Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?

  • Total voters
    111
Matukio kama haya yanasaidia kuchangamsha polisi wetu. Au nasema uongo ndugu zangu?
omba mungu marafiki wa mtu huyo wasije kutapakaa mikoani.. itakuwa mshike mshike...maridhiano yafanyike mapema, ccm isisubiri watu waanze kuuna kwa hasira za kisiasa ndio waje kusema washikane mikono... na ukiangalia huyo jamaa aliliacha basi la abiria lililokuwa kando yake.. conclusion? ana hasira na polisi, sijui walimfanya nini na kuamua kujitoa muhanga...
 
IGP ajiuzuru, aende akasaidie kujenga chama chake cha CCM, upolisi hawezi tena aachie professionals ambao hawachukui order za wapumbavu wa CCM
 
HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?

Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa jeshi la polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .
Leo katika la mtua hasiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuwawa.

Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu , je raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni , kwasababu raia wamewachoka polisi?
NDIVYO ILIVYO POLISICCM WAACHE WAFE NA WAZIKANE WAO KWA WAO. SIWAPENDIIII
 
Lini bavicha mlikua na imani na polisi?
msiwasemee watanzania wengi, jisemeeni nyie kama kikundi cha 'kigaidi'
 
IGP ajiuzuru, aende akasaidie kujenga chama chake cha CCM, upolisi hawezi tena aachie professionals ambao hawachukui order za wapumbavu wa CCM
Polisi wameuwawa na bado Sirro yupo anadunda tu, si angefanya kama Mwinyi... na hata huyo waziri wa mambo ya ndani bado tu amekalia kiti chake, kazi zao kubwa ni kuwavia wapinzani na kujua namna ya kuzuia mijadara ya katiba na makongamano ya ndani... Polisi IGP na waziri husika si waachie kazi... mbona vinganganizi...
 
Lini bavicha mlikua na imani na polisi?
msiwasemee watanzania wengi, jisemeeni nyie kama kikundi cha 'kigaidi'
Gaidi wa kweli leo umemsikia kwenye news, sasa muache kunyanyasa wale kina mama wanaoongelea katiba kitu ambacho ni haki yao, hamna tofauti na magaidi nyie
 
Pale CCP moshi, chuo cha polisi ina maana wanafudishwa kwa kina sana kuhusu intelijensia ya kupambana chadema, naona hii wanaimasta sana. Muwe mnafundishwa na ya ugaidi na jinsi ya kupambana na ishu km hizi.
 
HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?

Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa Jeshi la Polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .

Leo katika la mtu asiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuawa.

Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu, je Raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni, kwasababu raia wamewachoka polisi?

inaitaji akili ya mwendawazimu kuwa na imani na polisi wa ccm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nazani depo ziongeze mafunzo zaidi kama raia ana ua polisi na kuwapola silaa sipati picha wakiingia magaidi wa kweli itakuaje
 
Matendo yao ndo yamepelekea raia wakose Imani kwao,wazia kitendo Cha m2 kuripoti polisi kuwa katekwa na polisi walewale wanamgeuzia yeye kesi kuwa kajiteka. Polisi Hawa vp co kesho watatwambia hats huyu binti kajibaka pindi akienda kuripoti kabakwa? He hao ndo wa2 was cc raia kuendlea kuwaamini?
 
Tatizo polisi imekuwa sio chombo cha kulinda usalama wa raia tena, wapo pale kulinda maslahi ya CCM hata training zao nyingi ni kupambana na maandamano, kusaidia wizi wa kura na kubambikizia wapinzani na raia kesi za kipuuzi kama wao wenyewe, ila siku wananchi wakiamua polisi watatupa bunduki zao zote na ndio watajua boss wao sio CCM ila ni wananchi... inakuja hiyo siku CCM wanajidanganya tuu na hawana nguvu kama wanavyofikiria
 
Huwezi. Labda uwe na itikadi ya kigaidi. Na yule hakuwa na itikadi ya kigaidi ndio maana kamalizana na waliomdhuru akasepa.
Na waliomdhuru hawataki kusema ukweli,wamebaki kulaumu familia na kutoa vitisho,tatizo limo ndani ila wameamua kulificha uvunguni
 
Nahisi wananchi walio wengi wamepoteza imani kwa jeshi lao la polisi,ni bora taratibu zikafuatwa na jeshi hili likavunjwa na kuundwa upya, hata yale maelezo wanayoyatoa Polisi hawa baada ya tukio na wao wakiwa ndio wasemaji wakuu katika kutoa maelezo yawe ya wizi,ya ubakaji,ya mauaji ya uchaguzi ,kwa kweli wananchi walio wengi wanawabeza na kurusha madongo.

Nahizi sio vizuri kwa jeshi hili kuwepo kama lilivyo linahitaji ukarabati wa uweledi sana,maana kwa masikizi ya wananchi hili jeshi ni mzigo usio na faida,hata wakuu wa polisi kama wataweza kusema ukweli bila ya shaka yeyote watakuwa na la kusema juu ya imani ya wananchi dhidi yao.tulimsikia mmoja juzi akitoa maelezo mengi, huku akionesha kusikitika kuwa huko mitandaoni kunasemwa hili na lile,wananchi mitaani wanasema hivi na hvyo,mradi alisikitika sana kwa kuona wananchi hawana imani na yale wanayoyatenda.
 
Kiufupi Tanzania inahitaji revanmping kubwa sana kwenye mifumo ya kiutawala. Bila kufumua hii mifumo iliyoota mizizi hatutatoboa.
 
Back
Top Bottom