Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #221
Hiyo wanayofanya Wanaume wa kigoma ni aina mpya ya warm sitz bath.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo wanayofanya Wanaume wa kigoma ni aina mpya ya warm sitz bath.
Chukwu emekaKigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Mwaka 1278, nani aliandika historia yenu mwaka huo?HAYO NI MATIBABU YA UGONJWA WA TUMBO MWAKA 1278
Dog styleHilo Bomba anapigwa akiw amekaa MKAO gani.. Hicho tu ndio cha kujiuliza.
Ahaahaahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama wanapona shida iko wapi? Mara ngapi watu mnajitia madole humu mkiwa na constipation mavi magumu kule nyuma?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
[emoji848][emoji134]Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
Huu ubunifu tungeutumia kuwaza vitu vya kiteknolojia tungekuwa mbali
Huo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Nitawaleta vijana wa Dar waje kufanyiwa serviceHuo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.
JINSI YA KUTUMIA: ukishandaa Dawa yako vizuri inakua ya vuguvugu unajiinika/kujiingiza ile Dawa kama lita 1 hivi au nusu lita. (Usihofu kabisa wala kuogopa kuona kama unajit...mba hapana) kwani ki pipe kinachozama mavini ni chembamba saana. Kisha baada ya hapo utaharisha saana utatoa takataka zote hata za miezi 6 zilizokua sugu Tumboni mafuta mafuta yaliyokua yamekaa tu yote tupa huko.
FAIDA YAKE:
(1) Ina safisha mwili kuondoa sumu mwilini.
(2) kuupa mwili Nguvu (hapa ndo wanasema eti "Nguvu za kiume", no ni Nguvu za kawaida tu Yaani mwili unakua ngangari kinoma / very strong ....katika point Hii hapa ndo utaona tofauti Kati ya mwanaume wa Dar na wa Kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
(3) intibu maleria
(4)inatibu mshipa ( ngiri aina zote)
(5)inatibu typhoid
(6) kuondoa kitambi / manyama zembe
Na magomjwa mengine kibaaao.
Utaratibu huu hutumika mara moja kea miezi 6 au kea mwaka mmoja. Kule kwetu wa manyema tunaita KUFANYA SERVICE YA MWILI.
Karibuni sana KigomaView attachment 2544299
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] walete bana naimani hawatojutia hudumaNitawaleta vijana wa Dar waje kufanyiwa service
Hata mtu mzima pia anapigwa bomba? Embu tuacheni utani jamani.Huo utamaduni upo sana Kigoma wanapigwa hiyo kitu tangu utotoni mpaka utu uzima, kwa lengo la kutibu magonjwa na kuongeza nguvu za kiume, hata wanawake wa huko wanapigwa bomba nasikia inaongeza nguvu sana kwa bed,, tatizo ni njia yake hiyo inatia ukakasi sana
Punguza ukali wa maneno.Wanabong'oa kiuno na kutanua matako ili kupitisha bomba kwenye kunduh
Huu mzaha huuView attachment 2488539Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...www.jamiiforums.com