Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? πŸ€”

nakubaliana na wewe pia kua maendeleo ya teknolojia yamechochea hata watu kufikiri zaidi ya awali.

hata hivyo,
emoji si ndio ndio maendeleo yenyewe ya teknolojia ya mawasiliono gentleman, kwamba tunaweza kucomunicate kwa emoji tu πŸ’
 
Ukiaona unaletewa taarifa mara kwa mara za matukio bila kuziomba au kuzitaka ujue nawe kwa namna moja au nyingine utatoa au unatoa taarifa za matukio bila kujijua...

Kuna utofauti mkubwa kati ya ujasusi na umbea..


Cc: Mahondaw
 
Kwani hii mada inashangaza nini kwa mfano mpka aseme hivyo?
Hakuna jipya hapa,

Kwa maoni yangu tlaa!tlaa ni mtu mzima na yuko over 50y.o
Hii ligi ya millennials na Gen Z kwake ni ngumu.

Makanisa ya zamani tulikua, tunasifu, kuabudu, na kusikiliza neno. Makanisa ya siku hizi kuna kusifu,kuabudu,kusikiliza neno, kudadavua neno na kupima kama mchungaji anatenda analolihubiri.

Tlaaatlaa ni kanisa la zamani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Joking
 
UMENIFIKIRISHA SANA KWA HAYA MAELEZO YAKO.
 
Unaweza ukawa jasusi bila hata kujua na ukatumika kupeleka taarifa pasipo kujua kama unapeleka taarifa.

Kwa mfano unaweza ukawa unafanya kazi ofisi fulani halafu wenye kazi zao wakawatumia watu ambao karibu kupata taarifa za ofisi unayofanya kazi na wewe ukawa unawasimulia watu wako wa karibu na wao wakawa wanawapa taarifa
 
Ukiaona unaletewa taarifa mara kwa mara za matukio bila kuziomba au kuzitaka ujue nawe kwa namna moja au nyingine utatoa au unatoa taarifa za matukio bila kujijua...

Kuna utofauti mkubwa kati ya ujasusi na umbea..


Cc: Mahondaw
Weka hizo tofauti tujifunze mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…