Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.

Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
 
Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.

Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
Umeninukuu vibaya, sijasema biashara ya utumwa kua ni poa. Kwa upande wangu sio poa kabisa, ila nilijaribu kukufunua akili utoke kwenye kukariri uingie kwenye uwelewa ili ukipinga jambo pinga kwa hoja na sio kwa jadi.
 
Kuna maaskari vijana wadogo kabisa kutoka Mbeya mjini walienda hiyo njia ya Chunya usiku wakawapiga ambush wafanyabiashara wa dhahabu. Hawakufanya mauaji yoyote, baada ya upelelezi walioibiwa wakaitwa kuwatambua wahalifu. Wakafanikiwa kuwatambua na walikuwa ni askali polisi, washanunua magari na vibanda vya kujishikiza. Ikaja kuonekana walipewa taarifa na wenzao wa Chunya.
 
Umeninukuu vibaya, sijasema biashara ya utumwa kua ni poa. Kwa upande wangu sio poa kabisa, ila nilijaribu kukufunua akili utoke kwenye kukariri uingie kwenye uwelewa ili ukipinga jambo pinga kwa hoja na sio kwa jadi.
Hapana, ukivyoandika ni kama mtu anayeona biashara ya utumwa ilikuwa just a natter of fact exchange of goods.

Stop backpedaling.
 
Wafanya biashara walikua na escort ya polisi?
 
Kwa 7bu hauna taalima juu ya jambo linalo bishaniwa.
Ikishaandika 7bu tu unanipa sababu zaidi ya kukutupa ignore list.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.

Sitaki mizozano na watu wajinga wanaosema Warabu ni Waafrika.
 
We bwana embu tulia kwanza, hao wanakuua then wanapita na mzigo. Mbona mifano ipo kibao
Mnakuja na mifano ya mtu anayefanya kazi ya uaskari, lete uhalisia wa escort ya polisi.
 
Wafanya biashara walikua na escort ya polisi?
Hawakuwa na Escort, na wamezoea kufanya hivyo miaka yote. Labda Jeshi la polisi wana nia ya kupunguza matukio ya uporaji na wakati mwingine mauaji. Tatizo ni weledi wa hao Askari polisi tu, yaani bahadhi yao wanabehave kama majambazi kabisa.
 
Afande sikiliza, nyie ni wezi wenye uniform za ulinzi, tunawaogopa kama tunavyoogopa majambazi
Unakosea kuniita afande.
Unawaogopa kwa 7bu ndivyo ulivyokulia kwa kuwachukia tu, lakini sio kwamba wamekukosea.
 
Hawakuwa na Escort, na wamezoea kufanya hivyo miaka yote. Labda Jeshi la polisi wana nia ya kupunguza matukio ya uporaji na wakati mwingine mauaji. Tatizo ni weledi wa hao Askari polisi tu, yaani bahadhi yao wanabehave kama majambazi kabisa.
Good.
Huu ndio uelewa, ni ngumu sana kuvamiwa ukiwa na escort, ndio maana nikasema mchawi mpe mtoto alee, hauta juta, ilwa wengi hauelewi malengo ya huo msemo.
 
Unakosea kuniita afande.
Unawaogopa kwa 7bu ndivyo ulivyokulia kwa kuwachukia tu, lakini sio kwamba wamekukosea.
Weeee! Wameshaniulia ndugu yangu na kesi hakuna. Polisi tunawaogopa kama tunavyoogopa majambazi
 
Ikishaandika 7bu tu unanipa sababu zaidi ya kukutupa ignore list.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.

Sitaki mizozano na watu wajinga wanaosema Warabu ni Waafrika.
Sasa hapa mjinga ni nani?
Tatizo unabisha jadi, hauna taaluma juu ya hili. Hata simba na yanga huoni wanacheza na nani ktk makombe ya afrika?
 
Weeee! Wameshaniulia ndugu yangu na kesi hakuna. Polisi tunawaogopa kama tunavyoogopa majambazi
Ukiona polisi kaua mtu, kisha hakuna kesi, basi huyo mtu alikua JAMBAZI, sio kwamba jambazi hana ndugu, anao pia.
Mtu akiuwawa ktk nchi hii, kiutaratibu lazima kuwepo na PMR Post Motorm Report, taarifa ya daktari, inapofanyika PMR lazima kuwepo na Daktari, Polisi na Familia, hapo tayari kuna RB, vipi utasema hakuna kesi na jesi ya mada hakuna dhamana.
Tuambie, kama sio jambazi, ndugu yako alikua nani na kwanini mkakaa kimya msiende mahakamani?
 
Hujabambikiwa kesi na police ndio utajua.

Police 100 ambao hawawezi kukubambikia kesi ni wawili tu.
 
Hiki kitu nilishakiongea ya kuwa. Kumbe na wewe ni miongoni mwa hao.
Unamchukio Polisi bila sababu ya msingi kisa akili ilishalishwa sumu kua polisi ni mbaya. Kakukusea nini, hakuna alichonikosea, shida nini wa tz?

Umejuaje hakuna walichomkosea? Au unamjua?
 
Ondoka kwa shemeji yako utalewa mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…