Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Hahahahaaa noma sana huyo nyegere duuuu hatari na mi ningekua na wivu wa aina hii ingekua safi sana ningegawa vichapo kwa watu watakaomtazama demu wangu sema tu binadamu tunazidiana ubabe
 
Ni kweli kana nyege saana sanaa kama jina lake,na kakikosa jike kanajipiga punyeto
Sasa ole wako kaone umekaona kanavyopiga punyeto....kazi itaamka


bwahahaaaaaaa,mkuu hiyo sasa chai duuuh,sasa atanikimbiza anile kiboga mie au?
 
Mkuu katika hizo picha! Hiyo picha ya Kati Ina uhusiano wowote Na Nyegele???
 
Haya mbabe wa simba huyu?? Kweli??
 
Hahahaha eti hata jani likikaa nyuma ya jike anachezea kichapo ,dah ama kweli dunia imebeba mengi
Napenda tu guts zake huyu jamaa
 
Duniani hakuna mnyama ana wivu kama fisi maji! Na hakuna mnyama anakula mzigo full time kama fisi maji!Fisi maji ni sex addict! Yeye hata jani likimgusa sehemu za siri analirudia analipiga bao!

Hahahaha hivi huyu fisi maji anakaa majini?
Dah anakula mzigo full time ? Sasa huyu si atakua amemaliza km za dunia nzima anahamia mars ,kwa mwanaume si wanasema bao moja ni 7 km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…