Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Unaweza Kuta Robert ndie JUMA Lokole.Chanzo Cha ustaarabu wa jamii yoyote Duniani uanzia kwenye Ndoa.Ila Jamii imevamiwa na Mashoga hatari tu.2.
 
Alphabet huyu hapa.
 
Imani yangu, malezi yangu nikijumlisha na utamaduni wa taifa langu siwezi kukataa NDOA so katika hili naungana na
Mbona ulikataa kujioa ingali nilinunua mpaka engagement ring......ulisema kuoa single mom Bora ufe Kwa kupigwa fungu la kichwa.😭😭 Daa
Siwezi kukataa kuoa hata kama mwanamke ana watoto wawili. You had me in all your ways, with unknown reasons you pushed me away alafu hapa unanisingizia lol😄😄
 
Bro Kaoa hata January haikuisha Anamchana Mkewe nimemiss kua single nenda kwa Mama ukatembeetembee utarudi[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Aisee,unaanza kuhisi unabanwa Fulani ivi....Yaan mambo haya bhana🤣🤣🤣 Ndo madhara ya kuchelewa kuoa au kuolewa
 
🤣🤣🤣Ngoja nikusemelee Kwa wanajf wakunyooshe Kwa kunibagua😜
 
Ndoa ni Ibada
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Heshima

Muhimu ni kumpata Mtu sahihi mtakayewezana.
Hii ishu ya kushinda ukitafuta mtu sahihi wakati Satan yupo road ni uongo ipo siku atamfikia tu. Pick any akijifaragua weka yeye chini pick anaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…