Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Punguza hasira mkuu. Jadili kwa hoja. Unachokijua sio kwamba ndio sahihi Kuna vingine huvijui.
 
Kwani Tanganyika haikuwa mandate colony chini ya Mwingereza, wakati Tanganyika ni mandate colony apakua na viongozi wa kiafrika kwenye serikali ya mkoloni.
 
Ndugu yangu kasome vizuri kwenye kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua uwepo wa wayahudi hata kabla ya uislamu kuwepo na eneo lao linajulikana.(Middle east) Nakushauri usiwe mkubwa kuliko kitabu cha mwenyezi Mungu.

Kuhusu mataifa mengi kuunga mkono Palestina haiondoi ukweli kwamba Israel ina madai ya haki kwamba mahali walipo ni nchi yao na wao wamekuwepo hata kabla ya uislamu na kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua.

Nataka kusema ukweli hata kama inauma.Israel ni Taifa teule la Mungu hata kama dunia nzima itakuwa kinyume nao Mungu wao huko pamoja nao, wataendelea kuwepo tu vizazi na vizazi,wameshashinda vita nyingi sana na watazidi kushinda milele, maazimio yote ya umoja wa mataifa dhidi ya Israel ni kupoteza muda tu hakuna kingine zaidi ya hapo
 

Unaongelea Sudan au South Sudan?
 
Israel haiwezi kuwa mahali pengine zaidi ya nchi yao walipo, ni sawasawa na kusema watanzania wahamishiwe Kenya halafu Kenya ibadilike jina kuwa Tanzania, hakunaga kitu kama hicho. Magaidi ya Hamas yalimwaga petroli juu ya moto, acha kuni ziwake.​
Unaifahamu Azimio la BALFOUR DECORATIONS LA 1917??
 
 
Wewe mwenyewe shabiki wa imani. Halafu vyote ulivyoandika ni uongo. Labda kidogo Hilo la Uganda.
Unaifahamu Uganda schemes of 1903?? Wakati uganda schemes inafanyika kulikuwa na taifa linaloitwa uganda??? Au kulikuwa na East Afrika
 

Viongozi gani wa kiafrika walipinga?. Israel ndio walikataa, wakadai eneo la asili la mababu zao.
 
Acha hoja za kidini JIBU maswali apo juu?? Sitaki kusikia habari za bibilia maaana mmedanganywa wayahudi wa bibilia na wayahudi halisi
 

Duh kweli una shida aise, unaleta historia ya 40s, juzi sana bana, hapo mahali hata ukiweka dini pembeni pana historia ya maelfu ya miaka.
 
Acha hoja za kidini JIBU maswali apo juu?? Sitaki kusikia habari za bibilia maaana mmedanganywa wayahudi wa bibilia na wayahudi halisi
 
tunawekana sawa tu
 
Kwani Tanganyika haikuwa mandate colony chini ya Mwingereza, wakati Tanganyika ni mandate colony apakua na viongozi wa kiafrika kwenye serikali ya mkoloni.
Tanganyika kulikua na kina mkwawa, isike, yaani kulikua na kingdom na zinajitawala
Narudia tena ntajie wafalme watano wa dola ya kipalestina kwenye historia ya nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…