Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

nimekinai toka niko early 20s, sion kipya kila siku tunafanya marudio ya vitu vile vile maisha yote. Kuna watu kama mimi sion purpose ya kuzaliwa.
Dah sijui hata niseme nini?

Ila kama huna matatizo makubwa hebu kufurahia maisha kaka

Kama kipato kipo fanya hata safari kwenda nchi mbali mbali

Fanya meditation kama unaweza
 
Hakuna KIFO kibaya wala kizuri inategemeana na mtazamo wako kiuhalisia vitu tunavyoviogopa mfano KIFO hutokea mara moja kikubwa ni kufurahia maisha siyo kutamani aina ya kifo KIFO NI KIFO
 
Dah sijui hata niseme nini?

Ila kama huna matatizo makubwa hebu kufurahia maisha kaka

Kama kipato kipo fanya hata safari kwenda nchi mbali mbali

Fanya meditation kama unaweza
Unatakiwa ufahamu wanadam wanadam tumeumbwa tofauti, ambacho nafikiria mimi unaweza kuona hakiko sawa na cha kwako kiko sahihi. Ki Uhalisia wote tunachofiria ni sahihi.

Wewe unaipenda dunia na mimi siipendi, hakuna kosa hapo ni mitazamo tofauti.
Kama kungekua na haki ya kuomba kuchomwa sindano ya kifo maybe some organs ukagawa kwa wanaohotaji zaidi yangu, wenye ndoto hio.. niko teyari kuwapatia as long wana-enjoy maisha ya hapa dunia.
Hii dunia haina jipya..nimeshajaribu vitu vingi hakuna kinachonipa furaha.
Nimeshasafiri sana mkuu, meditation tunafanya… ni kwamba I don’t enjoy dunia anymore. Dunia sio kwa ajili yangu
 
Poleee sana aisee
Sijui nikuambie nini πŸ₯² πŸ«‚
 
Hujaelewa, ukoirudia utaelewa maana yangu.

Yaani nimejali usalama wako, unanituhumu tena nadai unataka kuua πŸ˜€πŸ˜€.

Hiyo ilikua mifano wala sikumaanisha wewe, usichukulie kila comment iliyo tofauti inakuattack.
 
Hujaelewa, ukoirudia utaelewa maana yangu.

Yaani nimejali usalama wako, unanituhumu tena nadai unataka kuua πŸ˜€πŸ˜€.

Hiyo ilikua mifano wala sikumaanisha wewe, usichukulie kila comment iliyo tofauti inakuattack.
We nae 🀣🀣🀣 niache
 
Yes wewe umenielewa vyema kiongozi ..

Kufikiria kifo sio jambo baya hata kidogo, tahadhari niliyompa mleta uzi ni kushare yeye angependa kufa vipi.

Kwa jamii yetu sio salama sana, unaweza kuhatarisha usalama wako.
 
Hapana Mkuu napingana na wewe kwenye hili, ukiishi maisha mema, hata mabaya yanakaa mbali na wewe, ukiwa mtu wa haki, usiyenyanyasa wenzako mabaya yanakuwa mbali na wewe amini hilo, utakufa katika uzee mwema
Sio kweli. Wapo watu wema wamekufa vifo vya simanzi sana. Maisha hayana formula ndugu yangu.

Refer: kifo cha mchungaji Christopher Mtikila, Dkt. Mvungi Sengodo, Prof. Juan Mwaikusa etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…