Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

KUPIGA BOMBA

Ni tiba maarufu sana huko Kigoma.
Inajulikana kwa jina maarufuu " Kuinika".

Tiba hii hutumika kutoa uchafu tumboni, na hutumiwa na watu wazima na watoto.

Njia hii ilitumika kutibu tumbo lililouma bila sababu.

Baada ya kupata tiba tu, huchukua chini ya dakika 5 uchafu ulipo tumboni huanza kutoka na baada ya hapo tumbo huacha kuuma.

Maji ya dawa huingizwa tumboni kupitia njia ya haja kubwa kwa kutumia kifaa maalumu ( siyo sindano ya ngo'mbe).

Sina picha, ila kifaa hicho kipo maalumu kwa watoto na kingine kwa wakubwa tu.

Kifaa cha watoto kina mrija wenye unene sawa na mrija wa Juice ( Hapo linda lipo salama).

Piga bomba kuondoa uchafu tumboni, ila usitumie sindano ya ngo'mbe bro, nenda K.koo wanauza hizo bomba ambazo ni salama kwa marinda yako.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Chukwu emeka
 
Hapa watu wanajifanya kupondaaaa,ila wamesikia inaongeza nguvu za kiume
Wataenda kuwatafuta awo waha wanao waponda wawapige hayo mabomba
 
Sio sindano, kunakua na kopo linalowekwa ki mrija, kopo linawekwa juu then unakipitisha kwa tundu. Nilishangaa eti mtaalamu ndo anakuwekea dah ni noma ilibidi nijiwekee mwenyewe jamaa nikamwambia kwanza atoke nje.
 
Kama wanapona shida iko wapi? Mara ngapi watu mnajitia madole humu mkiwa na constipation mavi magumu kule nyuma?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ahaahaahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajitia madole afu sahv wanakausha
 
Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
[emoji848][emoji134]
 
Huo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.
JINSI YA KUTUMIA: ukishandaa Dawa yako vizuri inakua ya vuguvugu unajiinika/kujiingiza ile Dawa kama lita 1 hivi au nusu lita. (Usihofu kabisa wala kuogopa kuona kama unajit...mba hapana) kwani ki pipe kinachozama mavini ni chembamba saana. Kisha baada ya hapo utaharisha saana utatoa takataka zote hata za miezi 6 zilizokua sugu Tumboni mafuta mafuta yaliyokua yamekaa tu yote tupa huko.
FAIDA YAKE:
(1) Ina safisha mwili kuondoa sumu mwilini.
(2) kuupa mwili Nguvu (hapa ndo wanasema eti "Nguvu za kiume", no ni Nguvu za kawaida tu Yaani mwili unakua ngangari kinoma / very strong ....katika point Hii hapa ndo utaona tofauti Kati ya mwanaume wa Dar na wa Kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
(3) intibu maleria
(4)inatibu mshipa ( ngiri aina zote)
(5)inatibu typhoid
(6) kuondoa kitambi / manyama zembe
Na magomjwa mengine kibaaao.
Utaratibu huu hutumika mara moja kea miezi 6 au kea mwaka mmoja. Kule kwetu wa manyema tunaita KUFANYA SERVICE YA MWILI.
Karibuni sana Kigoma
 
Nitawaleta vijana wa Dar waje kufanyiwa service
 
Hata mtu mzima pia anapigwa bomba? Embu tuacheni utani jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…