ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
Ndio maana nikasema hii mada ya kulipia mambo ya wazee wa zamani huoni naikwepaNa ndio maana hasa ya kupatilizwa maovu ya wazee wetu, tunalipia makosa ya vizazi vilivyopita, tunarithi magonjwa hatari waliyopata wazee wetu, sukari, moyo, shinikizo la damu, saratani nk. Mtu anapata saratani ana miaka 35 tu, kuna baya gani huyu mtu kafanya ili apitie maumivu makali namna hii kukatwa matiti yote?
Karibu kwa maoni zaidi😅😅 dah
Hujaelewa, hamna mahali nimeandika unaweza kuua mtu.Hebu nyooka baasi
Naona unaleta kona na longo longo
so mimi kuwaza kuhusu mwisho wa maisha yangu na kutamani namna ningependa kifo changu kiwe
Ni ishara naweza kuua mtu?
Kwa mawazo haya naomba nikutakie wakati mwema brother 🙏🙏🙏
Nimejikuta nacheka sana 😁
Asantee kwa maoni yako na karibu tena
Mie sio mfaji, nasoma comments za wafajin😁😁Karibu kwa maoni zaidi
Mkuu kuna mstari mwembamba sana kati ya kukifikiria kifo kama sehemu ya maisha yetu na kukitumia kifo kama control mechanism.Mtu anaewaza kifo chake anakua kavuka level fulani ya ujasiri, sio kitu kibaya ila binafsi naona huyu mtu ana ujasiri fulani ambao si ajabu hiyo energy anaweza ihamisha na kuleta madhara kwa wengine.
Wapo wale wanaopenda kwenda na wengi, yaani yeye siku yake ikifika au akihisi imefika basi asiwe peke yake.
Kuna wa kujitoa muhanga, kuna wale hataki kuacha wapendwa wao kwenye dhiki yeye akiona hatoboi basi anatanguliza na wenae,ndgu au marafiki na mwisho wa siku si ajabu yeye akaogopa kufa na asijiue.
Uliwahi kupata ile story ya wanandoa waamerika?? Walipofika uzee mume aliumwa sana na ikaonekana hatoboi, akamwita mkewe ambae nae tayari ni ajuza akamwambia afate bunduki yake nyumbani, aje ampige shaba awahi ili aepukane na maumivu.
Mke akaona ni kheri waende wote, yaani amchape shaba mume na yeye ajiue na wakakubaliana hivyo.
Siku imefika, mke kweli kaja na mguu wa kuku, huku na huku baada ya maagano kamchapa ya kichwa mume.
Yeye akashindwa kujiua mpaka polisi wanakuja kumkamata.
Acha ibaki kua siri yako mkuu.
Hapana sitaki tuwe na mawazo sawa ila comment yako isome tena na utagundua ni kama ulimaanisha kua mimi kuwaza habari ya kifo na mwisho wa maisha ni kama inatafsri kwamba nina roho mbaya kiasi naweza hata kuua mtu yaan ni kama umehitimishq mimi kwa huwaza hivyo nina uwezo wa kuua mtuHujaelewa, hamna mahali nimeandika unaweza kuua mtu.
Unataka wote tuwe na mawazo sawa na yako mkuu 😃😃
Nilichokushauri hapo mwisho ni kua kwa namna jamii yetu ilivyo sio salama kushare unapenda ufe vipi na sio vibaya wewe kuwaza/kupenda ufe vipi.
Siamini kwenye mambo ya mkosi, kujichulia, kujiombea mabaya au laana nadhani wakupingao unadhani wana mtazamo wa namna hiyo.
Kwanini umewaza hivyo🤣🤣Una fikra nyingi kama artificial intelligence...
Kama upendavyoKwa kifupi nataka kifo changu nikipange.
Hii Sindano inakuaje?Nipate ile afyuni ojii au ile sindano ya nusu kaputi nijipige kilokaputi nipotelee humohumo
OkayMie sio mfaji, nasoma comments za wafajin😁😁
Ile sindano ya usingzi ambayo huchomwa mtu wakati anafanyiwa opareshen kubwa... Ile ukizidisha kidogo unalala moja kwa mojaKwanini umewaza hivyo🤣🤣
Kama upendavyo
Hii Sindano inakuaje?
Ooh sasa hapo utaombaje uchomwe hiyo sindano nahisi sheria haziruhusuIle sindano ya usingzi ambayo huchomwa mtu wakati anafanyiwa opareshen kubwa... Ile ukizidisha kidogo unalala moja kwa moja
SafiiUle uzee wa kuumwa mwaka mzima siutaki .
Ukikosa connection ya daktari kuna plan B ya heroineOoh sasa hapo utaombaje uchomwe hiyo sindano nahisi sheria haziruhusu
Heh we noma sana 🤣🤣Ukikosa connection ya daktari kuna plan B ya heroine
Mimi sio mchache 😄Heh we noma sana 🤣🤣
Kwakweli so mpka ufikie kufanya hivyo ni ukiaanza kuumwa au 🤣Mimi sio mchache 😄