni wa kiume,lakini Mungu hana jinsia.
sasa kama hapo unaponiuliza eti akina nani wamekuambia Meehn How comes You knew God si ulisimuliwa na ukafundishwa ndo ukajua kuwa yupo hii mbona haihitaji hata elimu ya darasa la Saba kujua kuwa you were Programed to believe in that....
kila swali ninalokuuliza lina sababu zake usijibu bila umakini.

kumbuka chimbuko la mjadala ni ukweli wa maandiko hasa yaliyopo ktk bible,wewe unasema nimeelezwa na wakati unajua wao walisoma kitabu ambacho kipo tayar miaka mingi tu!!!,sasa hoja ya mimi kuelezwa haina mashiko hata wao walisoma.
Mungu sio Mtu zingatia**** Wtf .....
Ndugu jibu Hoja ukianza kudoge hoja moja kwa moja ntaamini weww unafolliw blindly...
lazima kuwe na msingi wa hoja katika maswali yako,ili ujue vyema unachouliza usijechanganya mambo.

sasa unaanza tu unasema miti ikipandwa si lazima wepo mtu aliyepanda!!!!😿😿😿nani kakwambia Mungu ni mtu!!!
Na bado hujajibu kuhusu kuumbwa...If hujajibu kuhusu kuumbwa means nikusaidie kuwa wote mnaamini mmeumbwa ila mnasahau kuwa Kilichotokea sio uumbaji ila ni Fertilization na development ya zygote through Several changes...
hapa bado unatumia zile akili zako za mtu kupanda miti😂😂😂.
kwamba ili mtoto azaliwe lazima mtu mume afanye ngono na mtu mke kwa mazingira tayari.

mimi nazungumzia uumbaji mkuu.unajua hata unnachobishania kweli!!!

.Then if Imemchukua Mungu Miezi Tisa plus Miaka miwili ili mtoto aweze kujitambua inawezekanaje uniambie kuwa mwanzoni alitumia masaa ila sasa katumia miaka?

kwamna Mungu bado anafanya uumbaji???au kinachoendelea ni uzalianaji!!!!😟😟
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Kumwambia Mtu mzima mwenzako Jambo la kitoto na Bado ukajiona uko sawa Una maoungufu ya akili
na aliwahi kusema pia upumbavu ni kipaji,kama kuzaliwa mfupi ama mrefu hakuna namna unaweza msaidia mpumbavu.
 
Waambie pia hata story ya uumbaji Ukisoma Kweny bhagavad Gita its far more different na ukisoma kwenye Athrahesis za Samerian au mesopotonia Au old babilonian history ambavyo ni vitabu vya zamani kuliko Biblia na quran navyo vina hadithi zao za Uumbaji na

vinasema uumbaji una zaidi ya miaka 100000 ambayo kwenye biblia mnatuambia ni Miaka 6000 tu tangu dunia iumbwe ambayo sayansi na mazingira yanakataaa
Argument nzuri sana tatizo tuna deal na watu ambao source yao ya information ni kitabu kimoja (bible au Quran) tu na wameamua watakiamini kwa vyovyote vile hata ukiwaambia waende google waingie page ya ancient history encyclopedia wapate hii knowledge japo kidogo hawataki.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom