Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Na taarifa wakakupa wewe ukiwa Mbalali kwenye dhamba za mpunga ?halafu sherehe ya kibaraka ilikua ya siri iliyohudhuriwa na watu wachache tu muhimu na maalumu, kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya na Marekani π
Wewe ni MPUMBAVU, MJINGA, MASHENZI, MBUMBUMBU, LOFA NA FALA. Yaani Lissu unamlinganisha na Mwl. Nyerere? Unastahili KUPOTEA!
Sina akili mbovu za CHADEMA.Huna akili
Kwa hiyo hapo umejibu swali langu?Kumfananisha Lissu na Nyerere si tu kukosa adabu, ni kielelezo tosha kwamba kama kuna watu wanafikiri siasa za vyama vingi, demokrasia itawasaidia kutoboa watasubiri sana. Kitu gani cha msingi Lisssu alishawahi fanya kwa nchi hii zaidi ya kwamba nchi ndio imemlipa mishahara na marupurupu akiwa mbunge? Lissu ameitafuna nchi kuliko nchi ilivyomfaidi yeye. Of course kuna namna sahihi ya kudeal na jamaa style ya Lissu kuliko kumfungulia kesi zisizo na kichwa wala miguu, au kujaribu kumuua, but hiyo ko topic nyingine.
Nyerere hawezi kutia hata nusu kwa lissu acha apewe heshima kama muhenga tuNyerere huyu huyu aliyeshindwa kuandika katiba mpya huyu huyu alieua Tanganyika naweza kusema hata matatizo anayopitia Lissu chanzo chake kikuu ni Nyerere kwangu Lissu ni bora mara 100 dhidi ya Nyerere
Kumfananisha Lissu na Nyerere si tu kukosa adabu, ni kielelezo tosha kwamba kama kuna watu wanafikiri siasa za vyama vingi, demokrasia itawasaidia kutoboa watasubiri sana. Kitu gani cha msingi Lisssu alishawahi fanya kwa nchi hii zaidi ya kwamba nchi ndio imemlipa mishahara na marupurupu akiwa mbunge? Lissu ameitafuna nchi kuliko nchi ilivyomfaidi yeye. Of course kuna namna sahihi ya kudeal na jamaa style ya Lissu kuliko kumfungulia kesi zisizo na kichwa wala miguu, au kujaribu kumuua, but hiyo ko topic nyingine.
Nyerere hawezi kutia hata nusu kwa lissu acha apewe heshima kama muhenga tu
hata anaelelewa Ulaya hajui gentleman, ni fedheha sana aise πNa taarifa wakakupa wewe ukiwa Mbalali kwenye dhamba za mpunga ?
Lissu ni zaidi ya Mbowe. Nyerere alikuwa na akili.
Mwenyewe kwnz kalikuwa kadictator vile vile hakashauriki ndio maana kakatuunganisha wazenj umeona sasa kilichotukutaHuo ndo ukweli matatizo yote anayopitia Lissu chanzo chake inaweza kua Nyerere
Nyerere ndio Rais pekee amenusulika kupinduliwa na kuuwawa kuliko Rais yoyote Tanzania,hivyo ilibidi aje na njia za kulinda urais wake-ndio maana akauungamisha Serikali na Chama ili iwe rahisi kwake kuongoza.Nyerere hakuwahi kupigania uhuru wa Tanganyika
Uhuru tulipewa bure, decolonization ilikuwa sera na nchi zote zikapewa uhuru chini ya League of Nations na baadae UNO
Hata ningekuwepo Mimi Nina Degree wakati huo ningepewa nchi.
Binafsi simwonagi Nyerere kama hero bali mtu aliyeuwa hili Taifa Toka mwanzo.
Nyerere alikabidhi vyombo vya ulinzi na na usalama kuwa taasisi za CCM,
Nyerere alileta sera za ujamaa.
Nyerere alileta katiba ya ovyo.
Nyerere alileta Muungano wa ovyo
Chanzo ni nyie watanzania wajinga msiojielwa,huwezi kumlaumu mtu aliyetoka madarakani miaka 40 iliyopita kwa kitu ambacho mkiamua mnaweza kukibadili ndani ya mwaka.Huo ni uwendawazimu.Huo ndo ukweli matatizo yote anayopitia Lissu chanzo chake inaweza kua Nyerere
Wewe hiyo Tanganyika ikiwepo akusaidia nini??,wenzio wanaungana kukabiliana na wewe,wewe unataka ujitenge.Nyerere huyu huyu aliyeshindwa kuandika katiba mpya huyu huyu alieua Tanganyika naweza kusema hata matatizo anayopitia Lissu chanzo chake kikuu ni Nyerere kwangu Lissu ni bora mara 100 dhidi ya Nyerere
Wewe hiyo Tanganyika ikiwepo akusaidia nini??,wenzio wanaungana kukabiliana na wewe,wewe unataka ujitenge.
Hii siyo mada mkuu, Erythro, sijui leo akili yako imevurugwa na jambo gani?TOA MAONI YAKO
Nyerere mbinafsi alijifikiria yeye na cheo chakeNyerere ndio Rais pekee amenusulika kupinduliwa na kuuwawa kuliko Rais yoyote Tanzania,hivyo ilibidi aje na njia za kulinda urais wake-ndio maana akauungamisha Serikali na Chama ili iwe rahisi kwake kuongoza.
Kuhusu sera za ujamaa mie sioni ubaya wake,tatizo ni kuwa kwa kuwa tulitoka kutawaliwa hivyo sera nyingi za kiuchumi,kisiasa na kijamii zilikuwa ni za kuiga kutoka kwa mataifa mengine.Nyerere alichambua madhara ya ubepari katika wakati ule ndio maana aliukataa na kuukumbatia ujamaa.Hata hivyo,isingekuwa jitihada za western countries kuangusha nchi za kijamaa kiuchumi nadhani ujamaa ilikuwa sio sera mbaya.Sema powerful countries walidhamiria kuangamiza ujamaa ili waweze ku control hizo nchi kwa kuanzisha mifumo yao.
Katiba aliitengeneza ili imulinde yeye na kuwa na full control ya kuwa na maamuzi.Hata hivyo,itakuwa ni uwendawazimu kumulaumu nyeye sasa hivi kwa hayo ilihali mna muda na nguvu za kubadili hayo yote.
ππππHii siyo mada mkuu, Erythro, sijui leo akili yako imevurugwa na jambo gani?
Kuna mambo ya msingi sana mengi ambayo ungeweza kuyatia kwenye mzani hapa watu wakayajadili kikamilifu.
Kwa mfano: Hivi kweli mtu mmoja kama George Bagyemu, bwege mmoja tu toka sehemu fulani, kwa vile yeye ni polisi anaweza akahatarisha uhai wa mtu asiyekuwa na hatia yoyote kama Tundu Lissu; tena mtu anayetafuta ukombozi wa taifa hili?
Huyu Bwege kapata msukumo toka wapi, kwa Bw. Abdul na mahela yake?
Hili ningeweza kushiriki na kujadili, kwa sababu ni jambo la kutisha sana.