Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

Hahaa Uzi wa machungu huu, niliwekeza ng'ombe wanne @150k, wakue vizuri ili baadae jamaa yangu awauze, baada ya mwaka anasema aliuza wote wanne@495k. ila sasa pesa yake hata 10 sijaiona mpaka sasa zaidi ya mwaka. Biashara Fanya mwenyewe au tumia NTU baki ambae utaweza kumhenyesha.
 
Pole.Mkuu
 
Mbaya zaidi ni kuwa nimepata habari kuwa alitengeneza then akauza. Nina hasira sana ninavyoandika hapa. Mungu anipe hekima tu
Kodisha gari(fuso)nenda nalo ofisini kwake;ukifika beba kila utakachokikuta hapo from vifaa vya ufundi mpk bidhaa za wateja wengjne kama madirisha,milango,masofa then peleka kwako,wateja wakianza kumsumbua khs bidhaa zao jamaa lazima akuibukie kwako.

Then hakuna kumpa bidhaa yoyote ya mteja mpk akamilishe hivyo vitu vyako tena anatengenezea hapo hapo kwako,kuwa mbabe kwny hili ni muhimu boss.

Tenga wiki 1 ya kusimamia zoezi hili then leta feedback hapa mkuu,it works.
 
Samahani nilikuwa nauliza huu ni Uzi wa "kujiliwaza" au "kukumbusha" machungu yenu
 
Tuwasiliane kupitia number
0652 881 000 Nikutengenezee kwa nusu bei
Muache huyo kashakupiga
 
Ungemtia ndani iwe fundisha
 
Tuwasiliane kupitia number
0652 881 000 Nikutengenezee kwa nusu bei
Muache huyo kashakupiga
Duuh. Kwa nusu bei tena Mkuu. So ndio mwanzo wa kuniletea milango ya mbao ambazo kesho tu mchwa wamefanya makazi. Tatizo sio being Bali quality
 
Hapo kiukweli wangenisamehe ka ni mm ila dogo lazima ningemfundisha adhabu
 
Mzee wako yuko right kabisa
 
Ndo hivo dogo kakupiga, ungefungua kesi uonee, damu nzito, ww mwenyew huruma ingekuijia ukamuekea mzamana
 
Daaah mim mtoto mamdogo nilimpa kiwanja akopee siamin mpk kesho alichonifanyia kwakwel nawaza ata kujiua huruma yang ili niponza mana alikuja analia leo hii daaah
Mkuu utapata kingine pambana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…