ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Umefanya usiku wangu kua mzuriii yoo😅😅😅 ndio kusema namiliki makendeTena Yuko 45+ ndio wanaowaza kufa kwahiyo kama ni demu ni mbibi ila my psychology tells me he is a man with oldies.
Hadi wewe lol 😆Inawezekana ni dume, JF ina mengi sana hii. 😁
Umefanya usiku wangu kua mzuriii yoo😅😅😅 ndio kusema namiliki makende
Anyway tuishi humo bro nina mbupu💪
Shenziiiii zako mnataka kunivunja mbavu why 🤣🤣🤣Unaweza kuwa nazo afu hazifanyi kazi "useless". 😊
VizuriNisitese watu.
Haya asanteKuna..
Kufa na kufariki
Kufa ni kwa mnyama au binadam kufa kifo kibaya na binadam ndo anafariki.
Tunatumia kufarik kama heshima kwa binadam na kufa kwa mnyama
Hii inatisha hii🙌Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako?
Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?
Mara nyingi husikia watu wakisema,
Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲
Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?
Labda kile kisichoambatana na maumivu makali, mateso ya muda mrefu au taabu nyingi
Je, hicho ndicho kifo kizuri?
Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?
Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia
Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu
Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?
Cha kushangaza ni kwamba watu wengi husema
Nataka nioe /kuolewa nipate watoto na nyumba kalii gari kaliii
Biashara zaidi yaani uwekezaji wa kila namna (na hii sio mbaya ni sawa kabisa kua na future)
Lakini ni nadra sana kusikia mtu akisema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani
Maana ukweli ni kwamba baada ya yote hayo mwisho ni kifo!
Lakini sasa ikitokea mtu akasema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani watu humuona kama hayuko timamu
Na akisema hivyo, wengi huanza kuona kama hayuko sawa kiakili
Sijui kwa nini huwa hivyo🤔
Binafsi, sitamani kufa sasa😅
Natamani niishi miaka mingi zaidi kwa sababu sijui chochote kuhusu maisha baada ya kifo
Sehemu ninayoijua ni hii dunia, na ningependa niendelee kuwepo kwa muda mrefu zaidi
Lakini pia najua ipo siku moja nitaondokana wewe pia utaondoka📌
Ila sasa kwa upande wangu siku hiyo ikifika
Natamani au ningependa 👇
Nife kwa amani🤗
Nisiwe na chuki wala kinyongo na mtu yeyote
Sitamani kuugua magonjwa ya muda mrefu yanayomchosha mgonjwa mwenyewe na kuwachosha wanaomlea& wanaomuuguza
Pia sitamani kifo cha ajali au kifo chenye maumivu makali sana
Kama ni kuugua, basi iwe kwa muda mfupi
Hii huwapa nafuu hata wanaobaki, kwani hawabebeshwi mzigo mkubwa wa muda, nguvu na gharama za kukuuguza
Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa
Je, wewe umewahi kuwaza kuhusu kifo chako? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua, ungependa kifo chako kiwe cha namna gani?
Team Messi 🔥🔥🔥🔥
ShesRise_1 🤚
Kwanini babe🥲Hii inatisha hii🙌
Imagine mtu anafia baa, huku kalewa. Huo sasa ndio mfano mmoja wapo wa kifo kibayaBinadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako?
Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?
Mara nyingi husikia watu wakisema,
Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲
Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?
Labda kile kisichoambatana na maumivu makali, mateso ya muda mrefu au taabu nyingi
Je, hicho ndicho kifo kizuri?
Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?
Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia
Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu
Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?
Cha kushangaza ni kwamba watu wengi husema
Nataka nioe /kuolewa nipate watoto na nyumba kalii gari kaliii
Biashara zaidi yaani uwekezaji wa kila namna (na hii sio mbaya ni sawa kabisa kua na future)
Lakini ni nadra sana kusikia mtu akisema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani
Maana ukweli ni kwamba baada ya yote hayo mwisho ni kifo!
Lakini sasa ikitokea mtu akasema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani watu humuona kama hayuko timamu
Na akisema hivyo, wengi huanza kuona kama hayuko sawa kiakili
Sijui kwa nini huwa hivyo🤔
Binafsi, sitamani kufa sasa😅
Natamani niishi miaka mingi zaidi kwa sababu sijui chochote kuhusu maisha baada ya kifo
Sehemu ninayoijua ni hii dunia, na ningependa niendelee kuwepo kwa muda mrefu zaidi
Lakini pia najua ipo siku moja nitaondokana wewe pia utaondoka📌
Ila sasa kwa upande wangu siku hiyo ikifika
Natamani au ningependa 👇
Nife kwa amani🤗
Nisiwe na chuki wala kinyongo na mtu yeyote
Sitamani kuugua magonjwa ya muda mrefu yanayomchosha mgonjwa mwenyewe na kuwachosha wanaomlea& wanaomuuguza
Pia sitamani kifo cha ajali au kifo chenye maumivu makali sana
Kama ni kuugua, basi iwe kwa muda mfupi
Hii huwapa nafuu hata wanaobaki, kwani hawabebeshwi mzigo mkubwa wa muda, nguvu na gharama za kukuuguza
Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa
Je, wewe umewahi kuwaza kuhusu kifo chako? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua, ungependa kifo chako kiwe cha namna gani?
Team Messi 🔥🔥🔥🔥
ShesRise_1 🤚
Mbinu za kuzunguka zunguka tu, kifo cha mnyama na binadamu ni sawa , ni vile binadamu tunajipa umuhimu tusio kuwa naoKuna..
Kufa na kufariki
Kufa ni kwa mnyama au binadam kufa kifo kibaya na binadam ndo anafariki.
Tunatumia kufarik kama heshima kwa binadam na kufa kwa mnyama
Binafsi natamani nife nikiwa na nyetuka, basi ikishindikana nife nikiwa naikamia papuchi ya wife.Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako?
Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?
Mara nyingi husikia watu wakisema,
Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲
Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?
Labda kile kisichoambatana na maumivu makali, mateso ya muda mrefu au taabu nyingi
Je, hicho ndicho kifo kizuri?
Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?
Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia
Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu
Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?
Cha kushangaza ni kwamba watu wengi husema
Nataka nioe /kuolewa nipate watoto na nyumba kalii gari kaliii
Biashara zaidi yaani uwekezaji wa kila namna (na hii sio mbaya ni sawa kabisa kua na future)
Lakini ni nadra sana kusikia mtu akisema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani
Maana ukweli ni kwamba baada ya yote hayo mwisho ni kifo!
Lakini sasa ikitokea mtu akasema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani watu humuona kama hayuko timamu
Na akisema hivyo, wengi huanza kuona kama hayuko sawa kiakili
Sijui kwa nini huwa hivyo🤔
Binafsi, sitamani kufa sasa😅
Natamani niishi miaka mingi zaidi kwa sababu sijui chochote kuhusu maisha baada ya kifo
Sehemu ninayoijua ni hii dunia, na ningependa niendelee kuwepo kwa muda mrefu zaidi
Lakini pia najua ipo siku moja nitaondokana wewe pia utaondoka📌
Ila sasa kwa upande wangu siku hiyo ikifika
Natamani au ningependa 👇
Nife kwa amani🤗
Nisiwe na chuki wala kinyongo na mtu yeyote
Sitamani kuugua magonjwa ya muda mrefu yanayomchosha mgonjwa mwenyewe na kuwachosha wanaomlea& wanaomuuguza
Pia sitamani kifo cha ajali au kifo chenye maumivu makali sana
Kama ni kuugua, basi iwe kwa muda mfupi
Hii huwapa nafuu hata wanaobaki, kwani hawabebeshwi mzigo mkubwa wa muda, nguvu na gharama za kukuuguza
Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa
Je, wewe umewahi kuwaza kuhusu kifo chako? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua, ungependa kifo chako kiwe cha namna gani?
Team Messi 🔥🔥🔥🔥
ShesRise_1 🤚
Imagine mtu anafia baa, huku kalewa. Huo sasa ndio mfano mmoja wapo wa kifo kibaya
We mdinya akili zako unazijua mwenyewe 😃Binafsi natamani nife nikiwa na nyetuka, basi ikishindikana nife nikiwa naikamia papuchi ya wife.
SawaKifo ni kifo tu
Kwani ni kitu mbofu kufa ukiwa umekishikilia kiuno cha wife huku l unamgonga haswa?We mdinya akili zako unazijua mwenyewe 😃
Siyo vibaya 🤣Kwani ni kitu mbofu kufa ukiwa umekishikilia kiuno cha wife huku l unamgonga haswa?