Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Je, una imani na Jeshi la Polisi?

Una imani na utendaji wa Jeshi la polisi?


  • Total voters
    111
Naliamini jeshi la polisi kwa 20% pekee katika kipindi hiki cha serikali ya Kikwete.
 
100%... We need them, you like it or not. If you think you don't then you are totally insane, I guarantee you this, if we disband Police force we will go back to Lordship, and total barbarism.
 
0%hamna jeshi la polisi zaidi niwauaji namajambazi tu yanafugana humo!
 
kamandawasua; The topic isn't about whether we want them or not because the neccesity of establishing police force for maintaining peace,justice and order is unavoidable to any legal state. The issue based on their performance! Thanks in advance for your opinion!
 
Last edited by a moderator:
Nawaamini kwa 18% kwa sababu walau wapo wachache akiwemo mshkaji wangu anayekerwa na mengi yanayofanywa nj polisi wetu
 
Nawaamini kwa 18% kwa sababu walau wapo wachache akiwemo mshkaji wangu anayekerwa na mengi yanayofanywa na polisi wetu
 
Hata 0 ni maksi ngoja niwape incomplete hawa pumbavu (-%)
 
kamandawasua; The topic isn't about whether we want them or not because the neccesity of establishing police force for maintaining peace,justice and order is unavoidable to any legal state. The issue based on their performance! Thanks in advance for your opinion!

Pamoja mkuu nimekupata sana ila hayo yalikuwa ni kwa wale walugaluga waliopost ushuzi
 
0%. Kuna wakati nawaogopa polisi kuliko hata majambazi. Siku hizi ukiwa na hela unaweza kuuawa na polisi kisha ukasingiziwa ni jambazi. Ukiwa hutaki kutoa rushwa unaweza kutengenezewa kesi hata ya kuua mtu ukaozea gerezani. Ukiwa kwenye vyama vya siasa vya upinzani hasa CHADEMA unaweza kuuawa au kutengenezewa kesi ya ugaidi.

Polisi sasa hivi hawapo kwaajili ya wananchi bali kwaajili ya viongozi, CCM na mafisadi.
 
Imani yangu ni 0%. Sina imani nao kabisa na kila niwaonapo naona kama nachungulia kifo. Yaani imefikia wakati hata nikiwaona mbele yangu huwa nabadili njia na kama haiwezekani basi bora niite taxi iniondoe tu mbele ya watu hawa.
 
Less than 10% ya polisi ndio wanaaminika. Wengine (90%) ndio wezi mitaani, majambazi,wala rushwa na wanatumika kisiasa, hawafanyi kazi zao kulingana na taaluma walopata pale CCP.

Sidhani kama kwa sasa naweza kumwamini polisi yeyote japo bado naona hao 10% kama bado wanawakilisha kuaminiwa kwa kiasi flani.
 
Kwa kuwa hawatii sheria na katiba ya nchi (wanabambikizia watu kesi, wanashiriki katika ujangili, ujambazi, utesaji, mauaji, na kukubali kutumiwa na wanasiasa-CCM) hawana hadhi ya hata kupata imani ya asilimia sifuri (0%)! Labda ungetuongezea wigo wa uchaguzi kwa kuweka asilimia HASI (negative) nami ningewapa -80%. Kwa wanaokumbuka hisabati mtakumbuka kwamba 0 ni kubwa kwa nambari yoyote hasi!
 
Mwanaukweli; Nimeisoma na kuelewa vizuri, kumbe ukweli unabaki kwamba HAKUNA MTU,KUNDI WALA JAMII ILIYO JUU YA SHERIA LIKIWEMO JESHI LA POLISI. Sasa tumeshuhudia mara kadhaa jeshi la polisi likikamata,kuzuia au kupambana na uhalifu mathalani ujambazi. Tumeshuhudia wakikamata madawa ya kulevya kama bangi lakini pia, tumeshuhudia wanyamapori wakisafirishwa mpaka airport na kusafirishwa nje ya nchi bila jeshi la polisi kujua ama kuhusishwa na wakwepa kodi waliokuwa wanasafirisha mazao kinyume cha sheria kwenda nchi jirani haswa Kenya kama alivyodai waziri mkuu Mhe.Pinda mwaka jana (2012) hadi akaamuru JWTZ kuingilia kati. Unawapa asilimia ngapi za jumla kuanzia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kupambana na rushwa na mahusiano chanya na jamii?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom