Ni full majanga wapo 1%ni waadilifu kidogo sana lakini wengi wapo kibiashara zaidi wanawabambikia Raia kesi na ucheleweshaji kesi maksudi Waige mfano toka Kenya na Uganda wakuu wa jeshi la Polisi ni Wanajeshi na Wakuu wa Majeshi wana Nguvu sana na imesaidia angalau kidogo nidhamu ya kijeshi ipo tofauti na hapa tz kuingia bure kutoka Pesa .
Sina Imani na serikali ya CCM
Sina imani na jeshi la Polisi
Sina Imani na Mahakama
Sina Imani na spika wa Bunge
Sina Imani na waziri Mkuu
Sina Imani na Rais mtembezi kama Vasco Da gama
Kama mwenye nyumba anaweza kumwamini mbwa koko basi hata jeshi la polisi linaweza kuaminiwa. Imani yani kwa jeshi la polisi ni -100% (yaani asilimia hasi mia moja)
Mama timmy; Unawapa asilimia ngapi za ujumla kuanzia kwenye detective intelligence, kupambana na rushwa, usalama wa raia na mali zao (usisahau madai ya fedha za Kariakoo na kukutwa na bangi sambamba na kukutwa na kichwa cha mtu kwa lengo la kumbambikiza mtu kesi) Vilevile kwenye kudhibiti madawa ya kulevya, ujambazi na ulinzi shirikishi.We nipe tu marks za jumla unawaamini kwa asilimia ngapi?
Mwalimu masikini; Najua wako tayari kusambaratisha maandamano ya Walimu endapo mtadai maslahi yenu, lakini pia wanajitahidi kulinda fedha zenu dhidi ya cyber criminals japokuwa teknolojia yao ni ndogo.Embu tuambie Mwalimu Masikini; unawapa asilimia ngapi?