Ofcoz dunia ndo ishakua hii usishupaze shingo utavunjika asee, Waolewaji wenyewe Mmekaa kimchongo mchongo tuLini mliacha kuwasimanga ni single mothers. Sasa nao wanaamua kua nyie mnakataa ndoa na wao wanakataa kuzaa ni kula ujana tu. Dunia mnayotaka iwe itakua ya hovyo sana.
At least [emoji4] kama mtoto anagombana na mzazi wake na kufikia hata kumchukia kwa wakati huo atashindwaje kupishana na mpenzi/mke/mume wake ambaye wamekutana ukubwani. Hayo ndio maisha na usipoyapitia utakua soft sanaAtreast tunadum japo tunachosha pia ndo maana haifai kugandana
Wawepo wasiwepo i don't care ndoa ni muhimu
No ni independent thinkerRobert Heriel is a Misogynist Racist Twaat.
Huwezi kumuweka Haramia na kumfananisha au kumlinganisha na Mtanzania/Mwafrika katika masuala ya Jamii.
Robert Heriel haijali Tanzania, hajali Jamii na wala sio mtu wa Kweli. Wekeni C.V yake Leteni picha zake. Hakuna Tapeli mkubwa ambaye ameshatokea kama huyo mdudu.
Ukikua utaacha [emoji2][emoji2]Ofcoz dunia ndo ishakua hii usishupaze shingo utavunjika asee, Waolewaji wenyewe Mmekaa kimchongo mchongo tu
Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatuNtajaribu ila Sishauri kabisa. Wanaume tunapungua tu na Single mazas wanaongezeka husomi upepo Bro?
Feminism piaSingle moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
Bora uwe soft kuliko Mtoto wa Mtu akukomaze Roho uwe kama YudaAt least [emoji4] kama mtoto anagombana na mzazi wake na kufikia hata kumchukia kwa wakati huo atashindwaje kupishana na mpenzi/mke/mume wake ambaye wamekutana ukubwani. Hayo ndio maisha na usipoyapitia utakua soft sana
Huruhusiwi kabisa.....hujui kutofautisha r na l
Afu sijawah kosea mtazamo hata ile nlikua nayo nikiwa Primary nimekuja kuikazia kwa hoja zaidi nikiwa Mkubwa.Ukikua utaacha [emoji2][emoji2]
Wewe unafikilia kila aliyetoa maon hapo yupo katika ndoaHuruhusiwi kabisa.....hujui kutofautisha r na l
tufanyeje kuepuka hilo??Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
Sasa kwanini uoe mtu anaejikuta anaweza vyote umo ndoani wote mtakua mikia au?Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
wanaokataa ndoa wamekwama.hawana ajira.pesa.wala wapenzi.wanataka kupata wajinga wa kufanana nao.unakataaje ndoa ambayo ni mpango wa mungu.tena hao wajinga wanaoendesha hii kampeni ya.kataa.ndoanwachukuliwe hatua na serikali.bila kuwa na.ndoa nchi itapataje wataalamu.wanajeshi .nguvu kazi nk.usikute hii nayo ni hujuma.kutoka.njee kwa malengo.kadhaa ya kijasusu kwa.lengo la kuharibu nchi.ROBERT anaandika logical and tangible arguments yule mwingine ni mehemko na kutafta publicity tu.
KATAA NDOA
Kuna Wakat Yesu aliombe kikombe kimuepuke, kuna mipango ni ya Mungu ndio lakin inakua inafikia hatua inaumiza sana kulingana na Dunia inavyosonga sasa.wanaokataa ndoa wamekwama.hawana ajira.pesa.wala wapenzi.wanataka kupata wajinga wa kufanana nao.unakataaje ndoa ambayo ni mpango wa mungu.tena hao wajinga wanaoendesha hii kampeni ya.kataa.ndoanwachukuliwe hatua na serikali.bila kuwa na.ndoa nchi itapataje wataalamu.wanajeshi .nguvu kazi nk.usikute hii nayo ni hujuma.kutoka.njee kwa malengo.kadhaa ya kijasusu kwa.lengo la kuharibu nchi.
UtamjuajeNdoa ni Ibada
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Heshima
Muhimu ni kumpata Mtu sahihi mtakayewezana.