Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

Mwandiko mbovu Ila content nzuri
 
Ukiwa na mtazamo wa kwamba una mahitaji yako kwa kiasi Fulani na baada ya hapo utaridhika na kufurahi maisha bila shaka utakua na upeo mdogo wa kufikiri au utakua mbinafsi sababu,

1. Binadamu tuna changamoto nyingi katika ngazi tofauti kama

A. Mahitaji binafsi
B. Mahitaji ya familia
C. Mahitaji ya ukoo
D. Mahitaji ya mkoa
E. Mahitaji ya nchi
F. Mahitaji ya bara
H. Mahitaji ya dunia

Nina mengi ya kuandika ila kwa kua huu sio Uzi wangu nitasema kwa kifupi kwamba kama mtazamo Wako utaangukia kwenye mahitaji binafsi basi ujue wewe una akili ndogo au mbinafsi.
 
Mkuu sio Kwa ubaya, ila ume andika upuuzi tu.
 
Una hakika uta uweza ukubwa huo?, kuanzia kwenye matokeo yake kiakili, kimwili na hata ushindani?.

Maana with the higher power, the higher the responsibility arrives.
Mi hata Bilion 1 usd nakaa nayo na nipo kawaida
Nimejifunza simplicity kwenye maisha nilivyoanza kupata pesa

Ndo nimekuja kujua wale matajiri wanaitwaga wachawi kwa kuwa simple

Ukiweza kuzioea ela hutaridhika
Ila ukizioea unakua umesharidhika
Mi sijazizoea naziona ndogo ndogo and i want more and more each day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…