Warumi ndo waliliita hilo eneo Palestina kureflect makabila ya zamani ya maeneo hayo
Israel imekuwepo kabla ya hilo azimio la mchongo, ngoja nikupe kifungu kidogo;Unaifahamu Azimio la BALFOUR DECORATIONS LA 1917??
unaijua hii Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi
kutoka ulaya)???
Na hii pia unajua Historia ya Zionism movement na tabia zake???
JIBU swali usilete porojo
Maswali yaliyojaa chuki za kidini laazima yajibiwe kwa uwazi na sio unafikiJIBU MASWALI SITAKI CHUKI ZA kIDINI
Tungeuwawa kama wanavyouwawa Wapelestina sizani kama kuna ataendelea kulishobokea hili taifa la israel maana hawajui kadhia wanayoipata Wapelestina kwenye ardhi yao. Yangetufikia sisi nadhani akili ingewakaa sawa
we mbona una chuki na israel na unaonekanaunachuki na palestina na ndio maana umesema unaitakia baraka istael
Acha mawazo ya kidini JIBU maswali haya
Naomba nikujibu Kama ifuatavyo:
Swali la kwanza, UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini?
JIBU: Haya yalikuwa ni maazimio ya Umoja wa Mataifa kuigawanya Palestina kuwa na Dola mbili ya Palestina na Israel. Pia kwenye maazimio hayo, Jerusalem ilibakia kuwa eneo lisilo kuwa na mwenyewe na lilitakiwa kuwa Chini ya usamamizi wa Umoja wa Mataifa. Israel waliiheshimu maazimio haya na kuijitangazia uhuru mwaka 1948. So kwa hapa Israel walikuwa wanatekeleza sheria halali ya maazimio ya Umoja wa Mataifa. Shida ni kwamba baadala ya waarabu au wapalestina kuanzisha taifa lao, wao wakaanzisha Palestinian war dhidi ya Israel.
Swali la pili, 14th may 1948 kulitokea Tukio gani?
JIBU: mwaka 1948 yalitokea matukio mengi ila nitataja manne.
La Kwanza, ni tukio la Israel kuijitangazia uhuru wake mwaka 1948 Mwezi wa tano siku ya tarehe 14. Hii ikiwa ni kutekeleza maazimio ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 1947.
La pili, ni tukio la Palestinian war au Vita vya Palestina. Hii ilasababishwa na azimio namba 181 la umoja wa Mataifa kuigawanya Palestina kuwa na nchi mbili, na Israel kukotangazia uhuru wake.ambapo waarabu hawakutaka kabisa, hivyo vikundi vya kipalestina na waarabu vikaanza kupigana na Israel na vikundi vya kiyahudi.
La tatu, Ni Nakba, baada ya vikundi vya Palestina waarabu kuwachokoza wayahudi, ndipo walipopigwa kusukumizwa pembeni, na kuleta kitu kinaitwa Nakba.
La nne , ni vita vya Israel na Mataifa ya kiarabu. Kipindi hicho yakijulokana Kama United Arab Republic, Misri, Jordan na Syria wakisaidiwa na Saudi Arabia. Hivi vita ndivyo vilipelekea mzozo tunaouona Leo, baada ya kichapo, Israel ikachukua baadhi ya maeneo ya Misri na Jordan amabyo ni Gaza na Jordan. kwani iliwashinda kwenye vita.
Kuhusu swali la tatu kwamba 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI?
JIBU: Fahamu kwamba neno gaidi au Terrorism halikianzishwa na Marekani. Neno terrorism lilianza kutumika mwaka 1793 wakati wa mapinduzi ya ufaransa Yani French Revolution na neno Hilo lilitumika kutokana na ukatili wa serikali mpya ya kuwaua kwa kunyongwa watu waliokuwa wakidhaniwa kuwa wanaopinga mapinduzi hayo. Na lilianza kutumika kwenye kamusi mwaka 1840.
Swali la mwisho UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo??
JIBU: Nadhani Kama Palestina nao wangetangaza uhuru wao Kama Israel mwaka 1948, na kuacha kuwavamia waisraeli na kuanzisha vita ya Palestina , wasingepigwa na kivurumushqa maana Israel iliona ikiwaachia Hawa watawasumbua. Ile Nakba ni kisingizio tu lakini uchokozi aliuanza Palestina.
Mbona unaongea sana Ndugu aliyekuambia waarabu wanatuona sisi nyani ni nani. Unafikiri Uislam ni ubaguzi kama nyinyi mnavyobaguana huko makanisani. Nenda kaswali misikitini ya upanga, kariakoo na mnazi mmoja uone jinsi tunavyoishi na waarabu kama Ndugu. Kama nyinyi wazungu wanavyowaona manyani huko makanisani.. usichukulie na Uislam ni hivo hivo tembea ujione na sio kuleta chuki za kidini
PALESTINE MIAKA 30s na 40s KABLA YA UVAMIZI WA FAKES JEWSView attachment 2815193View attachment 2815194View attachment 2815195View attachment 2815198View attachment 2815200View attachment 2815196View attachment 2815197View attachment 2815199View attachment 2815201
Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?
Palestine MIAKA 30sView attachment 2815202
Dunia nzima labda wewe na basha wakoDunia nzima inasimama na Wapelestina kupinga dhulma ya hawa fakes jews mimi ni nani nisisimae na palestine.
Kipi kinakushinda hapo kwenye kutaja jina la kiongozi ?Picha uletewe pia mfalme ama raisi utajiwe. Hivi KWA akili yako unavyoona hayo majengo, airport, madarasa, misikitini, yalijengwa bila kuwepo Kiongozi wa eneo hilo. Changamsha ubongo wako sio kila kitu utafutiwe
Ziwa Victoria haipo kwenye ramani ya Judea.
Hakuna aliyejibu hata moja zaid ya kuleta porojo za Kidini. Welete maswali nasubiri majibu sitaki ushabiki
Kama wewe binafsi huamini vitabu vya Mwenyezi Mungu pole sana, utaendelea kuteseka bure na kutafuta history FAKE ambazo hazitakuja kukusaidia wala kukupa suluhisho lolote zaidi ya kupoteza muda bure kujitesa nafsi yako, utamaliza muda wako wa kuishi hapa duniani utaondoka utaiacha Israel ipo na itaendelea kuwepo mileleAcha hoja za kidini JIBU maswali apo juu?? Sitaki kusikia habari za bibilia maaana mmedanganywa wayahudi wa bibilia na wayahudi halisi
Shida ya hawa wavaa kubaz hata hesabu ya kujumlisha na kutoa ni kipengele, ndo maana wakati mwingine inabidi kuwapuuza tu.We ni muongo sana israel inapata uhuru mwaka 1948 idd amin au gadaffi hakuna aliyekua rais uganda na libaya yalikua ni makoloni sasa unasemaje walipinga israel isiwe nchi kama sio uongo wa waziwazi
Iddi anapata urais 1971 tayari isreali ilishapata uhuru kitambo sana, harakai za wayahudi ziliaanza miaka ya 1990's mwanzon ambapo gadafi na id amini hawakua wamezaliwa
Ila ya palestina ndio ipo kwenye ramani ya judea 😁 aise Qur’an inatuambia Mayahudi na manaswara hawatakua radhi nasi mpaka tufuate mila yao, ndio haya tunayaona mnatumia nguvu zote kuteteana
Huna hata swali unalojiuwa hapo unaanza kuleta chuki. Ndio maana mnaambiwaga mnaangamia KWA kukosa maarifa