Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?


  • Total voters
    111
Yaani mtu ana Ak47 ulitaka raia wahangaike nao kivipi mkuu ?
 
Polisi wanajivunia uonezi, ubambikaji kesi na ukandamizaji haki za raia
 
Kwa sababu linawalinda mafisadi wa Ccm kwa ngu vu zote huku likikandamiza raia wanyonge
 
kwanini unauliza maswali rahisi sana ?
 
Yaani mtu ana Ak47 ulitaka raia wahangaike nao kivipi mkuu ?
Mtoa mada amemaanisha polisi wanatakiwa wabadilike. Akichukulia mfano wa hilo tukio la huyo mtuhimiwa kuwa target polisi pekee, na kuwaacha raia!!
 
Polisi wangesikia KATIBA MPYA WANGEKUAMBIA WANA INTELEJENSIA.
 

1-kubambikia watu kesi.
2-kupendelea chama kimoja na kuminya uhuru
3-wasijulikana kushindwa kuwekwa bayana.
 
Kwa sababu wanabambikia watu kesi, wanawapiga watuhumiwa na kuwatesa na kuita watu magaidi. Sasa Magaidi mmoja mmoja wanaanza kuchomoza kama uyoga... tuombe mungu tu wasitapakae kila mikoa...
 
Sababu ni moja tuu, IGP linafanya kazi kama kada la CCM and very unprofessional, kazi yake ni kudhibiti wapinzani na sio ulinzi wa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…