Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Mie sijishtukii hata sina wasiwasi hata kidogo. Makalio kila mtu anayo sema size tofauti tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah ila mtu akikusema huna tako lazma ujiskie vibaya😅!

Well mie napenda ujistiri tu vyema ukivaa viuzuri hata kama huna chura unapendeza tu!
 
Najua namna ambavyo bullying inatesa, hivyo kama itatokea mtot wangu kuyarithi basi na yeye atafanyiwa operation, siwezi kuruhusu awe bullied najua madhara yake ..
Kweli umeamua. Kama unaona ni sawa endelea tu
 
Hahahahah ila mtu akikusema huna tako lazma ujiskie vibaya[emoji28]!

Well mie napenda ujistiri tu vyema ukivaa viuzuri hata kama huna chura unapendeza tu!
Akinisema nitamuuliza yeye anakalia kifuu?[emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ni kipara kilichonianza nkiw around 19 na hadi 22 kikawa kimekolea na sasa ndio kimekuw sugu

Mwenye dara niwez kurejesha nywel zangu
 
Yea mimi mpaka leo nmekua ASocial watu wanajuaga naringa kumbe nakimbia negative energy zuyokazo vinywani mwa watu.

Sent from
 
Kweli umeamua. Kama unaona ni sawa endelea tu
Binafsi naona ni sawa nilikua nina wasiwasi tu kuhusu dini inasemaje lakini nimejiridhisha kuwa imeruhusu under some circumstances ..
 
Mimi ni kipara kilichonianza nkiw around 19 na hadi 22 kikawa kimekolea na sasa ndio kimekuw sugu

Mwenye dara niwez kurejesha nywel zangu
Dah bila shaka hicho cha ukoo mkuu ..
 
Mimi ni kipara kilichonianza nkiw around 19 na hadi 22 kikawa kimekolea na sasa ndio kimekuw sugu

Mwenye dara niwez kurejesha nywel zangu
Siku hizi kuna wigi zinabandikwa za wanaume wenye vipara
 
Bullying ni mbaya saaana hasa ikiwa shuleni pale ambapo mtu anaanza kujitambua ktk miaka 15 -18.

Moja ya sababu ya MJ kubadili muonekano ni bullying ilitoka nje na kuingia ndani ya familia. Nakumbuka kipindi fulani Brandy Norwood pia alitamani kufanya surgery ya pua kisa bullying.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…