Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Pia ni mmoja kati ya wanyama wenye akili sana kiasi kwamba ana uwezo wa kujifunza maarifa mapya kwa muda mfupi sana na akayatumia kutatua tatizo lililojitokeza ghafla. Mfano mzuri ni kuwa,anao uwezo wa kupanda ukuta mrefu kwa kuegemeza ubao au gogo, mawe n.k Ana uwezo wa kusogeza kitasa cha geti na kulifungua. Na mambo mengi tu
 
Kupanda ukuta kwa ubao, kufungua kitasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo chumvi
 
Kupanda ukuta kwa ubao, kufungua kitasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo chumvi
Sio chumvi mkuu,nenda youtube search intelligent honey badger, au andika neno lolote tu ubao, kitasa likiwa na honey badger kwenye mstari mmoja. Utaona mengi sana kuhusiana na mnyama huyo ambayo hukutegemea. Afrika kusini walipata shida sana kubuni mzinga wa nyuki wa kumzuia nyegere kuingia kutokana na factot ya akili alizonazo.
 
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
Hizo ni sifa za kicheche ama nguchiro ??? Nguchiro ndio nadhani wanasimama na miguu ya nyuma
Mkuu UncleBen ni kweli kuna Kicheche(Striped Polecat) na kuna Nguchiro (Mongoose)
Watu wengi huwa wanawachanganya sana hawa wanyama...Kicheche ndio anapanua kinyeo kinakuwa chekundu kama nyanya,kuku akisogea anajua kitoweo,akiingiza kichwa tu kanambana,halafu mbioooo

Hawa Nguchiro kwanza hutembea kwa makundi,wana umoja sana hata binadamu wanakuchenjia...hawa nao wanapigana mpaka na black mamba(Koboko) na kumuua kilaini sana sana.Tazama tofauti yao hapo,mwenye mistari ya milia ni Kicheche
 
Hizo ni sifa za kicheche ama nguchiro ??? Nguchiro ndio nadhani wanasimama na miguu ya nyuma
Ni kweli Nguchiro ndio wanasimama na miguu ya nyuma...Wanatumia kama njia ya kuona maadui na kujilinda,Hata wakati wa kula wanakula kwa zamu,wengine wakiwa wanakula wachache wanasimama na miguu ya nyuma kuangalia maadui walipo
Tazama video hii Nguchiro akimuwajibisha Black Mamba...A good fight to watch
 
....salaaaleee..wewe kama sio Mluguru utakuwa Muha!..nimekuuliza kwahiyo mtu akitaka kuweka avatar aangalie member jiwe mbili kama hakuna anaeitumia?
Wewe weka picha ya kwako ukiliwa kiboga uone kama utafanana na mtu!
usiwe ovyo hivyo, we unaleta makabila ya watu wasio husika utawakwaza wengine, hujibizani na kabila, unajibizana na mimi, member amemuambia members mwingine avatar zinafanana abadilishe,kama alikuwa hajui hapo si kesha jua tayari,
 
....salaaaleee..wewe kama sio Mluguru utakuwa Muha!..nimekuuliza kwahiyo mtu akitaka kuweka avatar aangalie member jiwe mbili kama hakuna anaeitumia?
Wewe weka picha ya kwako ukiliwa kiboga uone kama utafanana na mtu!
Upiversity naona unaanza kuingilia makabila yetu...huu ugomvi uwe tayari kuumaliza
 
....teh teh teh..acha mikwara we Muha/Mluguru barafu tusijetoka nje ya darasa hili.
...nyie watu kwa ubishi hamuwezekaniki!
..endeleza ilmu sasa!
 
Inamana huyo nyegere anaujua utamu wa papuchi ya jike lake hadi apigane na aone wivu hivyo
 
Back
Top Bottom