Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

Jeshi limeshindwa kusimamia maadili mazuri kwa watu wake...
Kuna uwezekano polisi ulimwomba akusindikize akaenda kuandaa ''majambazi'' yakawavamia, na kukuua mwenye fedha na polisi akakatwa na kisu (danganya toto) na fedha zikayoyoma. Usawa wa sasa hivi polisi wajue umebeba dhahabu yenye thamani ya sh bilioni 50 wakuache?
 
Billion 50 zote hizo hata wakijua mtu ana 50m kwenye gari usiku jua huna maisha aisee..kwani kesi ya Mtwara ni shilingi ngapi kwa wale jamaa wote wakampa dogo kesi ya kuiba piki piki na kumtafuta Dr afanye kazi kwa sumu ikashindikana wakatumia nylon kumziba hewa haya maandishi yapo humu walijitetea hao Majambazi...
 
Adanganye umma kwa faida ipi soma taarifa ya Tume aliyounda Rais upate majibu kidogo sio unataka kuongea vitu usivyovijua hapa..
Tatizo tunapenda sana midia kuliko uhalisia.
Hata upotevu wa pesa sio kwamba pesa yote imeibiwa, hata kama ni ripoti ya cag, pesa huwa zimetolewa kwa kazi fulani ila viongozi wanatoa amri ya kutumika sehemu fuluni, akija mkaguzi akiambiwa pesa hii ilitumika ktk matumizi haya yeye kwa amri ya idara, hapokei taarifa hiyo, na wewe kama mkurugenzi huna nafasi ya kuongelea hilo bungeni/kwenye midia. Sasa wewe uliopo nje ukisikia ripoti kuna upotevu wa pesa sehemu fulani unahisi zimeibiwa na serekali hawachukui hatu. Hawasemi ukweli maana wanajua ukichukua hatua ya kumuwajibisha itakula kwa serikali maana document za matumizi zipo.
Tusiamini sana midia.
 
Kama umebeba dhahabu kwa kufuata taratibu basi hakuna shida yeyote ile, ila kama hujui %90 madini yanabebwa bila kufuata utaratibu 7bu utaratibu wa kumiliki madini ni mgumu sana hasa kwa wachimbaji wadogo. Utaratibu sio mzuri hata kidogo. Ulizia vizuri.
 
Mkuu umekuja kutoa elimu ya CAG baadae utatoa taarifa za Sheria tena nikitulia utakuja na mguu wa Engineer...
 
Halafu tunalaumu Polisi.
Hapa neno polisi ondoa, maana hapo atakua aliambiwa mtu binafsi ila kazi yake ni askari polisi, haihusiani kabisa na escort ya Polisi. Huu ni urafiki kati yake na askari polisi, wkaamua kusafiri pamoja kwenda kwenye safari yao, hakuna idhinisho la polisi hapo.
Hiyo haiitwi escort.
 
Kwa jinsi nilivyosoma maoni ya wadau hapa, itachukua karibia miaka 20 mbele kwa jeshi hilo kurudisha imani kwa raia japo kwa asilimia 80
 
Lakini polisi haijengwi na matofali, inajengwa na hao hao watu binafsi wanaofanya kazi Polisi.

Unaandika kama kuna likitu likuubwa linaitwa Polisi, wakati Polisi ni watu kama sisi.

Unaambiwa hao watu ndio hawaaminiki, na hivyo Polisi kama taasisi haiaminiki.

Taasisi ni zaidi ya watu binafsi, lakini hakuna taasisi inayokuwapo bila ya kuwa na watu binafsi.
 
Hela itokayo ktk ATM kwa masaa 24 ktk acount 01 ni milioni moja wa utaratibu wa awamu 02 kwa baadhi ya benki na awamu 3 baadhi ya benki.
Kuna ATM zinatoa 600,000/= kisha 400,00/= eg CRDB, awamu 02
Kuna ATM zinatoa 400,000/=, 400,000/= kisha 200,000/= eg NMB.
Ukitaka kutoa pesa zaidi ya hapo kwa benki utalazimika kuingia ndani.
 
Ni sawa, naona sasa tunaenda kuelewana.
Tunaposema escort ya polisi maana yake ni idara ya jeshi la polisi, hatuzungumzii mtu binafsi, idadi ya kiasi gani unaenda kutoa na kusafirisha atakaeijua kwa upande wa polisi ni mkuu atakaye saini rifu za wewe kuruhusiwa kuambatana na askari utakaopewa na rifu hiyo kupigwa muhuri wa kituo, na askari utakaopewa hawatajua pesa ni kiasi gani. Ili mchongo usukwe na pesa itembee ni lazima askari hao nao wafe wote wawili hapo ndipo mzigo utatembea na silaha za jeshi pia zitatembea.
Ukimfuata askari polisi binafsi bila kupitia kituo cha polisi na ukapewa askari hilo ni la kwako na sio la polisi, na hili tunafanya sana yani.
Hapa ndipo tamaa ya kuendesha RANGE inapopata nafasi.
 
Wananchi hawana imani na jeshi la Polisi.

Hawajasahau kesi ya kina Ramadhani Zombe bado.
 
😁😁😁😁 Over my died body
 
Wananchi hawana imani na jeshi la Polisi.

Hawajasahau kesi ya kina Ramadhani Zombe bado.
Kwa 7bu tulishalishwa sumu tangu tunazaliwa kua polisi ni wabaya kama tulivyolisha sumu kua mwarabu kamtesa muafrika kwa picha za kuchora na wazungu, wakati warabu wenyewe ni waafrika wenzetu. Lengo la wazungu ni kutugombanisha ili waendelee kuitawala Afrika.
Sumu iliotumika kuwachukia warabu ndio sumu hiyo hiyo iliotumika kuwachukia Polisi nchi hii.
 
Aah, kabla hujamaliza la Polisi ushakimbikia la Muarabu ni Muafrika.

What's next? Biashara ya utumwa iliyoendeshwa na Waarabu huku Afrika haikuwahi kutokea, hiyo ni hadithi ya Wazungu tu ya kutaka kutugombanisha na Waafrika wenzetu wanaoitwa Waarabu?
 
Ukisikia mbuzi amefia kwa muuza supu, ndiyo hii sasa. Bora kufanya mambo yako kwa usiri aisee. Hao jamaa dakika 0 wanakugeuka.
 
Ukiwachukua hao watu hakikisha umeandika wasia na wapi utazikwa.
Kuepusha kusumbua wanao/mke/wazazi wako.
 
hizo hizo kidogo matapeli huzitaka
 
Biashara ya utumwa mwarabu alinunua mtu kutoka ktk familia yake, hivyo wazee ndio huuza watoto wao, yani mbongo mwenyewe ndio anamuuza mtoto wake kwa tamaa zetu za kutaka pesa.
Pia tumia uwelewa achana na mambo ya kukariri.
Mwarabu akimnunua ntu anamfunga cheni ili asimkimbie, anampa chakula a maji kwa wakati na kupumzika kwa vituo kwa 7bu hakua na usafiei zaidi ya miguu, mwarabu atahakikisha mtu huyo anaimarika vizuri kiafya ili akuuze kwa mzungu tunaemuona ni bora kwa bei kubwa maana ukidhofu bei kwa mzungu inapungua, akikutesa ukifa yeye anakula hasara na hatoweza kuendesha biashara.
Kama leo hii unanunua Ng'ombe kanda ya ziwa kwa bei ndogo na kumsafirisha hadi dar ili umuuze kwa bei kubwa, lazima umfunge kamba, umpe chakula na maji ili aimarike kabisa uweze kumuuza kwa bei kubwa, akifa wewe utakula hasara.
Je! Utamtesa ili afe ule hasara?
Fungua akili mkuu, hapo ktk historia tumepigwa.
Mzungu ndie aliewatumikisha na kutesa waafrika baada ya kuwanunua, mwarabu aliuza kwa wazungu kama yeye alivyo uziwa na baba wa familia, ndiomaana leo hii picha zote za mwarabu kumtesa muafrika ni za kuchora, ila zipi za kupiga za mzungu kumtesa muafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…