HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI?
Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia kuwa jeshi la polisi limepoteza umalidadi wote na kufanya kwa kuwakandamiza raia ambao ndio msingi wa wao kuwepo kazini .
Leo katika la mtua hasiyejulikana ameua askari wawili lakini raia waliokuwa wapo katika daladala , bodaboda na wale waliopo katika vituo vyao vya kazi hajaangaika nao , hii imeonyesha hali halisi baina ya imani na polisi imefikia hatua watu wanafuraia askari kuuwawa.
Hii inatafakarisha nini kwa usalama wa taifa letu , je raia wanaweza kuungana na adui katika kukamilisha misheni , kwasababu raia wamewachoka polisi?