Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

Swadakta
 
Angeanza lissu kabla ya nyerere tungepata uhuru tangu 1930 na kwa sasa tungekuwa tunapanda ndege km baiskel
 
Uelezee sasa vizuri kwamba akili zetu ukihusanisha za kwenu za kuua wAatu
 
A hero can be anyone, even a man doing something as simple and reassuring as putting a coat on a young boy's shoulders to let him know that the world hadn't ended.
 
Nyerere anapeleka harakati kwenye nchi za watu zikirudi kwake anaua.
Kizee kioga sana kile.
ni mbaya sana,
mwanaume mzima mwenye familia yake kabisa, kubebwa ufala wa kifikra na mabwenyenye ya magharibi, na kufanywa kibaraka wao Afraca, especially Tanzania.

ni fedheha zaidi mwanaume kamili kuolewa gentleman πŸ’
 

Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 8
ni mbaya sana,
mwanaume mzima mwenye familia yake kabisa, kubebwa ufala wa kifikra na mabwenyenye ya magharibi, na kufanywa kibaraka wao Afraca, especially Tanzania.

ni fedheha zaidi mwanaume kamili kuolewa gentleman πŸ’
Story za kabendera hizi za kufurahisahana nyie manyani huko Lumumba.
Au tukutumie Picha za kawaida akiwa kapakatwa.
 
Story za kabendera hizi za kufurahisahana nyie manyani huko Lumumba.
Au tukutumie Picha za kawaida akiwa kapakatwa.
halafu sherehe ya kibaraka ilikua ya siri iliyohudhuriwa na watu wachache tu muhimu na maalumu, kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya na Marekani πŸ’
 
Uelezee sasa vizuri kwamba akili zetu ukihusanisha za kwenu za kuua wAatu
Kumfananisha Lissu na Nyerere si tu kukosa adabu, ni kielelezo tosha kwamba kama kuna watu wanafikiri siasa za vyama vingi, demokrasia itawasaidia kutoboa watasubiri sana. Kitu gani cha msingi Lisssu alishawahi fanya kwa nchi hii zaidi ya kwamba nchi ndio imemlipa mishahara na marupurupu akiwa mbunge? Lissu ameitafuna nchi kuliko nchi ilivyomfaidi yeye. Of course kuna namna sahihi ya kudeal na jamaa style ya Lissu kuliko kumfungulia kesi zisizo na kichwa wala miguu, au kujaribu kumuua, but hiyo ko topic nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…