Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Punguza makasirikoUpumbavu mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza makasirikoUpumbavu mtupu
hahahahaha, na unalipa hao wazazi kumchukua mwanao, aje ale pesa zako🤣🤣kwa kifupi unaenda kuwaomba wazazi wa mwanamke ruhusa wakupe mwanao are kula pesa zako
Changia kistaarabu mkuuUpuuzi,upumbavu na uzandiki!idiot
Kwa wanaume na wanawake. Hivi inakuaje kama ulilelewa na mama tu, na hujisikii vibaya yaan uko kwa Robert, nashauri usipitishe watoto Wako njia ambazo wewe ulipitia. Na kama ulilelewa na baba yaani ulikulia kwa bibi au ndugu wa baba, fikiria vitu ambayo ulikosa ili Mtoto/watoto wako wasikose.
Changamoto ambazo wazazi Wako wanapitia zisikutishe, kama umezalishwa au umeachwa jaribu kuangalia MTU mwingine usiweke chuki kwa kila me au ke, waza juu ya watoto zaidi.
Wewe upo sahihi kwa mtazamo na fikra zako.Ni vizuri ungesoma nyuzi zote mbili ungegundua na yeye alikuwa na point
Pia wewe unamtafasiri kama hatred of, contempt for, or prejudice against women. It is a form of sexism that is used to keep women at a lower social status than men, thus maintaining the societal roles of patriarchy.Nakuuliza tena umenielewa?
Kabisaphobia pia ni tatizo la akili
HUKOSEAGINdoa ni muhimu Kwa wanaofuata mfumo wa zamani.
Ila ndoa Kwa upande wa pili, ndoa sio muhimu na sio lazima kuoa Kwa kizazi cha sasa kinachofuata mfumo wa Usasa.
Wanaokataa ndoa wanahoja za msingi na KUBWA.
Wanaokubali ndoa wanahoja lakini sio hoja nzito nzito
Hoja sio nzito kivip?Ndoa ni muhimu Kwa wanaofuata mfumo wa zamani.
Ila ndoa Kwa upande wa pili, ndoa sio muhimu na sio lazima kuoa Kwa kizazi cha sasa kinachofuata mfumo wa Usasa.
Wanaokataa ndoa wanahoja za msingi na KUBWA.
Wanaokubali ndoa wanahoja lakini sio hoja nzito nzito
Haya mambo kwa mara ya kwanza wakubwa wa JF waliyaanzisha humu lakini WAKAINGIA MITINI NA KURA ZA WANANCHI ( YAANI KAMA VILE CCM INAVYOKIMBIA NA MABOX YA KURA )Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forum baina ya team mbili
1) KATAA NDOA
2)KUBALI NDOA
Kwa upande kataa ndoa muwakilishi
ROBERT HERIEL aliandika uzi huu
"Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi"
Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR
Kaandika uzi huu
"Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa"
Mwanamke ni bomu mda wowote analipuka.Ndoa for life, wanaume tuzidi kutumia akili kuishi na hawa viumbe.
Hapa nakubaliana na wewe Kwa mara ya kwanza2
USSR