Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?


Lazima ujue kwamba Israel alijitangazia uhuru wake yeye mwenyewe mwaka 1948 , hakusubiria kutoka kwa mwingereza maana tayari Umoja wa Mataifa ulikuwa umeshakubali yaganywe Mataifa mawili ya Israel na Palestina kupitia azimio namba 181 la mwaka 1947.

Hivyo basi Israel alikuwa anakamilisha utekelezaji wa azimio la umoja wa Mataifa la 1947. Ndio maana alipotangaza uhuru Marekani na Urusi zokaitambua nchi ya Israel mara moja.

Wa kulaumiwa ni Jordan na Egypt wao ndio waliachiwa maeneo ya Palestina wayatawale. Jordan aisimamie West Bank na East Jerusalem na Misri aisimamie Gaza. Cha kushangaza wakaanzisha Palestinian war mwaka 1948, baada ya Israel kuyachakaza makundi ya Palestina ndipo Misri, Syria na Jordan zikaingia kupambambana na Israel na hapo ndipo hadithi ilibadilika.

Misri na Jordan wangeipa uhuru wake Palestina yote yasingetokea , wao wakawa wanawaza kuifuta Israel, mwishowe wakakosa vyote.
 
JIBU maswali hapo juu kuhalilisha Israel ardhi yao ya nyumbani ni hapo Mashariki ya Kati. Na sio kuleta porojo za dini wakati history ya jews hujui

Wewe mwenyewe Historia ya Jews huijui ila unajifanya mjuaji.
 
Kuuwawa, kuporwa ardhi ,kukaliwa kimabavu,nayo pia ni neema ??
Hao wanaouwawa wanaichokoza Israel wenyewe, bahati mzuri Happ kwetu hatuja chuki Kama za waarabu.
Hata Kama tungekuwa sisi ikiwa majirani zetu wanaopanga njama za kutafuta lazima tutajitutumua kupigana nao. Na hicho ndio tulichokifanya kwa wale wahuni wa mkiru.
 
Tungeuwawa kama wanavyouwawa Wapelestina sizani kama kuna mtu ataendelea kulishobokea hili taifa la israel maana hawajui kadhia wanayoipata Wapelestina kwenye ardhi yao. Yangetufikia sisi nadhani akili ingewakaa sawa wayahudi wa kwa mtogole

Aliyeleta haya yote ni Ottoman. Kuondoa kwenye ramani neno Judea na kuweka Palestine. Hapo ndipo ujinga ilipoanzia.
 
Hapo umeongea point, ila sisi tukisema wale ni wavamizi hawapaswi kwendelea kubaki pale tunaonekana wapumbavu

Kasome Historia bila kuweka chuki ya udini. Kuanzia warumi, Mamluk mpaka Ottomana na muingereza ndio utajua mkazi halisi ni nani.
 
Hapa Tanzania wangekula bata maana rais angekuwa anakamata wananchi na kuwapekeka turiani kupanua eneo la wazayuni bila vita kama anavyofanya kwa wamasai.
 
Dunia nzima inasimama na Wapelestina kupinga dhulma ya hawa fakes jews mimi ni nani nisisimae na palestine.

Dunia nzima ipi? Wale waandamanaji wa kiarabu. Israel amefanya vyema kupambania eneo lake.
 
Unaleta chuki za kidini bila kujibu maswali Apo juu. Ati atakaibariki israel naya atabarikiwa. Hivi mnaowabariki mnaijuwa historia yao vizuri au umelishwa viaasili vya Dini.

Tatizo unalazimisha historia yako ya uongo ndio iwe kweli.
 
Ila hii ya kudai wayahudi milion 6 waliuawa ni Kamba ya wazi.
Leo Israel nzima Wayahudi wanakaribia namba hiyo, sasa wanataa kutuambia kuwa Hitler aliua wote hao?
 
Unaifahamu Uganda schemes of 1903?? Wakati uganda schemes inafanyika kulikuwa na taifa linaloitwa uganda??? Au kulikuwa na East Afrika

Ndio nikasema wewe ni muongo, unadai Viongozi wa kiafrika walikataa Israel asiamie Ugand au Afrika mashariki. Ndio nikasema wewe ni muongo.
 
Myahudi gani ambaye angekubali kupangiwa kuishi uhamishoni na ardhi ya asili yao iendelee kaliwa na wageni?
 
Unaifahamu Uganda schemes of 1903?? Wakati uganda schemes inafanyika kulikuwa na taifa linaloitwa uganda??? Au kulikuwa na East Afrika

Kasome Slattery report ya mwaka 1939 ya Rais wa Marekani Bwana Roosevelt. Kuhusu kuhamisha waisrael kwenda Alaska kuanzisha taifa lao, ila baadae lilikataliwa.
 
Unaifahamu Uganda schemes of 1903?? Wakati uganda schemes inafanyika kulikuwa na taifa linaloitwa uganda??? Au kulikuwa na East Afrika

Nafahamu vizuri Sana. Na ilikuwa proposal ya waingereza kwenye koloni zao Afrika Mashariki na sio wa Israel.
 
Kuna makala inaeleza Israel ni mtu mweusi.
Sasa hata kwa akili ya chekechea mbona tofauti zipo wazi?
 
Ndio maana mnaambia msome historia. Ona sasa hata ujui Mashariki ya Kati lilikuwa linamilikiwa na nani Apo kabla ya huu mgogoro mnao ushabikia
Nna archeological na historical evidence kuhusu mmiliki wa pale kama unasoma journal za hamas peke yake utajijua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…