Michael Mtitu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 693
- 512
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] hii mpya tena!
Loooh..
Kwahiyo ni kweupe hadi kuku adonoe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] hii mpya tena!
Loooh..
Kwahiyo ni kweupe hadi kuku adonoe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mamaaaaa. sijui itakuwaje siku nikikutana naye. je sasa kama nimekula asali yake?
Ayaaaaaaaa katuchanganya wote aiseeee.Umemchanganya...anaebong'oa ni kicheche
Kupanda ukuta kwa ubao, kufungua kitasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo chumviPia ni mmoja kati ya wanyama wenye akili sana kiasi kwamba ana uwezo wa kujifunza maarifa mapya kwa muda mfupi sana na akayatumia kutatua tatizo lililojitokeza ghafla. Mfano mzuri ni kuwa,anao uwezo wa kupanda ukuta mrefu kwa kuegemeza ubao au gogo, mawe n.k Ana uwezo wa kusogeza kitasa cha geti na kulifungua. Na mambo mengi tu
Sio chumvi mkuu,nenda youtube search intelligent honey badger, au andika neno lolote tu ubao, kitasa likiwa na honey badger kwenye mstari mmoja. Utaona mengi sana kuhusiana na mnyama huyo ambayo hukutegemea. Afrika kusini walipata shida sana kubuni mzinga wa nyuki wa kumzuia nyegere kuingia kutokana na factot ya akili alizonazo.Kupanda ukuta kwa ubao, kufungua kitasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo chumvi
Halafu vicheche vinakuwa kundi na huwa vinasimamia miguu ya nyuma na vinainua miguu ya mbele navyo vinamikwara hatar ukiwa mwogamwoga kama mwanaume wa dsm vinakuchenjia
Kicheche unamjua?Hizo ni sifa za kicheche ama nguchiro ??? Nguchiro ndio nadhani wanasimama na miguu ya nyuma
....salaaaleee..wewe kama sio Mluguru utakuwa Muha!..nimekuuliza kwahiyo mtu akitaka kuweka avatar aangalie member jiwe mbili kama hakuna anaeitumia?kuweka avatar kama ya mwenzako out of millions of avatars ndio upimbi haswa
Mkuu UncleBen ni kweli kuna Kicheche(Striped Polecat) na kuna Nguchiro (Mongoose)Hizo ni sifa za kicheche ama nguchiro ??? Nguchiro ndio nadhani wanasimama na miguu ya nyuma
Ni kweli Nguchiro ndio wanasimama na miguu ya nyuma...Wanatumia kama njia ya kuona maadui na kujilinda,Hata wakati wa kula wanakula kwa zamu,wengine wakiwa wanakula wachache wanasimama na miguu ya nyuma kuangalia maadui walipoHizo ni sifa za kicheche ama nguchiro ??? Nguchiro ndio nadhani wanasimama na miguu ya nyuma
usiwe ovyo hivyo, we unaleta makabila ya watu wasio husika utawakwaza wengine, hujibizani na kabila, unajibizana na mimi, member amemuambia members mwingine avatar zinafanana abadilishe,kama alikuwa hajui hapo si kesha jua tayari,....salaaaleee..wewe kama sio Mluguru utakuwa Muha!..nimekuuliza kwahiyo mtu akitaka kuweka avatar aangalie member jiwe mbili kama hakuna anaeitumia?
Wewe weka picha ya kwako ukiliwa kiboga uone kama utafanana na mtu!
Upiversity naona unaanza kuingilia makabila yetu...huu ugomvi uwe tayari kuumaliza....salaaaleee..wewe kama sio Mluguru utakuwa Muha!..nimekuuliza kwahiyo mtu akitaka kuweka avatar aangalie member jiwe mbili kama hakuna anaeitumia?
Wewe weka picha ya kwako ukiliwa kiboga uone kama utafanana na mtu!
Kuna haja ya kufanya practicalInamana huyo nyegere anaujua utamu wa papuchi ya jike lake hadi apigane na aone wivu hivyo