Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

LIPIA TANGAZO 😅😅
 

Sisi wanaume, baadhi yetu , Huwa wanatabia ya kuomba Tigo Kwa mwanamke 'Mnyonge'.


Huwezi Kuta mwanamke ana Elimu, kazi, uchumi wake, na mwenye Dini , aombwe Tigo na mwanaume.

Mwanaume anaomba Tigo mwanamke mnyonge, yaan mwanamke anayemtegemea Kila kitu kuanzia kula, kuvaa, na Maisha Kwa ujumla.

Sasa basi, Huwa ninawaambia jambo Moja, Msikubali kua pumziko la wanaume wapumbavu .


ACHANA NAYE, HUYO SIO FUNGU LAKO


japooo, japo Kuna kundi kubwa pia la Wanawake wanyongeee, wanaoamin kua, Kwa kutupatia TIGO, basi wanatuteka😂😂😂
 
cold water ila shost una heka heka 😂😂😂


Kuvumilia kitu ambacho hukitaki ni kipaji sio kila mtu anamudu.
Wewe kama unaona hutaki vitu anavyokuomba mchane ukweli, akikasirika aende, akikaa ajue kuwa hutaki na yeye anaweza acha.

Wao mbona wanatuvumilia suala la kuwaomba hela kila week 🤣
 
Aisee
Ikimbie zinaa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…